Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions
Wakuu wa Tech habari?? Hivi majuzi niliamua kuwa natumia website ya Learners TV kujifunza masomo mbali mbali n.k. tatizo kila nikitaka kufungua Video training yoyote nakutana na error#2035...
0 Reactions
0 Replies
611 Views
jaman naomba msaada wa hali na mali jinsi ya kuanloack moderm ya airtel model E173u-1 ili niweze kutumia katika mitandao yote yaani napata tabu sana naombeni msaada wenu
0 Reactions
4 Replies
884 Views
naomba kujua kuficha namba ya simu kwenye whatsap group ni. prpperty ya simu au whatsap application yenyewe kwenye setting. kwenye kujua, naomba msaada wako. asante sana
0 Reactions
5 Replies
870 Views
Wakuu naombeni msaada, nikiingia fb naona comments za picha tu
0 Reactions
1 Replies
574 Views
Hbr wakuu, Naomba anaejua kutumia built-in satellite ya smart TV anisaidie na mie nifaidi teknolojia hii. Natumia TV ya LG, hiyo feature IPO ila nashindwa kui set ifanye kazi
0 Reactions
0 Replies
760 Views
Utafiti umefanyika huko marekani na kubaini kua simu za android zina uwezo mzuri kuliko simu za Iphone. Binafsi bado naamini Iphone ziko overrates tu ila hazina kipya kuliko sim za android. Soma...
2 Reactions
16 Replies
1K Views
Wadau habari zenu. Ni kwamba natumia Browser ya Opera katika PC yangu. Lakini mara kwa mara ninabonyeza ukurasa fulani, Mfano Nipo ukurasa wa jamiiForums, nikijaribu kufungua Thread fulani...
0 Reactions
5 Replies
872 Views
Wakuu Kama kichwa kinavyojieleza hapo juu Nyumbani nimenunua flat TV ya 50" tangu ninunue matumizi ya umeme yameongezeka maradufu yaani unit 5-6 kila siku zimeongezeka kwenye matumizi. Tatizo nini...
1 Reactions
47 Replies
10K Views
Wanadai hii app yao iliyopo google play inaweza kuhack mawasiliano ya mtu. Ila ukisha install wanadai uingize namba unayotaka kufuatilia na kusema wamekamata mawasiliano yake. baada ya hapo...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Habar zenu wana jf,naomben Masaada wa maelekezo namna ya kuboost network coz huku ninakoish mtandao wa internet ni shida kidogo haipatikan hata 3G,lakn nikiwa seburen naipata 3G na inafuction...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
ExtraTorrent with all mirrors goes offline.. We permanently erase all data. Stay away from fake ExtraTorrent websites and clones. Thx to all ET supporters and torrent community. ET was a place to...
2 Reactions
15 Replies
5K Views
Rejea kichwa cha habari chausika. Nipo Kahama Bajeti yangu 50,000/= Asanteni
1 Reactions
21 Replies
1K Views
Jamani Naombeni msaada kwene hili. Nataka kuscan document ila nataka kitumia ile program wanayotumia watu wa mitandao ya simu kusajili laini ambayo huwa tunasaini kwene screen ya simu. Kama kuna...
0 Reactions
14 Replies
2K Views
Jaman mim ni kijana mwenye umri furan nimesoma mpaka kidato cha nne nahitaji jikwamua kwa kusomea masuara ya software sabu ya kujkwamua ma mengi na kiuharisia napenda sana masuara ya mitandaon kwa...
2 Reactions
40 Replies
3K Views
nataka kubadilisha processor ya pc yang(dell inspiron 15) kutoka pentium (R) 1.9ghz kwende core i3 2.4ghz nataka kujua vitu gani muhimu vya kuangalia ili niupgrade
0 Reactions
7 Replies
4K Views
habarini za asubui nilikuwa na shida moja ivi siwezi ku convert dynamic ip address nayopewa na isp kuwa static ip? na kama haiwezekani. nawezaje pata static ip address na bei inakuwaje? pia ni...
1 Reactions
14 Replies
2K Views
Katika pitapita zangu google playstore nikakutana na app ya Vodacom Nikaona ni vyema ni install ili nione kuna kipya gani kipo ndani. Baada ya kudownload na kuinstall nika launch app ili niicheki...
1 Reactions
19 Replies
3K Views
Habari wanajamvi? Ni katika jiji la St petersburg huko urusi ambapo team ya programmers wa kampuni ya Jetbrains walipojaribu kutumia mapungufu ya Java na kuanzisha programming language ambayo...
0 Reactions
14 Replies
2K Views
Samahani wandugu, naomba msaada wa wapi zinapatikana hapa Tanzania, simu za Nokia android na bei zake. Wasalaam
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Back
Top Bottom