Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions
Jamani ebu nisaidieni formula volt out ya transister nitapataje
2 Reactions
12 Replies
3K Views
Wanajukwaa nawezaje kutrack samsung note 5 kwa kutumia IMEI pia ilikuwa na samsung cloud
0 Reactions
4 Replies
832 Views
Habari wana jf, nimeagiza simu dar na anaenunua yuko dukani sumsung galax a5, nimtumie bei gani asije niingiza chaka maana jamaa ni mjanja janja sana
0 Reactions
8 Replies
45K Views
Wajuzi wamambo embu naomba mnieleze ni nini kinaikumba whatsapp siku za hivi karibuni muda huu tena server hazifany kazi na karibu dunia nzima hakuna services ya whatsapp. Kama sikosei wiki mbili...
1 Reactions
3 Replies
960 Views
Habari wanajamii, Naomba kwa anaejua program/software ya kuflash na kuformat android mobile na simu zingine anisaidie nimejaribu kugoogle lakini sijaweza kupata maana nikizipata hapa kwenye eneo...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
TECNO L9+ MKOMBOZI WA WATANZANIA. Kampuni ya simu yenye asili ya China, Tecno Mobile imekuja na ufumbuzi wa tatzo la simu janja (smart phone) kutokaa na chaji kwa muda mrefu. Tecno...
3 Reactions
30 Replies
11K Views
Habari zenu wanajf. Nina shida pc yangu pindi ikiwashwa inanguruma kama processor inapiga kazi afu inakata ghafla (inazima). Na wakati mwingine ikibahatika kuwaka ukiplay movie tu au ukifungua...
0 Reactions
3 Replies
3K Views
"Hottel memo" Alien hoax reappears online after 60 years It seems like some people will believe almost anything as they continue to pursue the so-called "truth" behind Area 51. And that’s why the...
1 Reactions
38 Replies
7K Views
Wadau nataka kununua smartphone ya Android ya chini ya ya laki 5 nishaurini ninunue ipi?
0 Reactions
47 Replies
6K Views
Poleni na kazi wanajamvi! Naomba kuulizia kuhusu simu zenye application ya microsoft words, excel n.k Nimetamani kuwa natumia simu kwenye kufanya kazi za microsoft word wakati ambao siko na...
1 Reactions
25 Replies
6K Views
Unashauriwa usisubiri simu iishe chaji mpaka asilimia ziro ndio uichaji . Wanashauri simu isipungue asilimia 50. Tusaidie kushare na marafiki zako.
1 Reactions
13 Replies
4K Views
Mvulana wa umri wa miaka 10 nchini Finland ameshangaza wengi baada ya kugundua udhaifu katika mtandao wa kijamii wa Instagram. Mvulana huyo kwa jina JANI ametunukiwa $10,000 (£7,000) baada ya...
3 Reactions
42 Replies
5K Views
msaada application ya GB whatsApp inayosupport kwenye iphone 5s
0 Reactions
5 Replies
4K Views
Nitajitoaje simutv katika simu yangu?meseji zinasumbua,nilijisajili wakati nikiwa na simu nzuri hiki ki nokia tochi kimeshindwa!
1 Reactions
4 Replies
2K Views
Wadau, poleni na majukumu ya siku. Naombeni msaada jinsi ya kurudisha network kwenye simu yangu P7 huawei nimejaribu setting-search network imegoma. nili factory reset simu ndio likajitokeza hili...
1 Reactions
5 Replies
1K Views
Habari ndugu,naomba kujua km IC namba BT2025 Na TEA ni equivalent?. Mana kuna kisubwoufer nlikuwa narekebsha kina namba BT2025,sasa nimejarbu kutafuta madukan nakuta tu TEA 2025 Na CD2025.kabla...
1 Reactions
1 Replies
946 Views
ACCESS SOFTWARE HARDWARE Maneno hayo yanatumika kwa namna gani ktk ulimwengu wa technology...
0 Reactions
6 Replies
921 Views
Wadau nauliza ni kivip naweza kutumia namba ya nje ya nchi wakati huo niko hapa bongo katika Watsup
2 Reactions
25 Replies
10K Views
Hello Wana JF Nina Tv ya samsung inch 43, imeniletea langi mbili tofauti, tatizo litakua nini?
0 Reactions
21 Replies
3K Views
Wataalam na watundu wa digital Salaaam Naomba kujuzwa program au Application naweza kuinstall kweny simu hizi za smartphone yenye uwezo wa kuzuia SMS na Calls zote za simu za kawaida. Kuna baadhi...
0 Reactions
16 Replies
5K Views
Back
Top Bottom