Urembo, Mitindo na Utanashati (Lifestyle)

JF Lifestyle: Mijadala kuhusiana na masuala ya Urembo, Mitindo na Utanashati kwa ujumla wake
Habari ndugu zangu, Naamini mko salama na bado mnaendelea kupigana na maisha ya sasa na hata kwa baadaye. Kama kichwa cha habari kinavyo sema kuhusu majadiliano kwa pamoja kila mwenye wazo...
0 Reactions
52 Replies
12K Views
Eee wakuu hili ni tatizo au maana fasta zishafika juu Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
8 Replies
2K Views
[emoji1]
0 Reactions
19 Replies
5K Views
Unakuta pochi ya mama au mdada kwa nje ni nzurii na ni ya bei ila huko ndani ni majanga. Mafoundation yamemwagika huko ,malipstick marangi. Mwingine aliweka msosi kwnye sherehe kikamwagika huko...
4 Reactions
40 Replies
4K Views
Ukiwa mwanaume au mwanamke upigaji sopusopu ni jambo la busara sana ili kukuweka mtanashati na mwenyekuvutia muda wote kwa kuondoa uchafu na pia kuondoa mafuta ambayo yana kawaida ya kutanda...
2 Reactions
4 Replies
25K Views
Habarini waungwana Naomba kuelekezwa jinsi ya kutengeneza shampoo malighafi zinazohitajika na gharama yake.
0 Reactions
3 Replies
8K Views
Kumekua na tabia ya wamama wengi wanaokaribia kujifungua kupiga picha za nusu utupu zikionyesha ukubwa wa tumbo /mimba. Hii trend ya picha hizi niwahi kuziona mara ya kwanza kwa mastaa wa nje...
1 Reactions
172 Replies
39K Views
Asalaam Tuambizane uvaaji wa nguo kulingana na mazingira husika kama kwenye sherehe,ofisini,unatoka out na babe,kanisani uvaeje,safarini,safari fupi lets say umeenda shoping ukiwa home uvae vipi...
2 Reactions
12 Replies
3K Views
Hii fashion imeingia dar sasa hususan wilaya ya kinondoni na maeneo flani ya ushuani.
2 Reactions
68 Replies
14K Views
Asalaam Wapendwa nifanyeje au nitumie nini kisicho na madhara ili nirefushe kope zangu?
0 Reactions
11 Replies
4K Views
Hizi fashion za siku hizi unaweza sema machizi wanapelekwa milembe kupata tiba.
2 Reactions
32 Replies
5K Views
Ivi in kweli bia inaondoa dawa ya nywele? Au nifanye nini kuondoa dawa katika nywele zangu?
2 Reactions
43 Replies
28K Views
Wanawake huvutiwa na wanaume waliovaa nguo za bluu na wanaume huvutiwa na wanawake waliovaa nguo nyekundu
0 Reactions
21 Replies
4K Views
Asalaam Wapendwa nifanyeje au nitumie nini kisicho na madhara ili nirefushe kope zangu?
0 Reactions
5 Replies
1K Views
  • Closed
Wanajamvi, Naombeni mnisaidie, Nifanyeje ili nguo isiwe na mnato yaani kuna neno wanasemaga sijui 'kushunta', jina lake silijui vizuri ila napata shida sana especially nikivaa pensi yaani...
3 Reactions
56 Replies
11K Views
Huyu mbunifu ambaye amemshonea Raisi John Pombe Magufuli hii kanzu anastahili pongezi kubwa sana!
25 Reactions
190 Replies
30K Views
Wanawake wengi hupenda kubea mikoba kwa ajili ya kubeba vitu atakavyohitaji kutumia muda atakaokuwa nje ya nyumbani au pindi dharula itakapotokea. Imezoeleka kwa wanawake wa rika mbalimbali...
2 Reactions
6 Replies
3K Views
Mabinti wanajua kwenda na kipindi sana, huwa wakishakariri kitu mpaka wanaboa yaani, hata kama cha ajabu. Kuna mtindo siku hizi wa kuvaa miwani. Tuache wale wanaovaa kutokana na matatizo ya...
0 Reactions
24 Replies
5K Views
Habari jamani mimi ni mweusi lakin sio weusi ule uliofifia sana niseme kama maji ya kunde lakini tatzo miguuni ni mweusi sana yaani kuanzia kwenye kiwiko cha mguu kwenda chini Situmii cream ya...
1 Reactions
22 Replies
5K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…