fifa

  1. Tuliosema Kitambo kuwa Yanga SC ilifungiwa na FIFA Kusajili na Tukatukanwa hapa tunaomba tuombwe Radhi upesi

    "Sasa ni rasmi Yanga SC yetu tumeruhusiwa Kusajili baada ya Kuzuiwa kwa muda kufanya hivyo kutokana na Kushtakiwa na aliyekuwa Kocha Wetu Luc Eymael kwa Deni lake alilokuwa akitudai kwa muda mrefu" amesema Ali Kamwe Msemaji wa Yanga SC. Chanzo: Sports Headquarters ya EFM muda si mrefu.ll...
  2. Kwahiyo Hasira za Kumkosa kwa Umafia mliofanyiwa ndiyo mmeamua Kuwachochea Al Hilal FC Wawashtaki FIFA Wachezaji?

    Na msivyo na Akili hata na Makabi Lilepo ambaye kwa 99% mmeshamalizana nae kwa mujibu wa Taarifa yao ( Klabu hiyo ya Sudan ) ni kwamba hata Yeye nae yuko katika Kushtakiwa pamoja na Fabrice Ngoma aliyewauma villivyo baada ya Kupigwa Chenga ya Kimafia Jana na Kutua rasmi Simba SC. Haya...
  3. J

    FIFA waja na sheria mpya ya Offside, je hili litavuruga soka au ni bora?

    Shirikisho la soka la Kimataifa (FIFA) wamekuja na sheria mpya ya offside ambayo ili mchezaji ahesabiwe alikuwa offside ni lazima awe amempita mchezaji wa timu pinzani kwa mwili wake wote
  4. Ombi la Rais kuhusu Fei Toto kwa Yanga ni agizo lakini lisivunje kanuni za FIFA

    Mpira ni taasisi yenye lugha yake, taratibu zake na sheria zake. Mpira ndio taasisi inayoruhusu mtu kuuzwa kwa mkataba fulani wa muda fulani kwa kiasi fulani. Hii inafanyika kwakuwa: 1. kila timu inataka wachezaji wazuri kuliko timu pinzani. 2. Wachezaji wazuri sio wengi sana kwenye jamii...
  5. S

    Yaya Toure akosoa uwepo wa Fainali 2 kwenye Michuano ya Afrika

    Ujumbe wa nyota wa zamani wa Barcelona na Man City, Yaya TOURE juu ya uwepo wa fainali mbili kwenye michuano ya Afrika. Wakati umefika kwa mashabiki wa soka wa nchi zetu barani Afrika kudai HAKI YA MICHEZO kwa kuitaka CAF kuwa na mechi moja pekee ya fainali kwenye uwanja wa usiofungamana na...
  6. S

    Rais FIFA atoa pongezi kwa Club ya Yanga SC

  7. M

    FIFA irudishe sheria ya kuchomekea, vijana kwenye mpira wamekuwa wahudi sana

    Kuchomekea shati au tu kochomekea tu ni ishara ya udhanifu na heshima duniani kote. Hilo linafahamika wazi. Ukiangalia wachezaji wa mpira kabla 2005 kurudi chini walikuwa na heshima, dhanifu sana kwasababu walikuwa wanachomekea jezi. Lakini baada ya 2005 FIFA walipoivunja sheria ya...
  8. Mmoja tu afaulu mtihani wa uwakala wa wachezaji wa FIFA, ni nani huyu?

    Kama kichwa cha habari kinavyo jieleza au kuuliza, naomba mwenye taarifa atujuze ni wakala gani pekee alifaulu mtihani wa FIFA wa uwakala wa wachezaji? Je, watanzania ni vilaza kiasi hiki? Nimetoa taarifa hizi toka kwa Angitile Osiah kama alivyo eleza katika moja ya makala yake kwenye gazeti la...
  9. FIFA yaivua Indonesia nafasi ya kuwa mwenyeji wa Michuano ya Kombe la Dunia U20

    Shirikisho la Soka Duniani (Fifa) limechukua maamuzi hayo baada ya Serikali ya Indonesia kukataa kuipokea timu ya Israel kutokana na mgogoro wa Kidiplomasia baina ya Mataifa hayo. The Football Association of Indonesia (PSSI) said Fifa was forced to cancel the draw after Bali's governor Wayan...
  10. Inadaiwa FIFA imeifungia Yanga kusajili madirisha matatu kutokana na deni la Kocha Luc Aymael

    Kwa mujibu wa @FARPostZA, FIFA imeifungia klabu ya Yanga kusajili wachezaji kwa madirisha matatu (3) mfululizo baada ya kushindwa kumlipa fidia ya kuvunja mkataba aliyewahi kuwa Kocha wao Luc Aymael. Kocha huyo raia wa Ubelgiji ambaye pia amewahi kuzifundisha Free State Stars na Polokwane City...
  11. Mnaobeza maamuzi ya TFF nikumbusheni ni lini CAF, CAS au FIFA zilitengua maamuzi/hukumu za TFF?

