Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions
Monitor yangu imekua na tabia ya kuchelewa kuwaka baada ya ku switch on inachukua zaid ya dakika 10 ku display aina ya monitor ni Fujitsu Siemens. ..msaada wadau
0 Reactions
8 Replies
741 Views
Habari wakuu. Sina muda tangia niinunue hii laptop lakini hii tabia ya kuonyesha mawimbi hadi mida mwingine inazima screen.je jinsi gani nitasolve hilo tatxo wakuu
0 Reactions
4 Replies
1K Views
IPad yangu imezingua kuda mdogo wangu alikua anacheza game kilichokuja kutokea ni kujilock kwa hiyo inadai ni activet Icloud acaunt nimejaribu nimeshindwa msaada Tafadhali.
0 Reactions
9 Replies
1K Views
Habari humu! Naombeni kwa anayejua kusave kazi kwa pdf,, kazi ambayo tayari ipo kwenye ms word!
0 Reactions
5 Replies
3K Views
Habari wana Jamii nina printer aina ya epson T50 ina tatizo la kuto ku print na badala yake inawaka taa mbili nifanyaje jam
0 Reactions
0 Replies
3K Views
Habari wanajukwaa, narudi tena kwa mara nyingine kuomba msaada kwenu experts wa haya mambo. Simu yangu aina ya Huawei Y520 inagoma kabisa kuinstall baadhi ya application kama opera na wakati...
0 Reactions
12 Replies
8K Views
Wadau salaams.. Wataalamu wa satellite dish msaada tutani.. King'amuzi changu cha startimes ya dish Leo kimepoteza local channels zote mpaka tbc1. Je ni tatizo la Decorder yangu tu au ni kwa...
0 Reactions
18 Replies
4K Views
Habari wana JF, Karibuni tena kwa mara nyingine kwenye makala nyingine mpya kutoka Tanzania Tech, Leo tutaenda kujifunza njia hii ya kutumia kompyuta kwenye smartphone yako ya Android au iOS. Njia...
2 Reactions
5 Replies
5K Views
Wakuu nataka Nimpeleke dogo kwenye Driving je Kwa Vyuo kama VETA-Chang'ombe au NIT itamchukua Mda gani Kuhitimu? Wapi bora kati ya NIT na VETA? Je Ada bei gani kwa Course hizo za Driving za...
1 Reactions
2 Replies
8K Views
Salaam, Wadau kuna radio moja inapatikana Dar es salaam inaitwa Praise power radio, nafikiri haina coverge kwa mikoa ya nje ya dar es salaam, Nauliza ni kwa namna gani ninaweza kupata access ya...
0 Reactions
7 Replies
3K Views
! ! Ni lisaa la pili hili imeandika tu tecno halafu hakuna kinachoendelea. Nimefungua nyuma nitoe betri na kwenyewe kumefungwa betri kulitoa haiwezekani. Naambatanisha na picha nikitumaini...
1 Reactions
29 Replies
5K Views
Wataalamu, Natafuta transistor hio ili nifufue Music system yangu na BosE. Mwenye kujua wapi nitaipata Dar es salaam anisaidie tafadhali. Nawasilisha.
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Naombeni msaada ndugu zangu mahara naweza kukipata hicho kioo, kariakoo nimetafuta sijapata..
0 Reactions
2 Replies
759 Views
habar wanajamvi?? kichwa cha habar hapo nashindwa kabisa kubadili storage kutoka kwenye simu adi kwenye memory card simu yangu ni samsung galaxy j3(6) duos msaada wanajf
2 Reactions
16 Replies
2K Views
Laptop yangu imegoma kuwaka. Laptop ni mpya, ina miezi mitatu tuu. Dell customer service center ipo wapi hapa Tanzania?
0 Reactions
2 Replies
785 Views
Wakuu heri ya mwaka mpya. Naomba mnisaidie kwa ambao walishanunua vitu online kupitia hiyo ebay, vinachukua mda kufika tz? Inatumwa moja kwa kupitia Posta ama inatumwa kama parcel? Niliagiza...
3 Reactions
24 Replies
5K Views
Habari wakuu, naomba kujua simu nzuri ya Huawei kwa affordable bei. Chief-Mkwawa
0 Reactions
0 Replies
743 Views
Wachumbatz.co tz Kwangu mm naona ni application mbovu sana kutengenezwa nchini sababu 1:Ukipoteza password hadi uwapigie simu 2:Hakuna option ya Ku recovery password 3:aina mvuto ipo bored sana ni...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
wakuu habari za wakati..kama kichwa cha thread hapo juu kisemavyo..naomba mwenye serial key ya game la footbal manager mwaka 2017 anisaidie.au anielekeze jinsi ya kuzipata online kwa free...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Wana jf copyuta yangu imegoma kujiconect na modem, inaditect ila nikikonect inaniambia kuwa "a connection to a remote computa..... Na maelezo mengine", nime unstall na ku install upya ikagoma...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Back
Top Bottom