afrika mashariki

"Wimbo wa Jumuiya ya Afrika Mashariki" or "Jumuiya Yetu" (English: "East African Community anthem") is the national anthem of the East African Community. It is a Swahili language hymn.

View More On Wikipedia.org
  1. D

    Kwa tabiri hizi, CCM tukiendelea kumchekea Rais Samia soon tutageuka kuwa wapinzani!

    Shaloom wana wema! Nianze kwa nukuu hii ya Jakaya Kikwete, "Samia najua wewe ni zao la upinzani kwa hiyo haishangazi unavyowatendea wapinzani". Jakaya anakumbushia historia ya Samia kuwa anayo damu ya upinzani. Kwa kuwa ni Mzanzibari basi kama anayo hisia za upinzani basi tujue ni muumini wa...
  2. Maji ya Kilimanjaro yapata tuzo ya Superbrands Afrika Mashariki

    Utafiti uliofanywa kwa bidhaa zisizo za vilevi pamoja na maji umeyapa maji ya Kilimanjaro tuzo ya Superbrand Afrika mashariki kutokana na ubora wake. Maji ya Kilimanjaro huzalishwa na kampuni ya Ipp katika kiwanda chá bonite kilichopo mjini Moshi, moja ya makampuni ya Hayati Dkt Reginald Mengi.
  3. Tanzania kuwa kituo kikuu cha mafuta Afrika Mashariki

    Mkurugenzi wa Mipango na Uwekezaji Derick Mosha amesema TPDC inatarajia kupeleka gesi katika nchi za Kenya, Uganda na Zambia na pia kujenga maghala makubwa ya kuhifadhia mafuta ili Tanzania iwe kituo kikuu cha mafuta kwa nchi za ukanda wa Afrika Mashariki na Kusini. Hayo yamesemwa wakati wa...
  4. Bodaboda wa Kenya wanavuka mpaka kufata mafuta ya bei nafuu Tanzania

    Bodaboda kutoka nchini Kenya sasa wanavuka mpaka na kuingia Tanzania kufata mafuta ya bei nafuu huku Tanzania ikitajwa kuwa na bei ya chini zaidi ya dizeli na petroli kutokana na mfumo wa kuagiza mafuta kwa pamoja 'Bulk procurement'
  5. Tanzania na Kenya zinaongoza kwa Kodi kubwa kwenye Mafuta Afrika Mashariki

    Kenya imejiunga na ligi ya nchi zinazokusanya ushuru wa juu zaidi wa mafuta na kuyapita mataifa makubwa kiuchumi kama vile Marekani na Afrika Kusini. Uchambuzi wa gazeti la Business Daily unaonesha kuwa ushuru nchini Kenya sasa unachukua asilimia 40 ya gharama ya kila lita ya Petroli ya juu na...
  6. Ripoti KNBS: Uzito Uliopitiliza ni tishio kwa Wanawake wa Afrika Mashariki

    Kwa mujibu wa utafiti uliofanywa na Ofisi ya Taifa ya Takwimu ya Kenya kwa kushirikiana na Benki ya Dunia na Umoja wa Mataifa, umeonesha kuna ongezeko kubwa la Wanawake wenye Vitambi na Uzito Uliopita Kiasi. Ripoti imeonesha 45% ya Wanawake wenye kati ya miaka 20-49 wana Viriba Tumbo ikiwa...
  7. Kituo Cha Kimataifa Cha Biashara Afrika Mashariki (Ubungo), Kufunguliwa June 2024

    Mkurugenzi Mkuu wa kituo Kituo Cha Kisasa Cha Biashara Afrika Mashariki Cathy Wang akizungumza kwenye maonesho ya 47 ya biashara ya kimataifa (Sabasaba) yanayofanyika katika viwanja vya Mwalimu Julius Nyerere jijini Dar es Salaam amesema kituo hicho kinatarajiwa kufunguliwa mwezi June mwakani...
  8. Mbunge wa bunge la Afrika Mashariki, Mashaka Ngole atoa msaada Jimbo la wilaya ya wete PEMBA

    Mbunge wa bunge la Afrika Mashariki kupitia chama Cha CUF, mhe.Mashaka Ngole ametoa msaada wa waya za umeme 2.5 bandle 2 jumla ya thamani 360000, sambamba na hilo mhe.mbunge ameahidi kuvuta na kuunganisha umeme katika shule ya sekondari Makongeni jimbo la MTAMBWE wilaya ya WETE PEMBA, Pia...
  9. S

    Unabii kuhusu Rais mwanamke aliyepo Afrika Mashariki (ulitolewa 2021)

    Mwaka 2021, Mchungaji Ian Ndlovu kutoka Zimbabwe alisema kuwa Roho wa Mungu amemwambia kuwa awaambie kuhusu Raisi mwanamke kutoka Afrika Mashariki. Aliambiwa kuwa, wote wanaompenda Raisi huyu mwanamke wanapaswa wamwombee sana maana aliona atapitia matukio mawili huko miaka ya mbele ambapo...
  10. Bajeti za Nchi za Afrika Mashariki Zinatupa Picha Gani

