changamoto

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. 'Single Mothers' na Changamoto ya Malezi kwa watoto

    Kama mwalimu ambae ninakutana na watoto wengi kutoka katika 'background' tofauti tofauti, naomba niseme watoto wanaolelewa na mzazi mmoja hususani mama (single mother) ni jipu kubwa ambalo linahitaji kutumbuliwa mapema Sana. Watoto wanaolelewa na mama pekee bila uwepo wa mzazi wa kiume...
  2. M

    Utakuja lini Makonda? Unahitajika Mbeya kutatua changamoto

    Binafsi nilianza kumfahamu na kumkubali Mheshimiwa Makonda baada ya kuchukua hatua na kufanya HARAKATI za KUPAMBANA NA WAUZAJI WA MADAWA YA KULEVYA. Mpaka kesho nampenda namwamini Makonda. Katika kipindi cha Nipashe ITV asubuhi ya Leo vijana wachimba madini wilaya ya chunya wanawaomba...
  3. L

    Marekani yatambua kuwa bila mawasiliano na China ni vigumu kufanikisha utatuzi wa changamoto zinazoikabili dunia

    Muda mfupi baada ya mkutano kati ya Rais Xi Jinping na Rais Joe Biden wa China kukutana na kufanya mazungumzo mjini San Francisco nchini Marekani wachambuzi na wadau mbalimbali wa mambo ya siasa na uchumi wamekuwa wakitafsiri umuhimu wa mkutano kati ya viongozi hao wawili, na matokeo yake kwa...
  4. Changamoto Kuu 2 za Majengo ya Kupangisha hapa Tanzania

    Falsafa ya kujenga utajiri kupitia kipato endelevu ndiyo imeonekana kuwa ni falsafa ya kweli kwa zaidi ya miaka 100 iliyopita. Falsafa hii inafaa zaidi kuitumia kujenga utajiri ukilinganisha na ile falsafa ya kutengeneza faida. Zipo njia nyingi za kutengeneza kipato endelevu kwenye uwekezaji wa...
  5. Changamoto za wateja wa kampuni ya Meridianbet Tanzania

    Je, wapenzi wa football na swaga za kubet je hii kampuni Ina wafanyakazi waaminifu? Customer care service wako active kupokea simu za wateja? Kuhusu maamala ya mikeka hasa ya ushindi hasa wenye account zao binafsi kwenye internet, uaminifu wa cashiers kwenye kudeposit pesa za wateja kwa wakati...
  6. Dkt. Dugange Amshukuru Rais Samia kwa Kutatua Changamoto ya Zahanati Masaulwa

    DKT. DUGANGE AMSHUKURU RAIS KWA KUTATUA CHANGAMOTO YA ZAHANATI YA MASAULWA NAIBU Waziri Ofisi ya Rais-TAMISEMI, Mhe Dkt Festo Dugange amemshukuru Mhe. Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa kumaliza changamoto ya muda mrefu ya Zahanati katika Kijiji cha Masaulwa Kata ya Imalinyi Wilaya ya...
  7. Changamoto zipi Jamii (wazazi na wanafunzi) hupitia kipindi wakisubiri baraza la mitihani NECTA lisahihishe na kutoa matokeo ya mitihani ya wanafunzi?

    Kipindi cha kusubiri matokeo ya mitihani kwa shule za msingi na sekondari huwa ni mwezi 1-3. matokeo haya ndio uhamua mwanafunzi huyu aendelee na shule (kidato cha kwanza au kidato cha tano/vyuo vya ufundi) au atafute Maisha kwa namna nyingine. Ndani ya kipindi hiki (miezi 1-3) yamekuwepo...
  8. Ufumbuzi wa kudumu kuhusu changamoto ya nishati ya umeme hapa Tanzania

    •••••••••••••••••••••••••••••••••••••• Kuhusu changamoto ya Nishati Ya Umeme, Hapa nyumbani TANZANIA, na ufumbuzi wa kidumu, ili Tatizo hili liwe HISTORIA, NAOMBA KUSHAURI yafuatayo, kwa mpendwa wetu, Mheshimiwa Rais Dkt Samia Suluhu Hassan, Rais wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania Kuwa; 1...
  9. H

    Changamoto zipi umeziona kwenye kukata rufaa ya mkopo ambazo unahitaji majibu

    Habari wanajf Kuna baadhi ya changamoto hii ya kuandikiwakwenye allocation index no xxx not found imewakuta watu wengi ina maana gani?
  10. Bajaji za Umeme zina faida gani? Changamoto zao ni zipi?

