dola

The Western Australian Land Information Authority operates under the business name of Landgate. Formerly the Department of Land Information (DLI), the Department of Land Administration (DOLA) and the Department of Lands and Surveys (DOLS), it is the statutory authority responsible for property and land information in Western Australia.

View More On Wikipedia.org
  1. I

    Nchi 10 za Kiafrika zenye mamilionea wengi

    Ifuatayo ni orodha ya nchi 10 za kiafrika zenye dola millionaire wengi. =============== Top 10 countries in Africa with the highest number of millionaires in 2023 Business Insider Africa presents the top 10 countries in Africa with the highest number of millionaires in 2023. This list is...
  2. I

    Ujerumani kutumia dola bilioni 4.3 kununulia mfumo wa ulinzi wa anga aina ya Arrow 3 kutoka nchini Israel.

    Ujerumani inapanga kutumia kiasi cha dola za kimarekani bilioni 4.3 kununulia mfumo wa ulinzi wa anga aina ya Arrow 3 kutoka nchini Israel. --- Germany is one step closer to acquiring Israel's Arrow-3 missile defence system. The German government has expressed its willingness to buy the...
  3. I

    Argentina yafikiria kutumia dola ya Marekani kama sarafu yake

    Wakati mataifa mengine yanafikiria kuachana na dola ya Marekani katika biashara ya kimataifa kuna mataifa mengine yanafikiria kutumia sarafu hiyo adhimu kama sarafu ya nchi. ----- While some emerging economies have demonstrated an eagerness to untangle themselves from the dollar's dominance...
  4. CCM na kauli 'watatufanya nini sisi ni wenye dola' siku si nyingi itawageuka!

    Wana CCM hawana uoga na kitu chochote wanacho amua kufanya, wanaamini kushika kwako dola ndo kila kitu kwao. Wapo wanaoamini wao na familia zao watatawala milele. Lakini naamini hakuna marefu yasio na ncha. Moshi mweupe umeanza kufuka, watanzania wa sasa sio wajinga kama miaka iliyopita. Mwisho...
  5. CHADEMA itumie sera za Magufulification kwenye mazuri yake ili ikamate dola

     Tunakubali Magufuli hakuwa mwema sana lakini hakuwa muovu kwa Kila kitu. Kama ilivyo Kila mwanadam anayo mabaya na mazuri katika amatendo yake. Zile zama za kuungana na Mafisadi ya CCM kumtukana Magufuli Sasa imetosha. Tunahitaji Sasa kugeukia Yale mazuri ambayo aliyasamia. Mnaweza kuyasema...
  6. Kauli ya Waziri wa Fedha kuhusu kuadimika kwa Dola nchini

    Waziri wa Fedha na Mipango, Dk. Mwigulu. Nchemba amesema licha ya nchi ya Marekani kuja na sera ya kupunguza dola katika mzunguko, Tanzania. bado ina unafuu kwa kuwa haijapata athari kubwa kulinganisha na nchi zingine. kutokana ná mikakati iliyowekwa na serikali. Alitoa, kauli hiyo jana wakati...
  7. J

    Kenya wamkejeli Samia kuhusu uhaba wa dola Tanzania

    Miezi kadhaa iliyopita Rais Samia alisikika akisema Tanzania ipo vizuri kwenye hifadhi ya fedha za kigeni, huku akisema kuna nchi jirani ina hali mbaya ambayo inahitaji msaada Kenya walielewa kuwa anailenga nchi yao yenye tatizo la fedha za kigeni pia) Sasa baada ya Tz kutangaza kuwa na uhaba...
  8. S

    Rais Ruto azitaka nchi za Afrika kuacha kutumia sarafu ya dola kwenye biashara zao za kimataifa

    Rais Ruto wa Kenya amezitaka nchi za Africa kuacha kutumia sarafu ya US Dollar 💵 💵 💵 kwenye biashara zao za kimataifa. Ruto anashangaa kwa nini Africa tumekuwa watumwa wa sarafu ya dola ya kimarekani kwenye biashara zetu kiasi kwamba inafikia nchi za Afrika zashindwa kuuziana bidhaa zao mfano...
  9. J

    Huu uhaba wa dola unasababishwa na miradi ya pupa aliyoianzisha Magufuli akijitapa sisi ni matajiri

    Miradi inatumia fedha nyingi za kigeni kufanya imports ya vifaa na kulipa wakandarasi Miradi mingi inatumia mikopo ambayo imeshaanza kulipwa kabla hata matunda ya mradi hayajaanza kuingiza kipato Haya mambo tulitarajia na tuliyasema kabla...
  10. DOKEZO Dola zimeadimika, bei ya black market ni Tzs 3000-3200 kwa noti za $.50 & 100

    Kwa zaidi ya siku 10 nimekuwa nikitafuta dola 12,000 kwa ajili ya kuweza kuagiza vitu fulani China. Nimezunguka kwenye mabenki yote makubwa, jibu lao hatuna USD. Nimeenda bureau de change, nako nimezunguka sana. Jana jioni nikafika kwenye duka moja la kubadilishia fedha, nilipoingia ndani...
  11. CHADEMA msipo badili mbinu ya kisiasa hamuwezi kushika dola

