PostGE2025 Rais Samia kulihutubia Taifa kupitia mkutano wa wazee wa Dar es Salaam kesho Desemba 2, 2025
Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections
Asije kuanza kusema "hawa ICC wasilete zao maana hakuna cha nywinywinywi wala nywinywinywi!"
Ajue kama SADC hawajamtambua, AU na EU au hata washirika wao ACT Wazalendo Sasa Urais wake nani kamtambu? Hiyo 98% kaipata kwa nani?
Au hiyo 98% ni katika ule mkutano mkuu wa CCM?
 
Mkuu wa Mkoa wa Dar, Albert Chalamila amesema kuwa Rais Samia siku ya kesho Jumanne ataongea na wazee wa Dar es salaam lakini atatumia mkutano huo kulihutubia taifa.

Amesema ''Kutokana na Mkoa wetu kuendelea kurejea katika hali yake ya amani Mhe Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan atazungumza na wazee wa Dar es Salaam kesho tarehe 2 disemba, 2025 katika ukumbi wa Mikutano wa Kimataifa wa JNICC kuanzia saa tano asubuhi.''

Baada ya kuwekwa madarakani kwenye kambi ya jeshi
 
Samia na genge lako achia nchi yetu hatukutaki hatutaki kuhutubiwa unamuhutubia nani sasa hakuna mjadala na muuwaji.

Utawala wako umeuwa watu wengi sana sasa inatosha kaa pembeni ukijifanya jeuri na sisi tutajifanya jeuri mara sabini.
 
Sifa kuu 4 za ¹kuwa mzee wa Dar, na kuwa na sifa ya kuhudhuria mkutano wa Rais haramu:

1. Uwe na akili tegemezi
2. Uwe mnafiki kiasi cha kushangilia chochote anachoongea hata kama ni uwongo au ni upuuzi.
3. Uwe chawa, na sifa kuwa ya chawa ni kutokuwa na uwezo wa akili ya kuhoji
4. Umri wako usipungue miaka 40.
5Usiwe na maisha yakujitegemea, yaani uwe ni mtu unayeishi kwa kutegemea kurushiwa visenti na watawala.

Pilau, soda , bia na sigara kali za bure zitakuwepo , bila kusahau pair za kanga na vikoi .
 
Kanali Polepole anasemaje?

20251201_025103.jpg
 
Mkuu wa Mkoa wa Dar, Albert Chalamila amesema kuwa Rais Samia siku ya kesho Jumanne ataongea na wazee wa Dar es salaam lakini atatumia mkutano huo kulihutubia taifa.

Amesema ''Kutokana na Mkoa wetu kuendelea kurejea katika hali yake ya amani Mhe Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan atazungumza na wazee wa Dar es Salaam kesho tarehe 2 disemba, 2025 katika ukumbi wa Mikutano wa Kimataifa wa JNICC kuanzia saa tano asubuhi.''
kwa akili ipi??
 
Nachosikika ni kwamba kwanini hawa viongozi wanapenda sana kuhutubia? Yaani ni wao tu ndo wakuwaambia wananchi?

Wamuige hata mkata basi, Baada ya Lile tukio aliitisha mkutano akasema Tusemezane.

Watu watoe ya Moyoni, Watu wakiongea Uchungu unapungua, Hasira zinaisha na mambo yanaendelea, Sasa mnataka msikilizwe nyie tu?
 
Rais Samia siku ya kesho Jumanne ataongea na wazee wa Dar es salaam lakini atatumia mkutano huo kulihutubia taifa.
Kwamba ataliutubia taifa? Taifa gani? Yeye aseme tu atawahutubia makada wa ccm ambapo yeye ni mwenyekiti wao.. Watakaomsikiliza ni machawa wake kina sheikh ubwabwa na Zuchu .

#D9 tutakuwepo atusikilize tusiomtaka aongoze Tanganyika.
 
Mkuu wa Mkoa wa Dar, Albert Chalamila amesema kuwa Rais Samia siku ya kesho Jumanne ataongea na wazee wa Dar es salaam lakini atatumia mkutano huo kulihutubia taifa.

Amesema ''Kutokana na Mkoa wetu kuendelea kurejea katika hali yake ya amani Mhe Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan atazungumza na wazee wa Dar es Salaam kesho tarehe 2 disemba, 2025 katika ukumbi wa Mikutano wa Kimataifa wa JNICC kuanzia saa tano asubuhi.''


Wazee wa mkoa wa Dar es Salaam ndiyo watu gani au anakusanya waganga, wachawi na wapiga ramli aone kama watamnyoishea mambo.
Gen Z ndiyo wanaopigania future yao, huyo haramu mkutano wake na chawa wake sisi hautuhusu.
D9 do or die.
 
Back
Top Bottom