Habari zenu, natumia king'amuzi cha Azam lakini kuna baadhi ya chanel kama mbili hivi zinaonyesha lakini hazitoi sauti ila zingine zinatoa nini tatizo Wakuu?
Samahani naombeni kujua kama kuna mtu alishawahi kununua application yeyote ile play store; alinunuaje maana kuna application flani ya music nataka kuinunua ni ya Sony ila mimi nilifanikiwa...
With over 1.5 million units sold worldwide, this is the best solution to watch your favourite movies and shows for free!
We all know how frustrating overpriced cable bills and subscription...
Nashida kuna mtu yupo Uganda anataka anitumie mzigo amesema nimpe address yangu na kitambulisho na maelezo yanayoweza thibisha kuhusu mm ili niweze pata uwo mzigo na mm sina vielelezo ivyo...
mambo vp wakuu..
nina ps2 na monitor ya komyuta flat screen...je nini kinahitajika ili kuunganisha ps2 na monitor...ili niweze kucheza gemu kupitia kwenye monitor,...natanguliza shukrani
Jipatie kitabu kwa tsh.3000(pdf),kitakachokupa muuongozo jinsi ya kutengeneza tovuti kwa kutumia wordpress .Baada ya kukisoma utaweza kutengeneza tovuti yako wewe mwenyewe bila ya kumlipa mtu...
Kwa wale wataalam wa IT hebu nielewesheni kuhusu sababu kubwa inayofanya kupotea kwa signal na hasa kwa hizi TV zinazotumia Satellite kama vile DSTV wakati huu wa mvua.Kinachotokea ni nini hasa...
Nilinunua Bundle la Smart la Mwez (elfu 20 unlimited) kwa Matumain kwamba nafanya Cost Reduction lakin Ndio Jipu kuliko inafungua website zote lakin si Facebook sasa Najiuliza ni kwamba Server za...
Simu yangu ni Huawei Y625 inatatizo la kujizima yenyewe wakati natumia inaandika betry high temperature hafu inajizima tatizo hili limeanza leo asubuhi
Naombeni msaada wenu[emoji122] nifanyeje...
Habar wandugu, simu yng inatatizo hainipi notification ya kuonyesha kwamba charge inaingia, sio indicator ya LED light wala alama ile ya zigzag inaingia kimyakimya tatizo hilo limeanza asubuh hii...
Mko poa,,,
Nimeroot simu yangu sasa naitaji best custom rom ili niweze kuiupdate simu yangu
Kama wajua best iyo best custom rom wawez nitonya apa
Simu yangu ni LENOVO VIBE 7010a48
Android lolpop 5.1
Habari wajameni
Mimi nina shida kwenye paypal nikisign up nikiweka email na pasword nikashacomfirm nikiwa hatua ya kujaza information lazima izingue tu
Ninajaza vizuri tu nikibonyeza kitufe cha...
Wakuu mwenzenu nikiingia aliexpress nikitaka kununua kitu kwenye payment method sioni paypal naona tu wananiambia niingize namba ya kadi yangu ya benki
Mara wananiletea alipay halafu wananiletea...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.