Ummat halaiki ya wapenda kandanda nchini Afrika Kusini watapata fursa ya kuangalia mechi ya Marumo vs Yanga bureeee.
Hii ni habari mbaya, maana ninavyowajua wasauzi watajazana uwanjani na mavuvuzela ya kutosha na kitachofata inaweza kuwa mauaji ya halaiki kwa Yanga.
Mimi kama shabiki nguli wa...
Serikali ya awamu ya 6 inayoongozwa na Rais Samia Suluhu Hassan inazidi kuboresha huduma za afya kwa wananchi na kuanzia sasa akina mama wajawazito wanaofika kwenye kliniki za uzazi na zile za mama na mtoto kupimwa vipimo vya uwingi wa damu, mkojo, kuangalia uwingi wa protini, shinikizo la damu...
Huwa nashangaa sana baadhi ya nyumba tatizo la uhaba wa vijiko linaweza kuwepo kwa muda mrefu, vijiko unakuta ni vya kusubiriana.
Hivi mtu anapungukiwa kipi kununua hata vijiko vya buku viwe hata vinne ama vitano ?
Tatizo huwa ni lipi hasa ?
Mambo mengine mtu ukiwaza unaona kabisa maisha ni mepesi kimtindo lakini kuna baadhi ya wanadam wenye dhamana ya uongozi ndiyo waliyoyafanya maisha yawe magumu!
Tumeumbwa ardhi ilikuwapo, tumepata Uhuru, ardhi ilikuwapo milele hadi milele yote!
Sasa kwanini tunalipia kodi ya pango la ardhi...
Wakati MK254 akimtukana na kumshambulia Rais Putin kila siku, yeye aamua kumjibu kwa vitendo kwa kupeleka mbolea bila malipo nchini Kenya na gharama za usafiri italipia Russia yenyewe ili kuwakomboa na njaa wakenya wanaoteseka na njaa kali.
Nasema hivi UUNGWANA NI VITENDO.
Russia to deliver...
Baraza la sanaa Tanzania sijaona kazi yenu kama madudu ndo haya mnamefeli. Jaribu kujipanga upya.
Diamondplatnumz ,alikataa kushiriki tuzo zenu afu mkampa tuzo ya heshima😁 mko sawa na utendaji kazi wenu kweli.
Umeandaa Tuzo za (TMA) ila kinachoendelea mnakijua nyie sijui mmelogwa au nini...
PASAKA ni kuyaishi maisha mapya ndani ya kristo yaani utakatifu, wokovu, utuwema, fadhili upendo na matendo mema.
Maisha ya Yesu hapa duniani yalikuwa yakutenda mema.
Hivyo Basi Tuuishi Ukristo kuwasaidia wengine (mpende jirani yako) Yatima, wajane na wasiojiweza kwa namna moja ama nyingine.
Habari wakuu,
Nikiwa kama mfanyabiashara ninayeanza kujikita katika hii tasnia huwa kuna hali inanijia kwa asilimia kubwa vitu ninavyokutana navyo huwa nahusisha sana na biashara.
Katika pilika zangu nikajikuta nachukia sana matangazo wanayofanya NBC kwenye udhamini wa ligi yaani hayaakisi na...
WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amekabidhi pikipiki 100 zenye thamani ya sh. milioni 260 kwa vijana wa wilaya ya Ruangwa ili wazitumie kufanya biashara ya usafirishaji.
Akizungumza na vijana wa Ruangwa kwenye hafla ya kukabidhi pikipiki hizo iliyofanyika mwishoni mwa wiki kwenye viwanja vya CWT...
Serikali kuhusu Elimu bure waliamua kufanya siasa tupu , Watu wanamaliza hawajui hata kusoma vizuri na Kuandika
Juzi nimechart na wanawake kumi wapo chuo kikuu, nimechart nao lugha ya kingereza wote wamelalamika kuwa nawaumiza hawajui kingereza so wameomba nitumie Kiswahili au nitumie kihaya...
Mwanza Bwana ni Jiji linalokua kwa kasi sana, hilo linatokana na watu kuongezeka na Serikali imeweka miradi mingi ya kimkakati katika jiji hilo, lakini cha ajabu ni kwamba Mwanza ni mji unaoongoza kwa kuwa na mbuzi (wanyama) ambao hawana mwenyewe.
Mara nyingi nimekuwa nikishuhudia mbuzi...
Kwanza nichukue nafasi hii kuipongeza timu yetu ya Tanzania (Taifa Stars) kwa kupata ushindi wa goli 1-0 dhidi ya wapinzani wao wa jadi Uganda. Hakika ushindi wa leo, umefufua matumaini ya kufuzu AFCON kwa mara nyingine tena.
Nije sasa kwa mchezaji Feisal Salum (Fei Toto). Kwanza nampongeza...
Huko barabarani siku hizi madereva wa magari ya serikali wamekuwa wababe kupitiliza!
Nchi inaongozwa kwa sheria na taratibu!
Usalama barabarani unaongozwa na sheria za usalama barabarani.
Lakini bahati mbaya sana madereva wa magari ya serikali na polisi, Trafiki ,wanaUsalama, wanajeshi...
Habari za jioni wakuu straight to the point
Niwape ushauri vijana wenzangu ambao tumepanga huku mabondeni na ambao wanatarajia kupanga kuwa wasijaribu hiko kitu
Mafuriko yanarudisha sana nyuma hasa kwa vijana ambao tunahustle ili tuweze kutoboa
Leo asubuhi nilitoka kidogo ghetto kuna mishe...
Hii ndiyo hali ilivyo katika Stendi ya Mabasi Chato, Je, tatizo ni nini? au watu wapo busy na kilimo hawasafiri tena? Je, nini kifanyike kwenye huu mradi ili fedha (kodi za wanyonge) zilizotumika ziweze kuwanufaisha Wananchi?
Hali yetu ya uchumi ni mbaya na ndio maana watu wetu wako tayari kufanyiwa lolote ili TU labda wajisogeze kidogo.
Hata kama ni kwa kuhatarisha maisha Yao !! Kwanini wasiruhusiwe iwe na utaratibu maalumu namna na jinsi ya kujitolea.
Figo ni kiungo ambacho wagonjwa wengi wanateseka kama Kuna...
Ndugu wakuu, nina bibi yangu anaishi Dar na maza, ana umri wa miaka kama 100 hivi, sasa anasumbuliwa sana na maradhi na upande wa uchumi uko vibaya, siwezi mkatia bima ya afya.
Naomba kujua utaratibu wa kupata kitambulisho cha matibabu ya bure kwenye hospitali za Serikali, kwa anaejua...
Nlishawahi kuwa na demu mmoja kilaza sana. Unajua sometimes sisi wanaume kabla ya kuoa unakuwa na mchakato wa muda mrefu wa kutafuta mke.
Yule demu nlikutana naye mazingira flani nami akili yangu nayo ikiwa kama saa mbovu. Nikakamata sasa kwa kuwa alikuwa hana akili nikampenda. Si nami nlikuwa...