Profesa Kabudi alisema wazi, kuwa kwenye ishu ya muungano, wazanzibar mambo yao yako mezani, yako well documented isipokuwa yale ya Tanganyika. Akasema anaogopa siku watanganyika watakaponyanyuka na kudai mambo yao
Humphrey Polepole akasema, Katiba ya Sasa inampa Rais wa sasa madaraka makubwa...