mimi mutwa mukulu nawakilisha kizazi cha dot com. nikiwa shule ya msingi ilembula njombe kwa mzee nyimbo, nilibahatika kusoma baadhi ya vitabu vya zamani kwani kijiji kile watu walianza kusoma mwaa 1945. nilipata kusoma kitabu cha abunuwasi, kisiwa chenye hazina na jamaa hodari kisiwani...