Mwanamwana
Platinum Member
- Aug 1, 2011
- 9,604
- 22,722
Mkuu wa Mkoa wa Dar, Albert Chalamila amesema kuwa Rais Samia siku ya kesho Jumanne ataongea na wazee wa Dar es salaam lakini atatumia mkutano huo kulihutubia taifa.
Amesema ''Kutokana na Mkoa wetu kuendelea kurejea katika hali yake ya amani Mhe Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan atazungumza na wazee wa Dar es Salaam kesho tarehe 2 disemba, 2025 katika ukumbi wa Mikutano wa Kimataifa wa JNICC kuanzia saa tano asubuhi.''