chawa

Chawa is a very old village in Bhera near the town of Bhera, Sargodha District, Pakistan. It is located at 30°59'0N 72°54'0E with an altitude of 153 metres (502 ft).The Bhalwana and Sipra are the main families of this village..
The first district Nazim of Sargodha Malik Amjad Ali Noon was from a village named Ali Pur Noon.
Chawa produces a specific kind of plant that is used in the manufacture of colour paints.

View More On Wikipedia.org
  1. D

    JamiiForums Tanzania Huyu ndiye mwanzilishi wa kutekana na siasa chafu bongo, alijipenyeza kwa watawala kama mshenga (chawa) akaukamata moyo wa mfalme kwa ushauri wa hovyo

    Ndugu zangu tegeni masikio hapa! Katika enzi za mfalme mwenda zake! Kuna kijana aliibuka kama chipukizi kutoka umoja wa vijana! Kijana yule ni moja ya vijana wanaojua sana kujipendekeza! Ni kijana ambae ukimpa nafasi tu atatumia kila mbinu ili aonekane yeye ni bora zaidi kuliko wengine...
  2. JamiiForums Tanzania Mkeka wa mwisho wa mama umetoka bila jina la Mayalla, Msigwa na Lucas Mwashamba. Je hao chawa hawaaminiki?

    kKwenye dakika za jioni kabisa, mkeka wa mama umetoka bila majina ya chawa maarufu kupenya. Nimepitia ule mkeka zaidi ya mara tatu lakini sijaona jina la Pasco Mayalla, Mchungaji Peter Msigwa na Lucas Mwashamba. Sitaki kuamini kama mama hana taarifa zao, sijui inakuwaje watu wengine wa ajabu...
  3. JamiiForums Tanzania Kwenda VETA ni jau, lakini DEGREES ARE USELESS.

    Degree imekua nyepesi sana kuipata aseee!!! Toka lini kitu kinachopatikana kirahisi kiwe na thamani? Ushauri: Kabla ya kupoteza muda wako kwenda kusoma degree hebu jitafakari kwanza. Game imechenji, chawa wanapata kuliko wenye degree zao(sihamasishi uchawa) Tazama hiyo video hapo chini...
  4. JamiiForums Tanzania Matokeo ya awalia: Gwajima 3, Chawa 0

    Mpaka sasa Gwajima anaongoza kwa magoli 3. Mashambulizi toka ile timu nyingine ni makali lakini kutokana na kuwa katika hali ya panick wamekuwa wakiupiga mpira nje mara kwa mara! Nini kitajiri baada ya dakika tisini! Macho na masikio yetu uwanjani!!!
  5. JamiiForums Tanzania Tusichanganye kati ya Right Hand Man wa tajiri na Chawa wa tajiri. Hawa ni watu wawili tofauti!

    Right Hand Man ni mtu wa kuaminika, msaidizi wa karibu ambaye hukusaidia kutimiza malengo na shughuli zako. Anawajibika kwa spidi ya mategemeo yako. Ni mtu ambaye anaweza kumudu kazi za maana, na anakushauri kwa uaminifu bila kujali maslahi yake binafsi. Chawa, kwa upande mwingine, ni mtu...
  6. JamiiForums Tanzania Mtu kama Liberata Mulamula ambaye amekuzidi kila kitu kuanzia Elimu ,umri , uzoefu na Exposure , halafu utegemee aje kukusifu kama Chawa haiwezekani !

    Mtu kama Liberata Mulamula ambaye amekuzidi kila kitu kuanzia Elimu ,umri , uzoefu na Exposure , halafu utegemee aje kukusifu kama Chawa haiwezekani . Utalalamika Sana na nakuona upo katika Panic Mode . MTU unajua kabisa ametumia zaidi ya nusu ya maisha yake kufanya siasa za kutumia akili na...
  7. JamiiForums Tanzania Maneno ya Cassypool, Chawa wa Rais Samia nchini Kenya

    Huyu jamaa aniachaga hoi kwa vituko vyake.
  8. T

    JamiiForums Tanzania Uzi wa kuhifadhi rekodi za "MATAGA" & "CHAWA" kwa awamu tofauti

    Poleni kwa taharuki za udukuzi na kupata taarifa za kushtua mioyo. Nimeona heri tukumbushane hapa wale wanaharakati wa awamu ya 5 maarufu kama Mataga na hawa wa sasa kama chawa. Tujue huwa wanabadili IDs tu ama usajili huwa ni mpya kabisa. Kuna Id zilitamba sana enzi za mwendazake leo huzioni...
  9. S

    JamiiForums Tanzania Ole ole ole anayedhulumu na kunywa damu, endelea kunywa na kusaza, ghadhabu ya aliye juu inatisha na kuogofya

    Hakika amejiangamiza kwa mikono yake, maana ghadhabu ya aliye juu, italamba ukoo na kizazi hadi kizazi, hawataona ile amani, zaidi ya hofu na maombolezo, asema BWANA, mwenye sikio asikiye, mwenye macho aone.
  10. JamiiForums Tanzania Nguo ya mwendawazimu haikosi chawa, mnaojiita chawa mwendawazimu wenu ni nani?

