Burkina Faso imepitisha Sheria Mpya ya Makosa ya Jinai inayorejesha adhabu ya kifo, ikiwa ni miaka nane imepita baada ya nchi hiyo ya Afrika Magharibi kuifuta sheria hiyo mwaka 2018.
Uamuzi huo umefikiwa Oktoba 20, 2026, mjini Ouagadougou, ambapo wajumbe wote 71 wa Bunge la Mpito la Wananchi...