bora

Borá is a municipality in the state of São Paulo in Brazil. The population is 838 (2020 est.) in an area of 119 km². The elevation is 582 m.
Borá is the least populated Brazilian municipality.

View More On Wikipedia.org
  1. N

    Kama kujiuzuru kwa Ali Kamwe ni Sababu ya kurudi kwa Haji Manara, ni bora Manara aondoke Yanga

    Kama kujiuzuru kwa Ali kamwe ni Sababu ya kurudi kwa Haji Manara . Ni bora Manara aondoke Yanga Thread hii sehemu ya kuzungumza ukweli ikiwa Aki kamwe kujiuzuru ili haji Manara achukue nafasi yake usiungaishwe na thread zingine.. Taarifa iliyopo sasa A Good dancer must know when to Leave a...
  2. Tuwapongeze Bibi zetu ( Wazazi wa Wazazi wetu) Kwa malezi yao bora na ya kudekeza wakati Mwingine.

    Mtu yeyote ambaye amekua katika maeneo ya vijijini hata mjini kwa kiasi kidogo anaweza kuelezea uzuri wa malezi ya bibi. Bibi ni mtu mwenye huruma sana hata mzazi akitaka kukuadhibu ukikimbilia kwa bibi basi utakuwa salama kabisa. Lakini Bibi ni mtu ambaye hutanguliza mbele wajukuu zake washibe...
  3. Lipi bora, kukodisha majengo dhidi ya kuuza majengo, nini cha kuzingatia?

    Utangulizi Uamuzi wa kukodisha au kuuza majengo ni muhimu kwa wawekezaji na wamiliki wa mali isiyohamishika. Kila chaguo lina faida na changamoto zake. Makala hii itachunguza kwa kina mambo muhimu ya kuzingatia unapochagua kati ya kukodisha au kuuza majengo. Tutaangalia masuala ya kifedha...
  4. Tuzo za ligi kuu ya NBC msimu wa 2023/2024 tupangie mchezaji wako bora au kikosi chako bora

    VIPENGELE: 1: MFUNGAJI BORA (Tayari inajulikana) ▲ Stephane Aziz KI - (Yanga SC) 2: KIPA BORA ▲Ayoub Lakred - (Simba SC) ▲Djigui Diarra - (Yanga SC) ▲Ley Matampi - (Coastal Union) 3: BEKI BORA ▲Kouassi Yao - (Yanga SC) ▲Ibrahim Hamad - (Yanga SC) ▲Mohammed Hussein - (Simba SC) 4: KIUNGO...
  5. Kama umefaulu vizuri PCB kasomee Radiology au Doctor of Dental Surgery (DDS)

    Wakuu kwema Ni muda vijana wanaomaliza form six pcb na 1.3 hadi 1.6 kuwaza kusomea udaktari wa upasuaji wa kinywa na meno (dds) au Radiology (udaktari wa mionzi) kwani itachukua muda mrefu sana kozi hizi kujaa watu mitaani au mahospitalini DDS kwa mfano , katika post iliyopita ya uhitaji wa...
  6. D

    Pre GE2025 Makonda anatoa wapi kiburi cha kuidharau Tume ya Haki za Binadamu na Utawala Bora?

    Makonda amekaidi wito wa tume ya haki za binadamu na utawala bora, kiburi ameitoa wapi, Rais anachukuliaje hizo dharau? Km vp hiyo tume ifutwe au imeundwa kwa ajili ya kina nani. Makonda hafai kuwa kiongozi mkubwa, yupo kupumbaza wajinga. Pia soma: Tume ya Haki za Binadamu na Utawala Bora...
  7. Harmonize na Rayvanny ndiyo wasanii wangu bora

    Yaani Hawa jamaa ndio WASANII ninaowasikiliza Tanzania Leo wameachia Ngoma Kali sana ya Harmonize inaitwa sherehena ya Rayvanny inaitwa namtaka. Aisee hii weekend ni kuvibe nazo tu ni Ngoma Kali sana nafikiri mmeona wadau au nyie mmezionaje Hawa jamaa wako vizuri sana nasema ndio WASANII WANGU...
  8. Namna nzuri ya kuwa Winga na Pointa wa biashara ya mitumba

    Na Mwalim M. A, Mkombozi (Kalaga baho) Kanusho : Hakuna mgogoro wowote wa kimaslahi utakaojiyokeza kwenye darasa hili endelevu. Ushauri utatolewa bure kabisa na hakuna nia ya moja kwa moja ya kuumiza hisia ya mtu. Asee niaje? Wazee mpo?? Ni vyema kwa kias chake kuendelea kumwaga nondo na...
  9. Kitabu bora cha Mathematics O-level

    1. Kitabu kina topics zote Form 1 hadi 4 2. 29 Chapters, 505 pages, full colour. 3. Kila subtopic ina maelezo ya kutosha na kueleweka na ina exercise yake. 4. Kila Topic ina revision exercise ya maswali 50 hadi 100 5. Kuna mitihani 10 ya samples 6. Kuna chapter nzima (maswali 90) ya...
  10. Masters au PMP? Chagua Njia Bora kwa Ajili ya Kazi Yako! (Project Management Context)

