Mzuka, mashamsham na tamaa vyote viliyeyuka, baada ya kuona makalio yanaondolewa na kutundikwa juu kama inavyoonekana hapa chini.
Nimejiuliza maswali mengi sana. Hivi ananionaje huyu dada mpk akaamua kunidanganya kizembe namna hii? Ili siku nyingine nisiibiwe natakiwa kuyakagua vipi haya...