Goood Morning,
Habari za asubuhi wapendwa wana JF.
Kabla sijajinyanyua kutoka hapa kitandani asubuhi hii ya leo, nimepokea taarifa mbili usiku wa kuamkia leo, taarifa za vifo watu wawili ambapo mmoja ni jamaa tu jirani yangu katika mtaa huu tunao ishi. Na jana nimeonana nae maeneo ya car wash...