Naomba mchango wenu , ushauri, mapendekezo, kuhusu biashara ya lori( Truck),
Mimi nina gari langu SCANIA MENDE, nimefanya nalo biashara ya mchanga kwa miaka 3 , lakini biashara imekuwa ngumu kutokana na kuingia hizi tipa za kichina,
Nimeonelea niibadili iwe box body ya kubeba mizigo kwenda...