Urembo, Mitindo na Utanashati (Lifestyle)

JF Lifestyle: Mijadala kuhusiana na masuala ya Urembo, Mitindo na Utanashati kwa ujumla wake
Wapendwa ni lotion gani au creem inayofaa kwa mwanaume ambayo haichubui kurudisha ngozi yake ya asili iliyoathirika na jua muda mrefu.
1 Reactions
30 Replies
31K Views
Unapochagua mascara kuna mambo muhimu ya kuzingatia kulingana na lengo lako unalotaka kutimiza. Unatakiwa kujua unataka kope zionekane ndefu( lengthenning), zionekane zimejaa/nene (thickenning)...
10 Reactions
199 Replies
16K Views
Jamani kuna mdogo wangu kafeli matokeo ya form IV sasa nafikiria kumpeleka katika fani za kujiajiri na nimewaza hairdressing na mambo kama hayo ya urembo. Je , kwa hapa Mwanza ni sehemu gani...
1 Reactions
6 Replies
17K Views
Haya...kwa wale wapenzi wa sneaks hebu fungukeni. Ni kicks gani mnazozipenda? Cheki kitu cha Giuseppe Zanotti hicho....kimetengenezwa na ngozi ya chatu! Ukienda Neiman Marcus kinapatikana...
8 Reactions
114 Replies
22K Views
hapo vepe? Sent using Jamii Forums mobile app
2 Reactions
12 Replies
2K Views
Baadhi ya watu wamekuwa wanachukulia kirahisi ulaji wa matunda, lakini unapaswa kujua kwamba matunda ni muhimu kwa afya zetu kwani yanatukinga na magonjwa mbali mbali na pia hutengeneza muonekano...
4 Reactions
11 Replies
14K Views
Et jaman haya mafuta napaka wakat gan imean wakat wa kuosha au napakaa kama mafuta ya kawaida ya nywele nmeambiwa yanasaidia nywele Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
6 Replies
6K Views
Wapendwa habari za weekend,naomba msaada wa kiushauri....nina sumbuliwa Sanaa na rushes (vichunusu,vipele) usoni hivyo kupelekea kupaka mafuta ya nazi tu,mm sio mpenzi wa tube(cream) za kutoa...
0 Reactions
27 Replies
6K Views
Hellow wapendwa naombeni mnisaidie ntapataje saloon au vyuo vinavyotoa mafunzo ya urembo,kama kusuka,make up kwa mwanza au ata sehemu nyingine tu Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Habari wapendwa, Natamani sana kujua jinsi ya kupaka makeup the basics tu, kila nikiangalia you tube videos za simple makeup naona makorokoro mengi mara foundation, primer, eye cream, lip liner...
1 Reactions
3 Replies
4K Views
Habari waungwana Kama title inavojieleza kwa aliewahi tumia hayo mafuta naomba anipe mrejesho na je yanachubua au yanang'arisha tu?
0 Reactions
24 Replies
26K Views
Naomba kufahamu wakuu,mafuta mazuri yasiyochubua kwa mtu mwenye ngozi kavu.
0 Reactions
30 Replies
20K Views
Before beginning presenting on what has been bothering me for along long time,I would love to greet you all and also inform you that i will be using using swanglish to communicate.If you have a...
2 Reactions
11 Replies
3K Views
naenda moja kwa moja kwenye point... hivi kama wanaume tumefikia mahala kuvaa suruali/jeans za kubana hadi ifikie.. 1 -kuipandisha hadi kiunoni si chini ya dk 5 na kuchomekea vest na shati dk 5 2...
9 Reactions
75 Replies
14K Views
Wataalamu naomba tupatiane Maarifa Je ni mafuta gani ni mazuri kwa kusinga (massage) Nataka kuyafahamu
4 Reactions
38 Replies
18K Views
Salaaaaam Waungwana ni mafuta gani mazuri na yanayofaa kwa mtoto?
0 Reactions
19 Replies
23K Views
Wewe na girlfriend wako wote ni wanafunzi alafu unambiguous mzinga wa laki mbili binti wa watu inategemea atazitoa wapi? Ukisikia kuna jibaba la TRA linaghramia eti unamwita malaya hii ni sawa...
9 Reactions
76 Replies
8K Views
Wakuu nadhani mko poa,kama kichwa cha habari kinavyojieleza,nimekuwa mtanashati mno hadi naonekana kero kwa watu wangu wa karibu nini nifanye ili nijiepushe na hali hii ??? Kama ujanipata hebu...
4 Reactions
146 Replies
14K Views
N kwel haya mafuta haya chubui kwa anae yajua au anae tumia
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Leo ningependa nitoe shukurani zangu kwa Rais wetu JPM kwa kuongeza idadi ya wanawake wenye vipara au wenye nywele za kunyoa. Ki uhalisia wanawake wenye vipara wameongezeka kwa kasi tofaut na...
1 Reactions
20 Replies
14K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…