habari wana jamii
Naitwa sumu ya panya haina haja unijue zaidi kazi yangu ni anti-privacy napenda kuleak taarifa,kupoteza ushaidi na taarifa za kimtandao,nafungua Locked...
Habari wa tech
Simu yangu ya tecno Ina shida ya kubadili majina tofauti na nilivosave mathalini jina la huyu atapewa huyu wengine inaunganisha kitu inachonipa shida sana kwenye mawasiliano...
Habari wakuu, poleni na majukumu, mimi ni fundi simu nafanya hardware na software hivyo nahitaji watu au ofisi ya ku-share tufanye kazi, napatikana Dar.
Nina laptop imeanza kunisumbua. Pointer yake haitulii ninapogusa touch, nikiachia hata nikitumia mouse Inaendelea kucheza cheza nashindwa kufanya kazi zangu, nimepeleka kwa fundi amekorokochoa...
wataalam habari zenu
naomba msaada simu kila saa inaleta pop up katika screen nime disable kila kitu ila nikiwasha data tu zinakuja nikiclose baadae inakuja ingine saa ingine zinakuja hadi picha...
Antivirus Firm Kaspersky launches Its Own Secure Operating System
The popular cyber security and antivirus company Kaspersky has unveiled its new hack-proof operating system: Kaspersky OS.
The...
Watanzania wenzangu nisaidieni,kuuliza siyo ujinga.
Tunajua Western Union au Rapid Transfer ni njia za kutuma fedha from nchi 1 kwenda nyingine, sasa kama nataka nipokee pesa kutoka Iran or...
Habar za leo wakuu
Simu yangu (iphone 5s) imepasuka kioo hivo nahitaji kama kuna mtu ana simu kama hii yenye icloud aniuzie ili nitoe display niweke kwenye cm yangu
Budget yangu ni efu 50
Wakati watu wengi hutumia mitandao ya kijamii kwa kupiga stori na jamaa na marafiki zao,wengine hujaribu bahati zao kimaisha kwa kutumia mitandao hiyo.
Kijana mmoja Hassan Habiyambere anasema...
Hivi unapo-boost post au page kwa kutumia credit card unalipia malipo halali kabsa I mean pesa au maana unapojaza ile credt card tayari unakuwa umefungua adsacount na unakuta $$ nyingi kwenye...
Habari za mda huu wakuu naombeni msaada wenu katika hili,nina page facebook na leo nilikua najaribu ku boost post yangu ili tangazo langu liwafikie wengi zaidi na sehemu zenyew ni hizi mbili...
Jamani samahani, nina simu yangu ghafla tu haitoi sauti pindi nipigapo simu au kupokea na kuita inaita nimecheki spika zote ziko safi sielewi nini tattizo. Model ya Simu ni HTC one.
Hello Gentleman and ladies ,naombeni kama kuna mtu anayejua App ya kitabu cha dini ya kiislam Kile cha kuanzia kujifunzia anipe links please. Natanguliza shukrani kwenu, mimi ni RC napenda sana...
Habari za kazi na majukum wadau wa JF, naomba msaada wa ufafanuzi juu ya kuzima hizi sim aina ya smartphone bila sababu mfano ukiwa unapiga picha, unafungua application, unacheza game, upo online...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.