Habari ndugu zangu, napenda kuwataarifu waandaji wa mpango kazi wa usambazaji umeme,kama una project ambayo inatekelezeka ya kuhusu Umeme vijijini.njoo PM
Hii simu ni USED imetengenezwa 2014 lakini sasa chakushangaza simu nimejitaidi kuiwekea ujuzi upande wa software mobile imeshindikana .
nimefanyanya haya yafuatayo:-
1.Kuflash simu kwa kuweka full...
Habarini humu,
Nimejaribu kusearch tv online kwa kuandika jina la channel husika naona sifanikiwi, naomba msaada nifanyeje ili niweze kupata channel yoyote ninayoitaka online?
Nina sim tecno w3, ninapotumia internet halafu nikiangalia kwenye internal storage nakuta storage inapungua hadi nifanye ku clear cached data. Hakuna namna ya kuzuia hizi cached data? Nimechoka ku...
Can a drones, robotics and AI saves a TZ agricultural sector from sinking and starvation???
Lets explore how the stuffs works:
Automated agriculture ni kilimo cha kisasa kabisa besides na...
Wakuu naomba kuuliza ni application ipi naweza kutumia kuedit background ya pic kua nyeupe.
Pia application ambayo naweza edit pic ikawa na quality kama ya pic za ebay au Alibaba
Natanguliza shukran
Inawezekana ndio unaanza kutumia programu ya WhatsApp au hata pengine ulikua unatumia programu hiyo kwa miaka mingi sasa, lakini pia inawezekana ulikua unakosa kutumia programu hiyo vizuri kwa...
Habarin wakuu samahani kwa mtu mwenye screen ya brackbelly 9860 au fundi mwenye uwezo wa kuunganisha mkanda anisaidie maana imekatika mkanda
Natanguliza shukrani
Tutafutane in
0755161970
Wanna JF laptop yangu antivirus yake inaisha 19June2014 Je ni lazima nipeleka kwa wanaoweka hiyo antivirus au nikisha nunua toka katika duka la vifaa vya computer naweza weka mwenyeywe. Kama...
Habari ya jumapili wadau nina simu yangu Tecno j8,jambo linalonikela ni pale napoitaji kudownload apps zaidi inaniambia interna memory imejaha swali langu hakuna uwezekano wa kuzihamishia hizi...
Hivi inawezekana kutumia barua pepe zaidi ya simu moja (kushare) na isilete matatizo ya kifaa chako maana mm nimeshare barua pepe simu yangu imejilock (Samsung)
Watu wengi sana binafsi na makampuni wanatumia windows, iOS na androids kama operating systems zao kwa vifaa kama simu na computers...mataifa yalioendelea kwa usalama hawazitumii hizi bali wanakua...
Laptop yangu ya Hp ina tatizo kila kitype baadhi ya button kwenye keyboard kinacho display kwenye screen kingine mfano nikitype F inatokea FV. D inatokea DC. S inatokea SX, A inatokea AZ...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.