    Nahitaji majibu
  11. N

    JamiiForums Tanzania Rais Samia azidi kutapanya pesa za umma, amwagia mamilioni ya shilling chawa wa Ruto, Cassypool anayetarajia kuwasili Tanzania kumnadi kwenye uchaguzi

    Wakati umma wa Watanzania ukiendelea kushuhudia huduma mbovu za kijamii kama ukosefu wa madawa hospitalini, miundombinu mibovu ya barabara, huduma mbovu za maji e.t.c, Samia ameendelea kuhonga pesa za umma kama njugu kwa chawa wake na awamu hii ametanua mipaka mpaka Kenya. Tanzania imepatwa na...
  12. JamiiForums Tanzania Export Rate ya Uganda huko EU imefika 60% je, ya Chawa Country imefikia Kiwango gani? Njoo mtudanganye sasa

    Na vitu vilivyowapaisha Uganda ni kama vifuatavyo ... 1. Coffee 2.Fish 3. flowers 4. Vegetables
  13. JamiiForums Tanzania Kutoa siri za familia ya mwenzako mitandaoni je kisheria ni sawa?. Nawazungumzia Baba Levo na Mwijaku chawa Promax

    Huwa sipendelei kuchunguza maisha ya watu lakini hapa kuna kitu cha kujifunza kidogo hasa kisheria hii ni kutokana na hawa jamaa wawili walio jitoa fahamu. Kwangu huwa nawaona kama moja ya wanaume wapumbavu kuwahi kutokea chini ya jua! Nikianza na baba levo amewahi kuwa diwani kabisa akiongoza...
  14. JamiiForums Tanzania Chawa mwandamizi wa Ibrah Traore apewa passport mpya ya Burkina Faso

    Ni kijana Wode Maya kutoka Ghana ambaye amekuwa mstari wa mbele kuimba nyimbo na mapambio ya sifa kwa Ibra Traore, mtawala wa Burkina Faso. Hivi kwa nini wanaompamba sana Traore wengi wao kama sio wote wanatoka nchi za nje na sio raia wa ndani ya Burkina Faso?
  15. JamiiForums Tanzania Katoka hija juzi tu Leo kanaswa kashfa ya uzinzi alienda hija kusaka views au ibada

    Kwa yaliyotrend ni doa sana kwa alichokiendea hija ni ibada kila muumini utamani kabla hajaondoka duniani angalau aipate nafasi hio. Kupata kashfa kubwa kama ile si jambo la kusudio la kwenda kule. Ukiamua kufanya ibada achana na maasi na sio huku unataka kule unataka. Alienda kutrend views...
  16. JamiiForums Tanzania Ni muhimu sana Watanzania waelewe kuwa: MADARAKA HAYANA KINGA YA MILELE, NA MADHARA YA MFUMO MBOVU HUMRUDIA KILA MMOJA — HATA HAO 'CHAWA' WANAUTETEA.

    UJINGA UNAOPEWA JINA: PROPAGANDA YA KISIASA MTANDAONI Katika zama hizi za kidijitali, mitandao ya kijamii imegeuzwa kuwa uwanja wa vita vya fikra. Lakini vita hivi si vya kuikomboa nchi bali vya kuilinda dhulma na kuzuia hoja za msingi kwa kutumia matusi, kejeli, na uongo. Kila siku...
  17. JamiiForums Tanzania Dhehebu ya kupeleka Sadaka ni Romani Catolik pekee yake, mengine ni Chawa Pro.

    Huwa nashangaa wanao wapelekea wakina Mwaposa Sadaka na Manabii wengine type yake kama yule tapeli wa Arusha Geo David. Hawa ili waendeleze injili za kitapeli lazima pia wawe chawa. Au wanao peleka Sadaka KKKT, SDA, EAGT, TAG, Angalican, Pentecost, AIC, na wengineo wengi sana. Hawa ni chawa pro...
  18. JamiiForums Tanzania Mbunge wa Busega umetumwa au umejigeuza CHAWA wa Waziri Mkuu Majaliwa ???

    Wana JF , Heshima kwenu!! Moja kwa moja kwenye mada, Leo katika Bunge alipokuwa anachangia hoja juu ya bajeti ya ofisi ya Waziri Mkuu ,Ndugu Simon Songe,umetumia muda mwingi kumsifia waziri Mkuu, huku ukiwataka wakazi wa Lindi mintarafu Ruangwa kumwamini Waziri Mkuu,ukirejea kuwa kaleta...
  19. JamiiForums Tanzania Chawa wa wawekezaji ni wasaliti kwa wazawa!

    Kuna Kampuni ya Mawasiliano ya simu imejenga MNARA kwenye eneo langu lililopimwa, mjini,Bandari Salama,Wanatumia eneo la 500 Sqm, Kwa malipo ya laki tatu, mkataba ulisainiwa miaka nane ya nyuma, Kimefika kipindi Cha kuhuisha Mkataba,Waswahili wanahakikisha huonani na Mzungu mwenye Kampuni...
  20. JamiiForums Tanzania Ijuwe tofauti ya kundi ukombozi vs kundi maslahi vs kundi chawa katika siasa za kidemokrasia Africa.

    Kuna aina tatu za Viongozi wa kisiasa Barani Afrika, ikiwemo Tanzania. 1. #KUNDI_UKOMBOZI: Aina ya kwanza ni viongozi watetezi wa nchi, ambapo kwenye kundi hili ndipo utawakuta watetezi wa rasilimali za kiuchumi za nchi, utawakuta watetezi wa utawala wa demokrasia, utawakuta watetezi wa haki na...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…