Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions
Hi! wana jamvi Anaejua mataizo ya bootlooping kwa lg please Maaana na mpango wa kununua v10 ila sikia ina fanya bootlooping Kwa watumiaje wa v10 je mmexperience hii kitu?
0 Reactions
1 Replies
797 Views
Wakuu naomba msaada wa website zilizoblokiwa nashindwa kudownload baadhi ya vitu nashindwa kuinstall application
0 Reactions
1 Replies
473 Views
Kwa wafanya biashara wa jumla walioko Zanziber wanao uza vioona cards za flat screen (tv)naomba tuwasiliane ili tufanye biashara.
1 Reactions
0 Replies
1K Views
Habarini wa kuu wa jamvi natatizo mm ni wakala wa halotel tatizo lang ni kwamba laini yangu ya halotel ina nipaga wakati mgu sana hii ya kusajilia line kwenye kupandisha network I mean 3G ama...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Habari zenu, Nilikua natumia vizuri tu gbwhatsapp kwenye simu yangu halafu siku hizi ikaanza kuniletea alert kua niupdate,mwanzo ilikua inafunguka bila hata ya kupdate lakini sa hivi haifunguki...
0 Reactions
12 Replies
6K Views
Hello wakuu wa jukwaa hili Nina huwawei tablet model T1 701u ina tatizo kwenye network inakubali 2G tu network inasoma kwenye internet iko slow sana nashindwa kuinjoi. Nikichange pale kwenye...
0 Reactions
0 Replies
514 Views
Wana Jf naomba msaada wa kupata keyboard tajwa hapo juu,yangu iliingia maji ikapiga shoti.
0 Reactions
3 Replies
788 Views
Jukwaani tafadhali nawaomba nisaidieni namna ya kuzuia mtu asinipigie kwenye mwito wa simu wa kawaida. Upande wa WhatsApp sina tatizo napo, lakini mwito wa kawaida wa simu sifahamu hatua...
2 Reactions
76 Replies
15K Views
Wadau tushirikishane mawazo katika hili. Nimekutana nalo katika matumizi ya App moja ikaweza kunionesha matumizi ya kila Application niliyoinstall katika simu yangu na ikaweza kunionyesha kila...
0 Reactions
16 Replies
4K Views
Branding & 2d na 3d animation Kwa tanzania je inatoa ki maisha ? Maana nimeuliza wengi wanasema kwa east afrika kenya inawatoa wengi je wale wanao fanya fani hii hapa tanzania wananufaika vipi?
1 Reactions
3 Replies
1K Views
Hivi nikitaka eneo flani liweze kuonekana kweny google map nafanyaje? Mfano nyumba au mtaa then mtu akisearch kwenye google map anaiona hyo nyumba au mtaa. Msaada wenu wadau
2 Reactions
21 Replies
4K Views
Naomba wanajamvi mnisaidie kujua jinsi ya kuroot simu ya Tecno N8. Natanguliza shukrani.
1 Reactions
1 Replies
3K Views
Habari wakuu, Laptop yangu aina ya acer aspire e3-111 yenye windows 7 x64 na speaker za Realtek; ilianza tatizo la kutotoa sauti, hata nikichomeka earphone sauti haitoki. Nimeinstall latest audio...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Habari mafundi Nina simu yangu Nokia Lumia 525 inatatizo la kuto peleka chaji ILA uki zima sim alafu ukachomeka chaji inawaka ikimanisha inqingiza chaji ila ukisha waka haipeleki chaji na hata...
2 Reactions
4 Replies
1K Views
Blog yangu ina siku 10 je naweza pata google adsence
0 Reactions
4 Replies
778 Views
By Andrey Arkusha / Global Look Press ULAYA na AMERIKA: Mmiliki wa tovuti yenye maudhui ya ngono kwa watoto afungwa miaka 30 jela. Watembeleaji takribani 900 wakamatwa. Kwa mujibu wa FBI watu...
3 Reactions
0 Replies
2K Views
Naombeni msaada nimeshidwa kujiunga naPaypal.
0 Reactions
3 Replies
1K Views
I am Tanzanian based in Dar es salaam and holding degree in Economics. I have experience in quantitave and qualitative research as well as data entering using SPSS, STATA, Epi Data & Ms. Excel...
0 Reactions
3 Replies
740 Views
Mimi ni kijana nina elimu ya kidato cha sita kwa ufaulu div 1 ya 9 PCB ila nilikosa mkopo mwaka jana (2016) nikiwa mwaka wa kwanza hivyo nikasitisha chuo naomba msaada niweze endelea na masomo...
1 Reactions
14 Replies
1K Views
Hivi hii app ya MStz ni genuine au ni utapeli tu unaokuja kwa sura ya mficho. Kuingia tu unaombwa kulipa 45,000 elfu. Wanadai eti ina uwezo wa kuhack sms za mtu bila kujua. Nisadieni hapo..
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Back
Top Bottom