chochote

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. SI KWELI Aishi Manula: Siumwi chochote, ila wao ndio wanajua nini kinaendelea

    Baada ya jana Klabu ya Simba kutoa taarifa kuwa mlinda mlango wao, Aishi Manula alishindwa kusafiri kuelekea Algeria baada ya kupata hitilafu ya kiafya dakika chache kabla ya kuondoka Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere. Haya ndio majibu ya Tanzania One "Siumwi chochote, ila wao...
  2. KERO Mbeya jiji: Kuna Watu wanaotishia waendesha bajaji, hawafanywi chochote na yeyote eneo la geti la Pili kwenye bandari kavu

    Kuna kundi la watu wapo eneo la Geti la Pili kwenye bandari kavu jijini Mbeya, mbele kidogo ya Iyunga unapoelekea Mbalizi. Watu hawa hukamata bajaji mchana kweupe wakiwa na marungu kuzuia bajaji zisiende uelekeo wa Mbalizi. Cha kushangaza, hata kama umekodi bajaji hawa watu hawataki hilo...
  3. Follow the Money; Baada ya Shutuma za ADANI kutoa Rushwa, Tuwachunguze Madalali waliowapigia Chapuo kama walipewa chochote wakae mbali na mali za UMMA

    Kuna mambo wengi tuliyaona hususan katika suala la Umeme, kuna nchi kama Bangladesh baada ya ADANI kwenda bei za Umeme zikaongezeka.... https://www.jamiiforums.com/threads/how-questionable-adani-deal-makes-electricity-costlier-bangladesh-case-study.2267500/ Na sio hivyo tu hata Kenya ni kwamba...
  4. Uliza kitu chochote kuhusu mafundisho ya Buddha.

    Tunawakaribisha wote kuuliza chochote kuhusu Buddha
  5. K

    Nimejikuta nachukia kula chakula chochote chenye asili ya Roho, naona kama nafanya ukatili

    Habari wakuu, Katika Maisha yangu yote hakuna chakula ambacho Sili Ila kuanzia mwezi huu nimeona maajabu Nimejikuta siwezi kula chochote chenye asili ya Roho naona kama nadhurumu nafsi ya viumbe yaani nakula kiumbe ambe ameuawa naona kinyaaa Sana kula nyama ya Kuku naona kama namuonea Kuku...
  6. Jinsi ya Kupata Maarifa ya Chochote Unachotaka Kujua

    Katika ulimwengu wa sasa unaokua kwa kasi sana kiteknolojia na kijamii, maarifa ni hazina muhimu inayoweza kukusaidia kufikia malengo yako na kuboresha maisha yako. Lakini swali ni: Unawezaje kupata maarifa kwa ufanisi kuhusu jambo lolote unalotaka kujua? Hapa chini, tutaangalia njia mbalimbali...
  7. LGE2024 Ikiwa CHADEMA au chama chochote cha upinzani kitapata mtaa au kijiji kwenye uchaguzi huu nipigwe ban milele

    CHADEMA ndicho chama kikuu cha upinzani Tanzania. Viongozi wa CHADEMA kadhaa wametekwa na wahuni na wengine kuuwawa, Serikali imeshindwa hata tu kumshika teja na kumbambikiza kesi ya utekaji na uuaji licha ya kuwa na makachero wanaotengewa billions of Tanzania shillings kila mwaka. Badala yake...
  8. Sasa naelewa kwa nini Democrats wanang'ang'ania kusiwepo na uhitaji wa kitambuliicho chochote kile wakati wa kupiga kura USA

    Wanauiita ni mfumo wa kibaguzi Wanataka mtu yoyote aishiye marekani aweze kupiga kura. Kwa upande mwingine watu wanaamini hii ni mbinu wanatumia ili wahamiaji waliongia marekani bila vibali vya makazi wapewe fursa ya kupiga kura. Kutokana na sera zao za open borders za term hii wamevunja...
  9. CCM chama changu mawakala wa chama hadi sasa hawajalipwa chochote tangu uandikishaji uanze hii ni hujuma kwa chama kikubwa kama hiki.