    Kuna mzee mmoja ni Jaji mstaafu kwa sasa, alishawahi kutuambia kuwa ukienda Mahakamani basi mlalamikaji na mlalamikiwa wote wanona wana haki. Hata kesi za jinai ukisikiliza upande wa mtuhumiwa ni ama anaonewa au ama anaalalamika kosa limekuzwa. Nirejee hapa, sualal la Fei kihuruma linatazama...
  12. J

    Sakata la Fei toto imekuwaje lipo TFF wakati lilipelekwa CAS, FIFA?

    Kesi ya Fei Toto ilianzia TFF ambapo upande wa Fei haikuridhika na maamuzi ya TFF na ukaenda kukata rufaa mahakama ya kimataifa ya michezo (CAS) Iweje leo nasikia tena lipo TFF?
  13. INAUZWA PC games fifa 14 na pes 17 patche to 23

    PATA FIFA 14 PATCH 23 πŸ”₯ πŸ”₯ πŸ”₯ PES 17 PATCH 23πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯ KWA BEI POA KABISA UNAZIPATA GAMES HIZO KAMA MASHINE YAKO INA 4GB RAM ANGALAU CORE 3i ILA BEST ZAIDI IWE i5. Pia TUNAWEKA GAMES PS4 PS3 PS2 PC PSP 0710701361 πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯ TUNAFIKA ULIPO KWA DAR NA PWANI 0710701361πŸ“žπŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯ KWA PS4 NI 15000 KWA GAME KWA...
  14. FIFA kufungua mashitaka ya kinidhamu kwa timu ya Argentina

    Shirikisho la soka ulimwenguni, FIFA limetangaza kufungua kesi za kinidhamu dhidi ya timu ya Argentina kutokana na kile ilichokitaja kama tabia zisizo za kiungwana ilizoonyesha baada ya kuchukua ubingwa wa kombe la Dunia mwezi uliopita. Mlinda mlango wa Argentina Emiliano Martinez alionyesha...
  15. FIFA kuchunguza kitendo cha mpishi Salt Bae kushika Kombe la Dunia

    Shirikisho la Soka la Kimataifa (FIFA) limefikia maamuzi hayo baada ya mpishi huyo maarufu wa nyama kuingia uwanjani baada ya mchezo wa fainali kujumuika na wachezaji wa Argentina kushangilia ushindi na kulishika kombe kwenye Uwanja wa Lusail, Desemba 18, 2022. Sheria za FIFA zinatamka kuwa...
  16. J

    Hatimaye Rais wa FIFA akiri, ataja sababu ya Argentina kushinda kombe la Dunia

    Kwa Tafsiri ya Kiswahili ni " Ingekuwa sio haki Kama Messi angestaafu bila kushinda kombe la Dunia" Kumbuka na Hawa walishatabiri Argentina itabeba kombe baada ya kuona Mambo yalivyokuwa yakienda
  17. Ni Messi vs MbappΓ© fainali ya FIFA World Cup leo, Unampa nani kete yako?

    #FIFAWorldCup2022: Ni Desemba 18, 2022 Dunia itashuhudia Fainali za Kombe la Dunia lililoanza Nov 20, 2022 huko Qatar kwa kuzileta pamoja Timu za Mataifa 32 zilizomenyana kwa jumla ya Mechi 64. Leo katika Dimba la Lusail Stadium, Al Daayen watakutana Mabingwa mara 2 wa #KombelaDunia Timu za...
  18. M

    Kwanini nasema na najiamini Argentina anaenda kuwa Bingwa wa 2022 QATAR FIFA WORLD CUP tarehe 18/12/2022?

    1. Wanacheza Kimkakati zaidi kama Simba SC 2. Wana Wachezaji Wapambanaji kama wa Yanga SC 3. Wana Golikipa Bora sana 4. Messi anawarahisishia Kazi Wengine 5. Wana Morali ya Kiuzalendo hasa 6. Argentina ni Timu ya Mungu 7. Lionel Messi hakabiki na Kabarikiwa Nami MINOCYCLINE namalizia kwa...
  19. J

    Nilibisha sasa nimeamini, FIFA wanataka Messi ashinde hili Kombe la Dunia

    Imesemwa na wachezaji wa Ureno na wachambuzi wengi kuhusu Argentina kupendelewa, nikabisha. Yaani hadi sasa Messi ana magoli 5, na 4 kati yake ni penalti! Argentina wamepewa penati nyingine yenye utata tena leo, tena baada ya Croatia kunyimwa kona ya wazi. Hii sio mara ya kwanza Agentina...
  20. Nusu Fainali: Argentina 3-0 Croatia, FIFA World Cup, 13/12/2022

    69' Julian Alvarez anafunga goli la tatu akimalizia kazi nzuri ya Messi 60' Timu zinashambuliana kwa zamu 58' Messi anakosa nafasi nzuri, shuti lake linapanguliwa na kipa 55' Argentina wanaamka na kufanya mashambulizi ya kushtukiza 50' Croatia wanamiliki mpira na kupiga pasi nyingi Kipindi cha...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…