    Utanzania kwanza 🇹🇿 1. Hamuwezi Kushika Dola kwa kudharau vyama vingine vyenye Nia. Wanyonge huungana kumkabili mwenye nguvu, msiendeshe siasa ya Tanzania kwa kufananisha na Republican na Democrat. Hatujafika huko. 2. Maridhiano mliyopewa ni danganya toto, right? Mngejua kinachozungumzwa...
  12. Yanga ikitwaa Kombe la Shirikisho itapata Tsh. Bilioni 4.7, ikifungwa itapata Tsh. Bilioni 2.3

    Shirikisho la Soka Afrika limetangaza ongezeko la Asilimia 40 katika zawadi za Ligi ya Mabingwa Afrika na Kombe la Shirikisho Afrika, ivi ndivyo viwango vipya vya fedha kwa kila hatua; Ligi ya Mabingwa Afrika Bingwa: Dola Milioni 4 (Tsh. Bilioni 9.4) Wa pili: Dola Milioni 2 (Tsh. Bilioni 4.7)...
  13. Vyama shindani vyenye nia ya kushika dola unganeni sasa, 2025 njia nyeupe

    Kwa ufupi, Kiongozi wasasa wa nchi hakubaliki popote Tanzania Bara, hakubaliki kwa makundi yote hasa wananchi wa kawaida(common people). Anapondwa mno kwa kushindwa kuwa dereva Bora na mwenye msimamo. Wananchi wameshindwa kujua hasa falsafa yake ni ipi? Wameshindwa kujua mwelekeo wa nchi ni...
  14. R

    Mgomo wa wafanyabiashara Kariakoo ukitatuliwa kwa ushawishi wa vyombo vya dola tutakuwa tunaahirisha tatizo

    Mgomo unaoendelea Kariakoo uwe wake up call kwa serikali kuacha kutumia vyombo vya dola kuendesha biashara za raia. Tutumie wataalam watuambie tatizo lilipo na tulipatie ufumbuzi. Siku dola ikipewa jukumu la kuimarisha usalama biashara zifanyike usiku na mchana nchi itapiga hatua. Lakini...
  15. Zitto: Baadhi ya mitambo ya Vyombo vyetu vya na dola mlitumika kumchafua BM

    Zitto katoa kashfa nzito kuvihusu vyombo vya dola kwa kutumika kumchafua Membe ikiwamo mitambo ya vyombo hivyo kutumika kuchapisha magazeti ya kumchafua. Maoni yangu: Hii kashfa ni kubwa mno kutolewa na mfanya siasa kama Zitto tena mbele ya Amri Jeshi Mkuu wa Vyombo vya Ulinzi na Usalama na ni...
  16. Kama Kanisa Katoliki ni Kanisa dola, kwanini tusiamini tukio la kutokea Bikira Maria watoto wa Fatima ni la kupangwa?

    Mimi ni mkatoliki ila hili tukio la bikira maria kuwatokea watoto wa fatima kule ureno linafikirisha sana. Kwanza mkuu wa kanisa katoliki yani papa ni Rais wa Vatican pia kama nchi kamili yenye kiti UN. Sasa tukio la kule ureno mwaka 1919 la bikira maria kuwatokea Lucia, Francis na Yasinta sio...
  17. L

    Huenda 'Shida ya dola' ikarejea tena nchini Marekani

    Hivi karibuni Benki Kuu ya Marekani iliongeza kiwango cha riba kwa mara ya kumi ndani ya miezi 14 iliyopita, hatua ambayo imelaumiwa tena ndani na nje ya nchi hiyo. Kuendelea kuongeza kiwango cha riba sio tu kunaifanya Marekani kukaribia kwenye msukosuko wa kiuchumi, lakini pia kunasababisha...
  18. M

    Mataifa yanayoagiza bidhaa China yatumia zaidi Yuan na kuipiku dola ya Mmarekani

    Kwa mara ya kwanza katika historia ya mauzo ya nje ya bidhaa za China (China's crossborder transactions) mauzo kwa kutumia Yuan yameipita US dollar. Mwaka 2010 mauzo ya nje ya bidhaa kutoka China kwa kutumia Yuan yalikuwa ni 0% na point kadhaa tu wakati mauzo kwa kutumia US dollar yalikuwa ni...
  19. I

    Sarafu ya Russia yashuka thamani dhidi ya dola ya Marekani

    Kushuka kwa bei ya mafuta na hofu kuhusu safari za mtaji kulisaidia kusukuma ruble ya Urusi hadi kiwango chake dhaifu dhidi ya dola ya Marekani katika mwaka mmoja siku ya Jumatatu, hatua ya hivi punde zaidi katika kile ambacho kimekuwa mabadiliko makubwa ya bahati ya sarafu hiyo. Ruble...
  20. J

    Hii ndiyo sababu Dola ya Marekani bado itazidi kuwa hela inayoaminiwa zaidi duniani

    Pamoja na vita na kampeni ya Urusi na China dhidi ya dola ya Marekani tangia vita ya Ukraine ianze, dola ya Marekani imezidi kuonyesha ndio hela stable zaidi duniani. Dola imezidi kubaki imara kama chuma huku fedha za nataifa mengine tajiri zikiporomoka na kuifanya dola kuendelea kuwa hela...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…