Urembo, Mitindo na Utanashati (Lifestyle)

JF Lifestyle: Mijadala kuhusiana na masuala ya Urembo, Mitindo na Utanashati kwa ujumla wake
Zenye ubora ni zipi?
1 Reactions
4 Replies
1K Views
Feather style Sent using Jamii Forums mobile app
3 Reactions
15 Replies
3K Views
Samahani kwa kutumia lugha kali kidogo. Nimetembea Mikoa mingi hapa nchini, na kila nikienda benki yoyote utakutana na wahudumu wanawake waliovalia nguo fupi zilizowabana maeneo muhimu. Unakuta...
4 Reactions
61 Replies
14K Views
wanadai zinazuia shati lisijikunje au kichomoka Hata ukiinama,huku ikikuweka smart mda wote, Je kuna ambae ameshatumia atupe mrejesho? Sent using Jamii Forums mobile app
2 Reactions
14 Replies
4K Views
Au ndo usasa! Sent using Jamii Forums mobile app
3 Reactions
37 Replies
7K Views
? Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Tena nyingine hazina herming zinakatwa tu.
2 Reactions
1 Replies
2K Views
Kwa hali hii acha nivae mabwanga yangu Sent using Jamii Forums mobile app
2 Reactions
15 Replies
4K Views
Nimeanza gym, je nile vyakula aina gani ili mwili ujengeke kwa wepesi nimechoka kuwa kimbaumbau.
6 Reactions
18 Replies
7K Views
Leo mr Prez alikuwa anacheki game ya staz VS uganda Code(Nguo) alizotupia nimezielewa, CC Zero IQ
15 Reactions
239 Replies
29K Views
Wacha nilisemee hili,maana limenichosha na kunitia kinyaa. Haiwezekani unaingia chumbani kwa binti wa karne hii ya 21 unakutana na vitu vimetapakaa kila sehemu,masufuria yamejaa koyo,miko na...
0 Reactions
14 Replies
2K Views
Here are 5 certain types of tummies and how to get rid of them: 1. Alcohol belly Drinking too much alcohol drinks can prevent your body from digesting the food properly. Also, alcoholic beverages...
2 Reactions
1 Replies
1K Views
Wadau habari. Naamini wapo wanaofahamu mapigo haya naweza pata wap shati kama hili. Natanguliza shukurani Ts temporary post Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
30 Replies
6K Views
Hbr za mda huu wanajamvi Nisipoteze muda sana naona bora niende kwenye uzi moja kwa moja Wakuu ninashida na viatu vya balenciaga (one pair) chenye gamba jeusi na soli nyeupe Nimetafuta...
0 Reactions
15 Replies
4K Views
Jamani nini maoni yenu, Tunaposafiri, chupi tuwape watu wa hoteli wafue au tufue wenyewe, maana tunapofua wenyewe ukaukaji wake si mzuri maana tunaanikia ndani na mara nyingi zinasababisha...
2 Reactions
22 Replies
4K Views
1. Zingatia aina ya sherehe na rangi Je, ni sherehe rasmi, ya kuvaa kawaida au ya mavazi maalum(costume party)? Pia chunguza kama kuna rangi mahususi kwa ajili ya waalikwa na jitahidi kuijumuisha...
5 Reactions
0 Replies
4K Views
Habari zenu wadau. Nimepanga nyumba moja hivi mjinj. Nyumba hii ina masista duu watatu hatari ambao ukikutana nao barabarani lazima zipu ikaze. Yaani ni mademu haswaa!! Lakini wanakasoro moja ya...
4 Reactions
36 Replies
7K Views
She was born in 1993 and now she is nursing a 4 month old baby. " Siku hizi magonjwa mengi sana. Nipo na mtoto wangu huyu mmoja sitaki habari za wanaume. Nikipata MTU wangu mmoja natulia nae coz...
1 Reactions
33 Replies
4K Views
Mimi hupenda sana utanashati, kuvaa vizuri yaani nguo safi, imepigwa pasi vizuri, mpangilio wa kuvaa nguo, viatu na mkanda wa kiunoni, nguo sio za gharama sana, hata mitumba navaa ila napangilia...
2 Reactions
16 Replies
5K Views
Habarini, Unapokuja katika suala la mavazi mafupi, wapo wanawake ambao wamejaliwa na miguu yao mizuri ya bia wakivaa wananoga. Uvaaji wa nguo fupi umekua unawachoresha hawa wenzetu wenye miguu...
2 Reactions
57 Replies
16K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…