    Mawakala tangu wameanza zoezi la kuandikisha hawaja pata chochote licha ya kushiriki kikamilifu kufanya uhamasishaji, wanajigharamia wenyewe chakula na hakuna posho yeyote wamepewa kwa kazi hii hadi sasa. Je, hawakuwa na budget au kuna watu wa chama ngazi ya halimashauri wamekula? Hebu tuifute...
  10. Breakfast battle

    BIla shaka wote mko vyema Hebu dondosha menu yako ya kifungua kinywa ambayo unaikubali sana. Kuanzia breakfast za kishua mpaka zile za watu kawaida Me: Chapati mayai za kumimina>>> kifungua kinywa chochote
  11. N

    Msaada wa Connection ya kibarua chochote

    Heshima kwenu wakubwa kwa wadogo Nimekuja mbele yenu kuomba msaada wa kibarua chochote ili niweze kuisadia familia yangu nikiwa na maana ya mke na watoto pamoja na mzazi wangu ambae ni mjane. Elimu yangu ni form 6 ila pia najua kutumia computer. Hata kama ni kibarua cha kulipwa kwa siku nipo...
  12. M

    Niulize chochote kuhusiana na ugonjwa wa Homa ya Ini

    Niulize chochote kuhusu homa ya ini. Kiufupi homa ya ini ni ugonjwa unaosabishwa na virusi aina ya 'Hepatitis A, B, C, D & E). Maswali yanaweza kujikita kwenye B na C kutokana kupelekea kusababisha saratani ya ini(Hepatocellular carcinoma). Mpaka sasa 'Hep B' haina tiba kamili ya kuiondoa...
  13. Japo Karma Huwashughulikia Wamwaga Damu, Mawakili: Tujitolee Kutetea Bure, Damu za Watanzania Masikini Zinapomwagwa Kizembe Kwa Kisingizio Chochote!.

    Wanabodi, Hii ni Makala yangu gazeti la Mwananchi Jumatano ya leo, 2 October, 2024 Watanzania walio wengi, hata wenye uwezo, hawazijui haki zao, kunapotokea vifo vya kizembe vya wapendwa wao, lakini hata wakizijua haki zao, Watanzania walio wengi ni masikini wa kutupwa, hivyo hata wakizijua...
  14. T

    Simu ilipokelewa lakini hakusema chochote baadaye nilisikia miguno ya watu wakifanya mapenzi

    MY STORY; Simu ilipokelewa lakini hakusema chochote, badala yake nilisikia miguno ya watu wakifanya mapenzi. Siku tatu baada ya ndoa mke wangu kuniambia kuwa anataka kwenda kwao kumsalimia mama yake kwani anaumwa, nilimpigia simu mama yake na akaniambia kuwa hali yake si nzuri. Nilimruhusu...
  15. Thamani ya Maisha ni furaha,sio pesa au kitu chochote.

    Leo nilikuwa na bando la kuchezea nimejikuta naangalia video za vichekesho/vijana wanaoitwa machawa Baba Levo,Mwijaku na Huyu Doto Magari nimeona jinsi gani hawa jamaa wanavyoishi kwa ujanja ujanja kwa kutumia vinywa vyao kuzusha misamiati,kujichekesha hovyo na kutoa maneno ya kufurahisha jambo...
  16. Ukiona hujakipata ukitakacho elewa bado hujakitaka haswa. Ulimwengu unatoa chochote atakacho mtu.

    Katika hali ya kustua ni ukweli kuwa tumekuwa na tabia ya kujiridhisha na kujiliwaza kuwa tumetiabidii sana ila hatujayapata tuyatakayo lakini uhakika ni kuwa hatujataka haswa tuyatakayo. Ulimwengu una kila tunachotaka na unaweza kutupa ila ni mpaka tutake haswaa. Hakuna mtu aliyetaka kitu kwa...
  17. Kwanini watu wengi hawajui chochote kuhusu taifa la Israel, part 2

    Habari zenu waungwana, nadhani siku si nyingi nilipandisha uzi wenye heading ya WATU WENGI HAWAJUI CHOCHOTE KUHUSU TAIFA LA ISRAEL then kukawa na maneno mengi sana hapa, lakini nilihadi nitarudi na sasa nimerudi kutetea hoja yangu. Kwa uchunguzi wangu mdogo tu tena kupitia hili jukwaa niliweza...
  18. Mkikutana na mpenzi wako mkafanya ngono bila kupeana chochote na wote mkatoka mmefurahi hilo ni penzi, kama mmoja akikasirika hapo hamna penzi

    KAHABA ni mtu ambaye anafanya ukahaba. UKAHABA ni kitendo cha mtu kufanya ngono ili apate malipo. Wapenzi watapendana tu bila sababu yoyote , wapenzi watapeana pesa na vitu vingine. Wapenzi hawapo kama kiatu na rami, maana kiatu mara zote ndio kinaliwa. Wapenzi watakutana mahali popote, wakiamua...
  19. WHATSAPP TEXTS: Huwa unachukulia vipi ile situation ya mtu anaku-blue tick alafu hajibu wala kureact chochote?

    Kuna watu kitendo hiki kinawaumiza sana. Wengine wala hawajali. Wewe huwa unachukuliaje mtu akikufanyia hivi?
  20. Nataka kuanza mazoezi! Niambie Chochote kuhusu mazoezi

    Wakuu nina passion na mazoezi.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…