Habarini wana jf.
Bila kuwachosha, naamini wengi wenu au wachache wanaishi kwenye nyumba za kupanga, kila Mara unaambiwa umeme umeisha nimeona leo niwape kidogo elimu ambayo itakusaidia.
Kabla ya...
Imekuaje Bongo hakuna Google I/O Extended event mwaka huu? Miaka iliyopita ilikuwepo Costech.
Google I/O ni event inayofanywa na Google kila mwaka kuonyesha technolojia zao mpya, hasa zikiwalenga...
Nimepotelewa na simu yangu aina ya samsung s4 ..lakini ndani nilifanya installation ya free tracker nawezaje kuiblock ile simu naogopa confidential document zikasambaa wakuu...
Nawasilisha
Shambulizi la uhalifu wa mtandao laathiri mataifa 99 duniani
Haki miliki ya pichaWEBROOT
Hivi ndivyo ilivyokuwa katika baadhi ya kompyuta wakati wahalifu wa mtandao walipotekeleza shambulio...
Toka jana (07/04/2017) nimeanza kutumia Gb whatsapp ambayo nimeidownload kupitia hyperlink ambayo niliipata kupitia hapa JF. Nimeipenda sana kwa features zake tofauti tofauti.
Shida yake ni moja...
Udukuzi wa mifumo ya kompyuta na simu uliyotokea Jana.
Jana usiku kumetokea udukuzi wa kimtandao takribani nchi zaidi ya 150 duniani kwa siku ya juzi tu. Nchi kubwa zenye wataalamu wa kutosha kama...
Habari za muda huu na pole na majukumu ya kila siku ktk maisha
Awali ya yote nipende kulipongeza jukwaa hili kuwa msada mkubwa kwa watanzania katika maswala ya technology, mambo mengi...
Kama kuchwa cha Habari kinavyoeleza ..Naomba kufahamu Garama kamili za kutengeneza App kwenye Android na IOS , na wap naweza pata hiyo huduma .
Ahsante
Maicrosoft waliacha kutoa msaada wa viraka vya usalama au "security patches" mwaka 2014, na kusema kwamba hawatoendelea na uratatibu huo.kwa Windows XP.
Microsoft wakaendelea kusema kwamba bado...
Habari zenu wakuu, naomba msaada wa mamna ya kuweza kumtumia mtu file ambayo itazidi mb 16.
Mimi natumia samsung note 3 ambayo uwezo wake wa mwisho kutuma ni 16 mb pekee, sasa nina ulazima wa...
Hackers wanaoitwa Shadow Blockers wameachia virus wa ku hack computer zote zenye windows XP na kuiba data zako.
Hiyo yote ni kutokana na Microsoft waliacha kutoa updates za kuilinda hiyo Windows...
Wakuu naomba yeyote mwenye kunisaidia kupata editing program ya pinacle kuanzia version ya 17 mpaka ishirini anisaidie link. Tafadhali sana wakuu naomba huo msaada.
Habari zenu wanajamvi. Natumai wote wazima kabisa. Mimi nahitaji ushaur kutoka kwa wazoefu wa laptop. Aina gan ya laptop ina ubora kwa sasa. Natangulisha shukran zangu
habari zenu wana jamvi✋
natumai mko pouwa kabisa
lengo langu ni kutaka mnielimishe juu ya hii laptop za macbook pro
binafsi mimi natumia laptop ya macbook pro 13 inch mid 2012
macOs sierra ...
Just to give it out to the people in need, nimekua nikipata request nyingi kuhusu Books za C++, So for the end-of-the-year`s sake nimeona ni bora to just give them all away. Nimekusanya a...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.