That's It📌🔨💪🏿✌🏿Nitamuelewa Samia akitangaza kujiuzulu na kurudia Kwa uchaguzi
Samia na serikali yake HARAMU wakumbushwe hili, madai yetu Wananchi ni kama ifuatavyo;Mkuu wa Mkoa wa Dar, Albert Chalamila amesema kuwa Rais Samia siku ya kesho Jumanne ataongea na wazee wa Dar es salaam lakini atatumia mkutano huo kulihutubia taifa.
Mkuu wa Mkoa wa Dar, Albert Chalamila amesema kuwa Rais Samia siku ya kesho Jumanne ataongea na wazee wa Dar es salaam lakini atatumia mkutano huo kulihutubia taifa.
Listen to a Serial Killer number OneMkuu wa Mkoa wa Dar, Albert Chalamila amesema kuwa Rais Samia siku ya kesho Jumanne ataongea na wazee wa Dar es salaam lakini atatumia mkutano huo kulihutubia taifa.
Amesema ''Kutokana na Mkoa wetu kuendelea kurejea katika hali yake ya amani Mhe Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan atazungumza na wazee wa Dar es Salaam kesho tarehe 2 disemba, 2025 katika ukumbi wa Mikutano wa Kimataifa wa JNICC kuanzia saa tano asubuhi.''
Nitamuelewa Samia akitangaza kujiuzulu na kurudia Kwa uchaguzi
She thinks wazeee bado wana nguvu over kizazi hikiWrong forum.....wrong audiance...staili ile ya kale ya JK ...outdated technique....
She has a long way to go.....
Who cares about wazee wa dar?....hawa watoto wa kizazi hiki?...
Kituko
Pia ufuge majiniLazima uwe chawa wa kijani, hata kama hutoki Dar utaletwa na malori kutoka Mkuranga
Kuwa chawa tu mkuu hahahaaahNaomba qualifications za kuwa mzee wa dar es salaam.
Kwa faida ya wengi napenda kujua qualifications za kuwa mzee wa dar es salaam
PENGINE NA MIMI NA VIGEZO VYA UZEE WA DAR ES SALAAM
Mshana Jr
SECRETARY BIRD