Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions
Salaam wana jukwaa. Mwenzenu nina miaka mingi sana sijasikia habari ya huyu member wa jf a.k.a Transistor yaani sijui yupo hai au vipi naona kimya wala hapatikani hapa katika kuchangia na wala...
0 Reactions
3 Replies
840 Views
Nashindwa ku up load na download photo ktk whatsapp. Nki up load inandika "the file you picked was not a photo" Tecno L5. Naomba mwongozo.
0 Reactions
2 Replies
596 Views
Please mods mnisaidie kuhamishia thread hii jukwaa husika. Jaman naomba msaada wa kujua namna ya kuipata kwenye mtandao ( kudownload) movie ya kihindi ya Andhaa kanoon iliyochezwa na Amitha...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Nimemaliza masomo yangu nasomea coz ya science and laboratory technology kwa ngazi ya diploma. ... Pia wazazi wabataka niache niamie nyngine nijaanze nayo upya coz ya clinical officer. ...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Salamu ndugu na jamaa. Nimepatwa na shida ambayo sielewi kwenye machine yangu Desk Top ya Dell na monitor yake ni Dell. Mchana huu naiwasha inaniambia ENTERING POWER SAVE MODE na baada ya sekunde...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
wale wataalam wa simu, nina simu ya tecno y6 ila ina zingua camera zoote kuanzia ya simu yenyewe hadi nilizo download kila nikiingia naambiwa cant connect to the camera. nimejaribu kupunguza vitu...
1 Reactions
29 Replies
3K Views
Ivi kati ya processor yeny sifa quad core 1.2ght cortex A53 na yenye quad core 1.3ghtz cortex A7 hapo yeny speed na nguvu ni ipi?
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Natumai mu wazima wa afya. Simu yangu ina shida kila napotumia facebook kwa muda mrefu simu inazima ghafla na kuwaka tena. Tatizo hili huambatana na simu kuchemka. So kwa anayefahamu nin tatizo...
0 Reactions
17 Replies
1K Views
Wanajamii wezang natumai mko poa,samahan kwa mwenye sirial no. Za Adobe illustrator naomba anitumie PM au meshack.mathew94@gmail.com.Natanguliza shukrani zang za dhati.Asanten
0 Reactions
1 Replies
713 Views
Habari zenu wanajamii, kama hapo juu nilivyoeleza BlackBerry yangu inashindwa kutambua MENU za mitandao ya simu yaani ukitaka kuuliza salio au kuweka salio ukishamaliza kuweka namba mf. *102# au...
0 Reactions
1 Replies
787 Views
Ivi kati ya processor yeny sifa quad core 1.2ght cortex A53 na yenye quad core 1.3ghtz cortex A7 hapo yeny speed na nguvu ni ipi?
1 Reactions
2 Replies
622 Views
Wakuu habari Naomba msaada wa browser ambayo nitapata subtitles za movie directly, nilikua natumia Mx player ila naona sasa hv inazingua. Chief-Mkwawa
0 Reactions
15 Replies
2K Views
wadau naomba kiujumla naomba mnijuze udhaifu wa hizi mobile phone naona ni brand geni sokoni
0 Reactions
9 Replies
7K Views
Naombeni kujua applications gani naweza kutumia kudownload kitu kwa simu aina ya iphone
0 Reactions
17 Replies
3K Views
Habari za muda huu wakuu Naamini mpo salama na mnaendelea vyema katika shughuli zenu.... . Binafsi niko sawa namshukuru MUNGU Lengo la kufungua uzi huu ni kutoa shukurani zangu za dhati kwa Hans...
0 Reactions
2 Replies
898 Views
Jaman mxaada nataka Vodafone Yangu niwe naweka line zote
0 Reactions
4 Replies
680 Views
Naomba msaada kama kunawezekana kubadilisha mfumo wa CDMA kuja 3G kwenye simu zenyewe.
1 Reactions
9 Replies
2K Views
Hardware Processor:Broadwell: 2 x 2.1GHz Octa-Core E5-2620 v4 Broadwell Xeon Memory:DDR4: 128GB Hard Drive: SSD on Raid 10 Architecture Bandwidth Uplink: 1Gbps port Hardware Firewall: Juniper...
0 Reactions
6 Replies
693 Views
Habari za muda huu wakuu Naamini mpo salama na mnaendelea vyema katika shughuli zenu.... . Binafsi niko sawa namshukuru MUNGU Lengo la kufungua uzi huu ni kutoa shukurani zangu za dhati kwa Hans...
0 Reactions
0 Replies
950 Views
Namna ya kuwa na app ya android na iwe inapatikana pia kwa iphone users unafanyaje? naona watu weng humu wanawweka matangazo tu ya kuwa na website wakati app ndo kila kitu these days
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Back
Top Bottom