KWEMA WAKUU!!
?
NAOMBA MSAADA WENU NAMNA YA KUPOST VIDEO,PICHA,AUDIO AU LINK....HUMU JF.
HUWA NATAMANI KUSHARE VITU VIZURI NA NYIE LAKINI NASHINDWA.......MSAADA WENU PLZ.
NATUMIA TECNO W4.
Naomba mnisaidie kanuni za kutafuta divisheni katika matokeo, yaani nimeisha ingiza matokeo kwa mfumo wa grades kwenye spread sheet ya excel, so Nataka nipate points pamoja na divisheni.
Nimekua natamani kujua facebook wanatumia tools gani kuchukua post heading na picha, pale tunaposhare link (tunapo copy link ya website au blog nakuiweka facebook)
Sisi tuna weka link tu, wao...
Wakuu habarini za Weekend
Mimi ni mteja wa CRDB bank. Nina miliki card ya ATM ya account yangu. Mwaka jana nilijaza form kwa ajili ya kufumguliwa huduma ya malipo ya mtandaoni.
Baada ya kujaza na...
R.I.P
samahani jamani naomba msaada Wa tafsiri Wa neno hili maana ni Mara nyingi nimeliona likitumika misibani Na kama MTU kafariki , kupokea/kutoa taarifa za kifo R.I.P ni nini maana yake...
Salam wakuu..naombeni msaada simu yangu Huawei P6 imekufa baseband version inaandika 'UNKNOWN' na laini haisomi kabisa inaandika 'No SIM card'...hii ilitokea baada ya kidude cha kuwekea laini...
Jamani naombaeni mnisaidie namna ya kuflash simu hii kwani nikibonyeza batan ya power na ya kupandishia sauti inanilete recovery na boot lakini nikibonyeza recovery inaandika no command msaada...
Wakuu natumai wazima.
Nilikua naomba msaada wa App au link ya chaneli ambazo zitakazokua zinaonyesha BET AWARDS live leo. Nimesikia ABC ndo wataonyesha hzo nyinginezo bado sijazijua.
Chief-Mkwawa
Habari wana JF, Ni siku nyingine tena ambayo natumaini itaisha salama, kwa siku ya leo ningependa kutoa Tangazo dogo. Tunahitaji watu 10 wa kujiunga na tovuti yetu ya Tanzania Tech kama wahariri...
Lenovo ZUK Z2 $176
RAM: 4GB
Storage: 64GB
Chip:
Snapdragon 820 2.15GHz Quad-core (Processor ile ile ya Galaxy S7/Edge, LG G5 na flagship zengine za 2016)
Screen: 5 inch (1080 x 1920)
Battery...
Ni LG G3. Mara nyingi inakata network inaonesha kama hakuna laini kwenye simu.
Ni kama inavyoonekana kwenye picha hapa chini. Wakati mwingine nikizima na kuwasha kama mara hamsini ndoinakubali...
Habari za wakati huu.
Nimekuwa nikipata story tu za huko dark/deep web kama kuna mtu yoyote mwenye ujuzi wa kuingia huko naomba anisaidie. Nataka nikashangae tu nothing serious.(nimejaribu ile app...
Naimani mu wazima wanajf. Natumia huawei Y336, nashindwa ku upload picha na video zilizopo kwenye memory card jamii forum. Lakin social network zingine kama fb, whatssup, n.k inakubali. Wataalamu...
Habari,
Niliwahi soma oracle nikiwa chuo ila hatukupewa cheti nahitaji mahali apa dar es salaam niweze kufanya mtihani na kuwa oracle certified napenda kujua na gharama kabisa.
Nitashukuru nikijibiwa.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.