nimejaribu kuroot tecno w4 kwa kutumia applivation takribani zote lakini matokeo yake ni root failed. kwa yeyote anayejua kuroot tecno w4 msaada tafadhali.
habari wana jamvi!!
kuna acount ya mtu instagram imekua hacked,imebadilishwa email iliyotumika kufungulia acount(linked email) na password pia imebadilishwa,user name ndo halijabadilishwa...
Habari wakuu. Poleni Kwa majukumu. Naomba Msaada kutoa aina hii ya Virus IMG001 Ananisumbua sana kwenye windows 7 PC na nimejaribu Kwa Avast n Smadav nimeshindwa nikasoma internet nikapewa maelezo...
Habari za muda wapendwa kumputer yangu haidisplay option ya wifi hata ninapowasha wifi ila mwanzoni nilikuwa natumia kama kawaida wireless naomba msaada kwa wataalam.
Wataalum naomba msaada laptop yangu imecorrups window kuna dogo kachezea cjui kafuta nini,kila nikijaribu kuweka nyingine inaniambia no driver nisaidien wataalam wa it.
Wakuu naombeni msaada nifix external harddrive yangu imegoma kusoma kwenye window , ilikuwa na virus ikagoma kufunguka mpaka niiformat ikabidi nifanye hivyo lakini sasa hivi imegoma kabsa kusoma...
Wakuu mliobobea katika technolojia naombeni mnisaidie nilikuwa naangalia tv ghafla picha ikapotea nikawa nasikia sauti tu, mwisho ikakata na sauti nimeangalia moto {power} inaingiza tatizo...
Nimekuwa na host Web services (kama sehemu ya website) zetu kupitia Web Hosting Company kama vile godaddy, etc
Web services hizi huwa zinatumiwa na mobile apps zetu ku-access data kutoka kwenye...
Humu kuna kipindi uliwekwa uzi ukielekeza namna ya kuongeza speed ya utendaji wa simu za android nikafuata zile njia kweli kifaa kikawa kiko faster,sasa simu nimei-reset nahitaji kuelekezwa zile...
Nawezaje kuplay PVR Video (Videos nazo records toka Azam Decoder) kwenye PC? huwa napenda kurecords videos kutoka kisimbusi cha azam na napata forma inayoitwa PVR kila nikijaribu kuicheza kwenye...
Nimevutiwa sana na wanao tafsiri movie mbalimbali ila nahisi kuna kitu wanakosea au wanakosa mimi nahitaji kurekebisha hicho ila sina idea yoyote juu ya kile wakifanyacho,nataka kurekebisha...
Wadau, naombeni msaada wa unlock codes za HUAWEI ASCEND Y530, inatumia line ya tigo pekee, inakera kweli ninapokuwa nimeenda maeneo ambayo network inazingua.
So, naombeni msaada pls
Itakuwaje nikikimbia kwa speed kali zaidi ya mwanga? Ikiwa kuna speccial body protector, na nikauzidi mwanga kwa speed, kinaweza kutokea nini au naweza kuona nini?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.