Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions
Kwa mtaalam wa smart phone anisaidie Sim aina ya Itel 1450 Nimesahau yani nimejaribu kukumbuka Nimeishiwa pozi msaada nifanyaje imenibidi niazime simu ili kuomba msaada kwa wataalam
0 Reactions
45 Replies
6K Views
Wataalmu wa usalama ya mitandao katika komputa, wanaonya kwamba kunaweza kutokea mashambulio mengine katika baadhi ya miji dunia, pale tu wataporudi makazini siku ya leo. Inasadikika kuwa komputa...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Nikichomeka flash au ata USB haisomi inalia kama imeingia lakini haionekani, hata nikidownload magame haikubali inaonesha kama virusi. Tatizo ni nini wakuu and how to fix?
0 Reactions
5 Replies
851 Views
Nimeibiwa simu, nilisikia Kuna app ya kujua location ya simu iliyopotea kwa email tafadhali nisaidie
0 Reactions
11 Replies
2K Views
msaada wa kuroot samsung J2
0 Reactions
0 Replies
336 Views
Habari Hawa jamaa wamefanikiwa kuziathiri nchi zaidi ya 150 na sasa hivi nchi nyingi zipo kwenye disaster recovery mode. Je kuna fununu au taarifa rasmi kutoka Tanzania kuwa ni Taasisi au...
1 Reactions
1 Replies
617 Views
wakuu nipo kwenye mchakato wa kununua TV nzuri na nimeresearch TV kadhaa.....nimetokea kuipenda BOSS TV na nataka ninunue ya inch 50 au 55 ......specs zake nimezielewa nataka tu kupata uzoefu wa...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Wataalamu wa teknolojia naomba mnijulishe ni jinsi gani naweza kujilinda na udukuzi wa simu yangu.Kuna mtu ananifuatilia kujua nipo wapi kupitia namba yangu ya simu so nataka niepuke hali...
0 Reactions
4 Replies
980 Views
Naombeni mnisaidie Ntapata wapi kioo cha hiyo mashine.
0 Reactions
0 Replies
474 Views
Habari wakuu, Nilikuwa naomba msaada wa kitaalamu(sound engineering) namna ya kupata vyombo vizuri vya kupigia mziki vipya nikimaanisha kwa ajili ya sherehe, au shughuli mbali mbali zihusianazo...
1 Reactions
10 Replies
5K Views
Huyu ni mallware ambaye ana encrypt file system yako ya windows, Amekuwa produced February mwaka huu Na anakua downloaded from emails au prompt messages za ku update a certain software halafu...
2 Reactions
26 Replies
3K Views
Wakuu nimedownload game la dream league baada ya kuona humu jukwaani wengi wakilisifia, sasa changamoto inakuja jinsi ya kulicheza. Wakuu naomba kuelekezwa jinsi ya kucheza hili game kwa...
1 Reactions
1 Replies
2K Views
Habar wana jukuwa hili pendwa Naomba kujuzwa jinsi ya Ku add image kwenye HTML kwa kutumia notepad ++ or notepad ya kawaida asanteni pamoja na slideshow Wajuzi wa webdevelopers naombeni mnijuze...
0 Reactions
1 Replies
676 Views
guys naombeni msaada nina decoder ya qsat q23 na ningependa kuiconnect na modem yangu ya VODA(modem hizi mpya nyekundu ) nipeni procedures tafadali atanguliza shukrani wakubwa ASANTENI SANA.
0 Reactions
3 Replies
3K Views
Nimenunua Samsung LED TV 28' F4000 ina king'amuzi ndani (Built in receiver) ila naishi wilaya ya kilombero. Je naweza kupata free satellite channels kwa kutumia antena?
0 Reactions
6 Replies
1K Views
habari zenu wakuu natumai wote ni wazima kabisa naombeni kujua
0 Reactions
1 Replies
627 Views
Jana nimenunua Bundle la Buku 1 GB Line ya chuo haikuchuka Hata lisaa bundle likakata Nilikuwa nimeunga na PC internet Hotspot nkahisi labda window ina update automatic, Leo asubuhi nimeweka tena...
7 Reactions
53 Replies
5K Views
Habari zenu wadau, Nipo Ushirombo Geita , Juzi nilinunua receiver ya medicom 930 plus mpeg 2 , Lnb ya azam ya ku pamoja na dish la futi 6 la prime focus ninahitaji kupata f.t.a channel zozote je...
0 Reactions
18 Replies
9K Views
Wakuu,,, Ni bloatware zipi ambazo ni safe kuziremove kwa simu yangu aina ya LENOVO VIBE K4,,,LOLPOP 5.1,,,Maana nimeroot now ndo nataka nitoe izo bloatware Msaada tafadhali,,,
0 Reactions
6 Replies
839 Views
Naombeni msaada ndugu. Zangu Nahitaji application so nauliza nahitaji vitu gani au wajuzi mniambie sh ngap gharama na watengenezaji nawaomba kama wapo inbox
0 Reactions
1 Replies
630 Views
Back
Top Bottom