Habar zenu wadau katka sekta ya technology...Baada ya kutamani kwa muda mref sna na mim device yangu kuwa rooted hatimae nlifankisha baada ya itel 1556 plus kuwa rooted .....
Kama tujuavyo...
salaaaaaam,
naombeni msaada wenu jamani, nina laptop dell inspiron 15-3537 tatizo lake inastack sana na pointer ya mouse ina blink muda wote hata kama hamna program nyingi zinazorun kwa muda huo...
Wadau natumia acer android 4.4, tatizo langu ni kwamba sio space ya kutosha kuinstall apps mpya japo nina sd card ya. 16gb but apps haziw installwd humo. Ktk kusearch wanasema cjui nifanye...
Habari wana JF, Najua ni muda sasa toka tulipo post makala ya mwisho humu lakini hiyo ni kwa muda tu sababu ya kuandaa tovuti nyingine bora ya habari na makala kwaajili yenu.
Basi baada ya kusema...
Habari, Developers. Natafuta mtu yoyote atakaye tengeneza php scripts ambayo itaweza kuhesabu maneno kwenye document ya ms word 2007 kwa kutumia php language.
Chukua taadhali kuwa idadi ya maneno...
Tanzania Tunazalisha wastani wa Megawatts 1745MW Kiwango hicho sio toshelezi sana kwa Watumiaji ila at least kinatupa Umeme wa Kutosha kutumia Kwa baadhi ya Wateja Jirani zetu kenya wao wanafua...
Ni matumaini yangu mko vizuri wanajamii, kwa kifupi kuna sehemu kijijini maeneo yanayozunguka kuna mtandao wa internet wa isp mbalimbali lakini tatizo ni kuwa hapa kwenye eneo hili ambalo lipo...
Matumizi ya Teknolojia yameshika kasi sana katika ulimwengu huu na imekuwa ni chanzo cha kutatua baadhi ya changamoto mbali mbali zikiwemo kubwa na ndongo ambazo kimsingi zimekuwa zikizisumbua...
Imekua kawaida kulipia kifurushi kulipia ksumbuzi kila mwezi bila kuangalia uhalisia kuna kipindi kirefu unakua hauko maeneo ya nyumbani na wakati mwingine hakitazamwi kabisa na baada ya mwezi...
Wakuu habari za majukumu natumaini mpo poa?
Kama kichwa cha habari kinavyosema,nimereset simu yangu sasa baada ya kureset tu nikitaka kufungua browsers i.e chrome/mozilla /internet browse ngoma...
Habari zenu wakuu!
Naomba msaada wa wapi ninaweza kupata digital cramp meter yenye uwezo wa kupima current ya DC na AC, voltage ya DC na AC pamoja na function zingine, maana nimezunguka maeneo...
Za leo ndugu zangu.
Naombeni msaada kama kichwa cha habari kinavyojieleza. Natumia simu ya Samsung Galax Tab kwa matumizi ya internet na kupata habari. Ila cha kushangaza Jamii forum naingia kwa...
Kwa jamii yetu ya kitanzania uelewa wa android umekua mdogo sana na siku zote watu wanafikiria simu hizi ni za bei ghali nimeandika makala hii ya kuzichambua simu za android za bei rahisi.
Pia...
nipo dar
kama wewe ni fundi wa simu upande wa hardware,lakini uwe na ofisi mimi nije nifanye kazi ya software.
vifaa ni vyangu kwa software...
mapato ntatoa nusu ya kila lipo ntakalofanya kazi...
Habar wakuu....
kuna ugonjwa wa memory card pamoja na flash umeibuka unakuta flash ina ukubwa wa 16GB lakin inaingiza nyimbo 10 tu ukizidisha hazilii ukiiformat bado vile vile kwa anaejua...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.