Samahani naombeni kujua kama kuna mtu alishawahi kununua application yeyote ile play store; alinunuaje maana kuna application flani ya music nataka kuinunua ni ya Sony ila mimi nilifanikiwa...
wadau habari za mchana. naombeni mnisaidie. nipo na wadau hapa twabishana kuhusu browser nzuri. nimeamua niwafowadie wadau muweze kutusaidia. ipi ni browser nzur na current katika matumizi kati ya...
Wataalamu msaada wenu mimi tar 3 mwezi huu niliibiwa tablet nimebahatika kupata IMEI moja tu kati ya Mbili Je hiyo inaweza ikanisaidia kuipata pasipo nyingine ya pili?
Nilienda kuripoti police...
Habar zenu wana jf, mm ni mshamba naweza sema hvyo, ninakicmu changu tecno w4 nataka weka font ila kila nikijarbu inagoma inasema inataka root so cjui inakuwaje wanajf naomb msaada jaman
Habari zenu wana jf simu yangu j7 prime leo imeanza na tatizo inajizima na kujiwasha na tatizo lingine nashindwa kuangalia baadhi ya vitu kuna apps inaingilia.
Naomba msaada wenu wakuu kipi...
Mr. Rama Esteem from Dar es Salaam, who was just a guest guest at the LG 2017 System Air Conditioning Tech Seminar and the Launch of the new eco-friendly & energy efficient air conditioning...
Samsung ni moja ya makampuni makubwa duniani kwenye uwanja wa teknolojia. Kutengeneza simu zinazotumia Android OS naona kama ni embarasment kwa kampuni kubwa hivi.
Sidhani kama watashindwa...
wadau habari za mchana. naombeni mnisaidie. nipo na wadau hapa twabishana kuhusu browser nzuri katika window OS. nimeamua niwafowadie wadau muweze kutusaidia. ipi ni browser nzur na current katika...
Habari za asubuhi,
Naombeni msaada,
Mimi ni Mshamba kiasi flani, tangu nitumie simu /nibadilishe simu nimekuwa nikitumia aina za Tecno, nikianza na P5, nikaja kwa Tecno Phantom min, J7 sasa leo...
Habarini za Jmosi hii tulivu..
Ombi langu ni moja tu..kama kuna mtu anaweza kunielekeza namna ya kupata setup ya Microsoft Office online..au in 'any how" kufix..tatizo langu nitashukuru sana...
Habari wana jf wenzangu? Naomba kujua ni app gani inaweza saidia kupunguza ukubwa wa video ninazorekodi kwenye simu bila kupoteza ubora. Yaani unakuta unarekodi video dakika moja tu ina ukubwa wa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.