    Ndugu wataalamu mnaoendesha bajaji za umeme. leo nimeendeshwa na dereva wenye bajaji ya umeme na kuongea naye kumenipa wazo la kununua bajaji ya umeme mwenyewe. Dereva aliniambia bajaji za umeme zina faida tu: matumizi ya umeme ndogo, uwezekano wa kuichaji nyumbani, matengenezo ya gharama ya...
  11. B

    Ridhiwani Kikwete aishukuru DAWASA kutatua changamoto ya maji Chalinze. Rais Samia atoa fedha kusambaza kwa wananchi

    Mbunge wa Chalinze na Naibu Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Utumishi na Utawala Bora Ndg. Ridhiwani Kikwete ameishukuru serikali na Uongozi wa Wizara na DAWASA kwa kutatua tatizo la Maji katika halmashauri ya Chalinze. Akiongea mbele ya Kamati ya Bunge ya Mitaji kwa Umma, Mbunge huyo wa Chalinze...
  12. T

    Changamoto ya mafuriko Dar es Salaam, wananchi inapaswa kujikana, kuukataa uchafu ili mitaro ya maji ifanye kazi vizuri

    Wanajamvi kama uzi unavyojieleza,binafsi tatizo kubwa la changamoto ya mafuriko yasiyoisha nimeona kwenye suala la uchafu wa mazingira uliokithiti kama chanzo ambayo inaathiri kwa kiasi kikubwa mitaro na njia za maji. Karibuni kwa mjadala zaidi tuisaidie serikali cha kufanya ili kujinusuru na...
  13. Natatua vipi hii changamoto

    Kati ya kiungio cha bati na bati kuna nafasi (bati hazijashikana) kama inavyoonekana japo haivuji. Mwenye uwezo wa kusolvu hilo changamoto bila kutoa bati anipm. Nipo Mwanza
  14. Changamoto ya Palestina, Ugaidi duniani, sio issue ya Dini ya kiislam, bali uroho wa madaraka

    Wakuu katika nchi, Kuna hii issue ya HAMAS, na ugaidi duniani kote kupitia kwa vikundi mbalimbali, Kwa juu inaonekana hii issue chanzo chake ni dini ya uislam na waislam wanapenda hizo mambo, Lakini deep down ukifuatilia utakuja jua kuwa chanzo cha vikundi vyote vya ugaidi ni uroho wa madaraka...
  15. G

    Biashara ya Mazao ya chakula inabaki kuwa ndo biashara yenye Fursa nyingi nzuri pamoja na changamoto zake

    Wakuu naamini kila MTU Ana ndoto ya kufanya biashara Fulani ili afikie malengo yake aliyonayo. Naamini Kuna wengi wanatamani kujua zaidi hii biashara kabala hawajaingia Kuna Aina nyingi za Fursa katika biashara ya Mazao inategemea na MTU angependa kujikita wapi Kwanza Kuna wale wanunulia...
  16. Changamoto gani wanapata wahitimu baada ya kumaliza chuo?

    Wote tunajua maisha baada ya kuhitimu ni safari iliyojaa fursa na changamoto. Kwa kutambua na kufanya kazi kwa bidii kuzishinda changamoto hizi, wahitimu wapya wanaweza kujenga njia ya kufanikiwa na kazi yenye kuridhisha. Kukumbatia sura hii mpya kwa azimio, uvumilivu, na mtazamo wa kukua...
  17. Wenye betri ya moyo wana hatari kupata changamoto ya akili

    Utafiti mpya uliochapishwa Oktoba 17, 2023 katika Jarida la Kisayansi la Kimataifa la Sage, umeonesha kuwa wagonjwa wa moyo waliowekewa betri ya moyo wamepata hatari ya kukumbwa na changamoto ya akili. Utafiti huo uliofanywa na Taasisi ya Moyo ya Jakaya Kikwete (JKCI), ulihusisha wagonjwa sita...
  18. F

    Shirika la Wanaume wanaopitia changamoto kwenye ndoa limesajiliwa kwa sheria gani? Video yao imenifanya niogope Ndoa

    Habari wadau. Kupitia Leo tena ya clouds FM imenifanya nilijue shirika la wanaume wanaopitia changamoto kwenye ndoa. Nikakutana na video ya maelezo ya wanachama wao. Baada ya kuitazama hiyo video, nimecheka sana na kidogo Nimewaelewa wale wanaume wa humu jamiiforums wanaosema Kataa ndoa...
  19. Kwa changamoto hizi naamini Makonda atakuwa liability zaidi kwa Rais Samia kuliko asset

    Niliwahi sikia kuwa vyombo vya dola vilimwambia Magufuli amuondoe Makonda ila yeye tu aligomaga kutokana na kumpenda sana. Kwa nafasi mpya aliyoteuliwa na Chama chake nina uhakika mwenyekiti wake ajipange kuletewa kila siku taarifa zinazotokana na mapungufu yake. kwa niliyowahi kusikia huko...
  20. Baadhi ya teknoloiia zilizogunduliwa locally na katika jamii za nyumbani

    Jana nimekaa nikatafakari sana; Hivi ni nani anayesemaga kwamba waafrika hawajagundua chochote cha maana? Isije ikawa cha maana anachokiona yeye ni mawasiliano tu, sijui na kupaa au kurusha vitu angani😢 Kimsingi ugunduzi huwa unatakiwa kutatua changamoto ya watu husika kwanza kabla haujafika...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…