    Juni 15, 2023 ilikuwa siku ya bajeti kwa nchi zinazounda Jumuiya ya Afrika Mashariki ambapo nchi za Tanzania, Kenya, Uganda , Rwanda, Burundi, DRC na Sudan Kusini ziliwasilisha makadirio ya bajeti zao kwa mwaka wa fedha 2023/24 Tanzania Katika bajeti yake, Tanzania imezingatia kuwekeza zaidi...
  11. Bajeti za Afrika Mashariki

    East African Community (EAC) countries expect overall national government spending to rise in the upcoming financial year (July 1 to June 30). https://www.thecitizen.co.tz/tanzania/news/business/eac-finance-ministers-table-2023-24-budgets-4272350
  12. Vikwazo 10 vya Kibiashara Visivyo vya Kiforodha (NTBs) Kuondolewa Jumuiya ya Afrika Mashariki

    VIKWAZO 10 VYA KIBIASHARA KUONDOLEWA JUMUIYA YA AFRIKA MASHARIKI Nchi Wanachama wa Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC) zimekubaliana kuondoa vikwazo kumi vya kibiashara visivyo vya kiforodha (NTBs), huku vikwazo nane vikiendelea kushughulikiwa, na vikwazo vingine vipya vinne vimewasilishwa ili...
  13. K

    Serikali ya Rais Samia kukamilisha kituo cha biashara Afrika Mashariki

    Baada ya kukwama kwa mradi huu kwa miaka kumi, serikali ya Rais Samia Suluhu inajenga mradi huo ambao utakua na maduka 2060 na kuzalisha ajira za moja kwa moja zaidi 15000 na zisizo za moja kwa moja 50000. Eneo la mradi huo ni zaidi ya viwanja 10 vya mpira wa miguu. Mradi huo utakapokamilika...
  14. SoC03 Maamuzi ya Mahakama ya Afrika Mashariki yaheshimiwe kurejesha uhuru wa habari ili kukuza utawala bora

    Changamoto za Sheria ya Huduma za Vyombo vya Habari Tanzania imejitolea kuheshimu viwango vya kimataifa, kikanda, na kikatiba vya uhuru wa vyombo vya habari na uhuru wa kujieleza. Lakini, vipengele vya Sheria ya Huduma za Vyombo vya Habari (MSA) havikidhi viwango vinavyokubalika katika kukuza...
  15. Historia imeandikwa. Yanga imekuwa timu ya kwanza Afrika Mashariki na Kati kutinga hatua ya Nusu Fainali CAF

    Kwa mara ya kwanza tangu soka lianze kuchezwa nchini Tanzania, Club yenye makazi yake Jangwani, Dar es salaam imefikia hatua ya nusi fainali katika michuano mikubwa barani Afrika.Hii ni baada ya kuifurumisha miamba ya soka kutoka nchini Nigeria kwa magoli 2. Ikumbukwe kuwa hakuna timu yoyote...
  16. L

    Ethiopia ni mfano wa kuigwa kwa nchi zenye migogoro katika Afrika Mashariki

    Serikali ya Ethiopia hivi karibuni imefanya hafla ya kushukuru watu, makundi na serikali zilizochangia mchakato wa amani nchini humo. Tangu serikali ya Ethiopia na Jeshi la Ukombozi wa Watu wa Tigray (TPLF) kufikia makubaliano ya amani mwishoni mwa mwaka jana, mchakato wa maafikiano nchini humo...
  17. Kichekesho: Yanga ndio timu kubwa Afrika Mashariki

    Champion League ndio kilele cha mafanikio ya mpira. Asante mzee wa jambia kwa kuweka kumbukumbu klia. Tuendelee na pasaka
  18. Hii hapa orodha kamili ya wasanii wenye mkwanja mrefu Afrika Mashariki

    Habari mwenye kujua forbes wanaangalia nini naomba ufafanuziii hiii habari sijaelewa kabisa Jarida la Forbes imetoa orodha ya Wasanii wa muziki wenye utajiri mkubwa Afrika Mashariki (East Africa) kwa mwaka 2023. 1. Bobi Wine (Uganda) : Dola milioni (9) 2. Diamond Platinumz (Tanzania): Dola...
  19. #COVID19 Chanjo milioni 40 za Covid-19 kutupwa Afrika Mashariki muda wake ukikaribia kwisha, Tanzania yasema imevuka 50%

    Nchi za Afrika Mashariki zinakabiliwa na hifadhi kubwa ya chanjo za Covid-19 zinazokaribia kuisha muda wake ambazo ilizinunua kwa nguvu kubwa kama yalivyofanya mataifa ya Ulaya kwa ajili ya raia wake. Matokeo yake chanjo milioni 40 zinaweza kugeuka taka baada ya kubakiza miezi michache...
  20. Nguvu ya Umma Afrika Mashariki ni funzo tosha

    Nchi za kiafrika tunajifunza nini kwa mandamano haya? nijambo la kushangaza ya kwamba raisi aliyejinadi kushinda uchaguzi wa uraisi na kuthibitishwa na tume ya uchaguzi, yanayotokea leo yanatia aibu, waandamanji waliojitokeza kwa mujibu wa takwimu ni zaidi ya asilimia 77, hapa swali ni je nani...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…