    Habari wanachama wa JamiiForum, Je, uko katika njia panda, ukifikiria kama utafanya Shahada ya Uzamili (Masters) au kupata cheti cha PMP? Vyote ni vya heshima na vinaweza kuathiri kazi yako kwa kiasi kikubwa, lakini vina malengo tofauti. Hapa kuna uchambuzi kukusaidia kufanya uamuzi sahihi...
  11. C

    Chuo Bora Cha private diploma kwa course ya dental au radiology

    Habari Wana JF ....nimefanya maombi ya chuo diploma serikalini ila sijapata hovyo naulizia chuo Cha private kizuri ambacho naweza pata mojawapo ya hzo course nikasome maana Nina mpango wa kwenda degree
  12. C

    Ni chuo gani Bora Cha private ngazi ya diploma kwa course ya radiology na dental?

    Kichwa Cha habari chajieleza naomba msaada Wana JF maana nimeomba vya serikali nimekosea hovyo naulizia vyuo vizuri vya private maana Nina mpango wa kujiendeleza na degree
  13. Jipatie Mbegu Bora ya Samaki Kambale kwa bei nafuu

    Karibu nikuuzie mbegu bora ya Kambale kwa bei nafuu ya Tsh 300 kwa kifaranga kimoja. Kambale ni aina ya samaki mstahimilivu na anayefugika kwa urahisi kuliko aina nyingine ya samaki. Mbali na kuwa mstahimilivu, pia wana sifa ya kukuwa haraka mara mbili zaidi ya sato. Unaweza kuboreshe...
  14. RC Chalamila amezindua mpango wa upanuzi na uboreshaji wa Hospitali ya Amana wa Bilioni 3. Huduma ua Kangaroo kuwa bora zaidi

    Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Albert Chalamila amezindua mpango wa upanuzi na uboreshaji wa Hospitali ya Rufaa ya Wilaya ya Ilala ya Amana (yenye hadhi ya Mkoa) utakaogharimu zaidi ya shilingi bilioni tatu. Ni katika muktadha huo Chalamila amewataka wadau wa maendeleo na wananchi kushirikiana...
  15. W

    Hoja za African Supremacy waafrika kujisifia ni watu bora zaidi huwa zinanichekesha, ukweli ni kwamba tunashika mkia mambo mengi yena kwa kujitakia

    Tuna uwezo mkubwa kimiujiza, wajerumani wachache waliwaua babu zetu wengi sana waliochanjwa na kinjikitilengwale dawa ya kuzuia risasi. tuna tiba asili zenye nguvu - magonjwa, magonjwa kama malaria, kipindu pindu, ebola inamaliza waafrika wengi mno. Tunapendana, achilia mbali waafrika kuwa...
  16. Adidas chukueni maua yenu kwa ubunifu kwa jezi bora kabisa 2024,toka 2002 world cup haijatokea

    Nike ilipiga bao sana mwaka 2002 kwenye kombe la dunia, jezi hizi zilivaliwa na timu nyingi kama Brazil, Italia, South Korea, Arsenal n.k. zilikuwa nzuri sana na zilitrend kwa kipindi hicho. Toka mwaka huo sijaona tena jezi maarufu mpaka mwaka huu. 2024 ukiangalia michuano ya Euro na Copa...
  17. Kuna haja ya kuweka mchujo mkali kwenye chaguzi zetu ili kupata viongozi bora

    Habari wana JF. Leo nataka niseme, hali yakuendekeza njaa kwenye kila kitu imesababisha kutengeneza mifumo mibovu inayokuja kuleta waropokaji na watu wa deals wengi kuliko watendaji wa maendeleo kwenye nchi yetu. Mfano, mtu anachaguliwa kugombea kupitia committee ya chama chake then anakuja...
  18. Bila shaka madai ya Mchungaji Msigwa kuondoka na Kutimkia CCM ni Yale Yale ya siku

    Friends and Our Enemies, Bila shaka madai ya Mchungaji Msigwa kuondoka na Kutimkia CCM ni Yale Yale ya siku zote ambayo makada wengine wamekuwa wanayatoa pindi tuh wanapoamua kumwaga manyanga,siyo mapya...point ni zile zile ..nakumbuka enzi zile tunasoma history swali likija Majibu ni Yale...
  19. M

    HII NDIO KANUNI BORA YA KIJASUSI YA KUISHI NA MNAFIKI YOYOTE DUNIANI 😊

    HII NDIO KANUNI BORA YA KIJASUSI YA KUISHI NA MNAFIKI YOYOTE DUNIANI 😊 Kijasusi jitahidi uwafahamu watu kabla ya wao kukufahamu, na hapo ndipo utagundua WANAFIKI NA WASIO WANAFIKI. DALILI ZA MNAFIKI 1.Kwanza atajifanya mwema sana kwako 2 Atajifanya kuumia sana dhidi ya wanaokusema mabaya...
  20. E

    SoC04 MABORESHO Bora ya Elimu Tanzania

    Wizara ya Elimu Tanzania
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…