Huwezi kutenganisha katiba na maisha ya watu, huwezi kuitenganisha katiba na uchumi wa mtu, ajira ya mtu, afya ya mtu, elimu ya mtu.
Swala muhimu si tu “katiba inaleta chakula” bali pia katiba inaweza kuathiri mazingira yanayowezesha watu kupata chakula, kazi na huduma mbalimbali.
Katiba ndiyo...