Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions
Siku jumamosi nilikabwa nikanyang'anywa simu yangu bahati nzuri nikafanikiwa kubaki na mmoja wa hao watu wakabaji.kwa sasa Mimi ninajiuliza nitaipataje maana hata aliyekamatwa kagoma kutoa...
0 Reactions
4 Replies
944 Views
Naomba mwnye custom rom ya simu husika hapo juu anisaidie link maana nmejaribu tafta nmekosa napenda kutanguliza shukran kwenu
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Haya wadau wa game la SIMCITY tuje hapa. Mwenye utundu wa jinsi ya kupata free coin aiseeh aumwage hapa maana nina siku kama tatu hivi sina pesa na raia hazina umeme, maji hamna ,maji machafu...
1 Reactions
10 Replies
3K Views
Wanajamvi naomba kujua wap nawezapata watengenezaji wazuri wa application ya kwenye simu. Kma zle zilzopo playstor na gharama yke ni kma bei gan cjui.
2 Reactions
5 Replies
3K Views
Habari guys, poleni na majukumu Nilikua naomba link ya kudownload software za satelite receiver
0 Reactions
0 Replies
835 Views
Wakuu hv ni app ip nzur unayoifrahia kwa kuchart pekee tujuzane nasi tuipakue wengi hatuzijui tunajua whats app tu na badoo kwa mbali
2 Reactions
26 Replies
3K Views
Naomba kujua jinsi ya ktumia MMS Kwenye cm Kwa anayejua
0 Reactions
2 Replies
566 Views
Habari mkuu.. As stated above... Nahitaji msaada kwa watalaam namna ya kuandaa link ambayo mtu anaweza kuifuata na hatimaye kujiunga na group moja kwa moja. ASANTE!
0 Reactions
5 Replies
10K Views
wakuu nahitaji msaada keyboard ya PC imemwagikiwa na chai ya moto na baadhi ya sehemu zimekuwa nzito kuzibonyeza je vipi naweza kuzirudisha katika hali ya kawaida.
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Habari wakuu, Nilifanikiwa kufuatilia ule uzi wa Wickerman kuhusiana na Unlocking MODEM ya E3372h-153 na kufikia kwenye option ya kuhitaji unlock codes. Kama kuna mtu ambaye anauza hizi unlock...
0 Reactions
0 Replies
844 Views
Habar wana jf Nina simu w4 lain one haipandishi 3G nimejaribu kwenda kwenye setting pale preference network inaniambia niingize network ID kwa anayejua please!!!
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Kampuni ya utengenezaji magari ya Toyota, ambayo imefadhili utengenezaji wa gari inayoruka angani ikiwa ni mradi uitwao Cartivator Project, yamepanga kuzinduliwa mwaka 2020 katika mashindano ya...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
S5 has corrupted its OS ... So it uses a temporary OS of techno' now can you help me to return back its OS system as it is? Nakama ni pesa inahitajika kiasi gani ili niweze kufanikisha coz warrant...
0 Reactions
21 Replies
1K Views
Nahitaji kubadilishana ujuzi na wataalamu wa Auto CAD. Karibuni wakuu
1 Reactions
11 Replies
3K Views
Kama kuna mtu ana samsung note 4. Gold au black ambayo ipo katka hali nzuri isiwe na michubuko anicheki. Awe dodoma au mikoa iliyo karibu na dodoma
0 Reactions
0 Replies
725 Views
Habar wadau naomba msaada wa kupata pc game GTA VICE CITY Kwenye pc ya 2GB RAM Processor 2.2GHZ GRAPHIC CARD 900MB Msaada wakuu....
0 Reactions
4 Replies
3K Views
Nina Camera yangu Canon EOS 7D, nilikuwa naitumia vizuri leo nikiwa kwenye zoezi la kupiga picha Camera ikakataa kupiga na inaandika, CARD CANNOT BE ACCESSED.REINSERT/CHANGE THE CARD OR FORMAT...
0 Reactions
5 Replies
722 Views
Nahitaji kufanya kazi kahama city. Nifundi Wa hardware na software. Sibahatishi kazi naijua simu. Nimwaminifu sipendi utapeli. Kiimani ni mlokole,moto. Nina vifaa vyote vya kazi Yaani flash...
1 Reactions
0 Replies
935 Views
Habari wakuu Naomba msaada wa maelekezo. Nimenunua Huawei E5330 mobile WIFI. NImeweza ku connect kupitia laptop yangu na wifi inakuwa connected vizuri tu lakini Tatizo linakuja ukitaka...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Hapa Juzi lap top yangu aina ya mac book pro inch 13 with retina display katika hali isiyoeleweka imetoa michirizi ndani ya screen hali iliyosababisha kutoonekana vema. Lap top hiyo haina crack...
0 Reactions
2 Replies
755 Views
Back
Top Bottom