Hii kesi ina ya Ugaidi ya makomandoo wa jeshi na kiongozi wa upinzani inayoendelea ina maajabu yake mpaka sasa, mimi nitataja machache, mengine ongezeeni.
1. Ni darasa huru la kuwafundisha polisi namna ya kufanya kazi zao kimaridadi sana, kama ule wimbo wa sigara mkononi, lakini hawana fedha...