Imei iko sawa kabisa,baseband ila nikipiga simu inaniambia not registered on network,nmejaribu kurpair network ila bado haijakaa mkao, line inasoma na mnara unajaa nmeshabadili modem.bin zaidi ya...
Yan cm yangu ya promo ya Alcatel zile ndogo za button ..inazingua haiwaki yan nnikicharge pia haingii ....na haiwaki na niliitumia kwa muda ila imeanza kusumbua hivi karibuni...naombeni msaada...
Habarini wakuu, wikiendi nzima mpaka Leo nimekuwa nikihangaika na project ya kutengeneza portable lab power supply and universal power adapter
Katika project yangu hii Nilikuwa nikitumia Dell...
Inawezekana ndio unaanza kutumia programu ya WhatsApp au hata pengine ulikua unatumia programu hiyo kwa miaka mingi sasa, lakini pia inawezekana ulikua unakosa kutumia programu hiyo vizuri kwa...
Hii ni Teknologia inayo ziwezesha Computer (Servers) Tofauti kufanya kazi kama computer (Server) Moja. "unlimited number of machines to act as one system"
Hosting solution nyengine (shared...
Naombeni msaada wakuu nina printer tajwa kila nikiprint haiprint inaleta error hii"supply memory"lakini pia kuna wakati inatafuta karatasi,shida inaweza kuwa nin wakuu na solutions yake nini...
Habar Wakuu.
Ninahitaji msaada wa software ya ku unlock file zilizo kuwa compressed in .rar format na zina paassword. Nimejaribu soaftware nyingi lakini zinahitaji kuwa na full version. Yeyote...
Habari waungwana na wana JF, napenda kuwa karibisha kwenye group la Whats App Tanzania Tech hapa utaweza kupata msaada wa kiteknolojia kutoka kwa watu mbalimbali ikiwa pamoja na kupata makala...
anaeuza used monitor ya desktop lower resolution.. plz niwekee namba hapa.. au kama unajua mtu anaeuza iyo used electronics mtonye naitaji.. nipo dar es Salaam..
Sina story nyingi suala langu ni kwamba niko mwanza ninahitaj mtu wa kuinstall php myadmin na apache kwenye laptop yangu mwenye uwezo anicheki 0759212578
Habarini,
Nahitaji kufahamu kwa Dar ni eneo gani wanauza no-test pc, yaani computer ambazo ni mtumba na hazijajaribiwa vifaa vyake. Msaada wakuu anayefahamu zinapouzwa jijini Dar.
Nimeandaa Video za namna ya kuunda tovuti. Video hizi ni kwa ajili ya yeyote mwenye kupenda kujifunza, Video hizi ni kwa ajili ya mwanafunzi aliyeko chuoni au hata yule aliye kwisha maliza chuo...
Nimeandaa Video za namna ya kuunda tovuti. Video hizi ni kwa ajili ya yeyote mwenye kupenda kujifunza, Video hizi ni kwa ajili ya mwanafunzi aliyeko chuoni au hata yule aliye kwisha maliza chuo...
Wakuu Kile Kirusi bado kinapambana Na Mifumo weak ya IT Kampuni ya Usafirishaji ya British Airway wamelazimika Kufuta safari baada ya Mfumo wa IT kufeli katika Sehemu zote walizopo Duniani.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.