ENEO ZURI, TAMBARARE LINAUZWA
UKUBWA: 7,021 square meters, sawa na 1.735 acres).
MAHALI: Kata ya Manchali, Wilaya ya Chamwino, Dodoma. Eneo lipo kando ya barabara kuu ya Dodoma - DSM. Ni umbali wa 20km kutoka Chamwino Ikulu, 38km kutoka Kituo Kikuu cha Mabasi Dodoma.
DIRECTION LINK...