game

  1. M

    Huenda Manyanya asingemcheze rafu mbaya Lomalisa game ingebaki SARE

    Kwa mtazamo wangu ile game ya Yanga na Namungo ilikuwa iishe bila kufungana, ninaamini hivyo kwasababu ukiangalia ile game utaona jinsi Namungo walivyokuwa tayari wamefanikiwa kuwazuia Yanga hadi walikuwa wameshaanza kupaniki na walikosa utulivu katika kushambulia. Ikawaje Yanga kupata goli...
  2. Kwenye game linda sana brand yako, IT wa bongo mnakubali vp kupiga window kwa elf 5?

    Elfu 5, Yes! wala sijakosea ni 5,000. Nimeenda sehemu namkuta graduate wa computer science anapiga window kwa elf 5, like seriously guys? Mtu kasoma chuo kwa mamilioni halafu atoe huduma kwa elfu 5? Ni wazi hatambui hata uzito wa CV yake ya kusomea taaluma yake kwa miaka mitatu chuoni.
  3. Mashairi: Khaligraph hajatukana Wasanii wa Bongo Bali anawakumbusha tu kuwa wamepooza sana kwenye Game ya Rap wamekimbilia Kwenye Amapiano

    KHALIGRAPH - Bongo Favour Lyrics π“π€π…π’πˆπ‘πˆ 𝐙𝐀 πŠπˆπ’π–π€π‡πˆπ‹πˆ π™πˆππŽ Tusahishane kama kuna makosa+nyongeza Yeah nafanya TZ mbogi ipaniki ᴍʙᴏɒΙͺ = α΄‹α΄œΙ΄α΄…Ιͺ, α΄κœ°α΄€Ι΄α΄ α΄‘α΄€Ι΄α΄€α΄α΄’α΄œΙ΄Ι’α΄œα΄α΄’Ιͺα΄‘α΄€ ʜᴜᴍᴜ Wakiona OG amejam, zogo! ᴑᴀᴍᴇᴀᴏɴᴀ Ι΄α΄€α΄‘α΄€α΄˜α΄€ α΄α΄€α΄‹α΄€α΄ α΄œ, ᴑᴀᴍᴇᴀɴᴒᴀ α΄‹α΄‡ΚŸα΄‡ΚŸα΄‡ Big rappers na mbona mnaplans ndogo? Na sitafuti kiki...
  4. R

    Natafuta muongoza watalii Mpanga Kipengere Game Reserve

    Habari. Natafuta muongoza watalii mwenye uzoefu wa kuongoza hasa watalii wa ndani kwenye pori tengefu la Mpanga Kipengere niweze kupanga nae safari za utalii wa ndani kutoka mikoani. Whatsapp 0656388678
  5. Jinsi ya kupandisha version kwenye game la ETS 2

    Wakulu habari Kuna boya kaniwekea game kwenye PC lakini version yake ni ya zamani 1.18.1.3s nawezaje ipandisha ikawa 1.47 ya sasa au 1.48 inayotoka kesho
  6. PS5: Hii ndio final fight katika game ya God of War Ragnarok

    Kwenye fight ya mwisho kratos god of war mwenyewe pamoja na mtoto wake atreus na shemeji yake Freya wote wanashirikiana kumpiga Odin (Jambazi kuu). Uzuri wa Hii game ni kuwa ina story nzuri sana na pia graphics ziko poa, na fight zake ziko amazing sana.
  7. Ndege yenye namba za usajili 5H-MZE imetoka Selous Game Reserve na kwenda kutua Zanzibar, ilibeba nini?

    Ndege yenye usajili 5HMZE iliyofichwa taarifa muhimu imeonekana inatoka Selous Game Reserve na kwenda kutua Zanzibar, haijulikani kwanini ndege imezimwa Transponder na bado haijajulikana ndege hiyo kama imebeba watalii au lah! *********** ************** Update Ndege imetoka Zanzibar sasa...
  8. Eti hapo naweza cheza game la ETS 2 bila kugandaganda

    Wataalamu nahitaji msaada wa utambuzi wa uwezo wa hiki kifaa kabla sijayakanyaga maana nataka kulipia
  9. Simba kuanzia Hatua ya 2 CAFCL, kukutana na mshindi wa mechi kati ya Power Dynamos na African Stars

    Droo ya Ligi ya Mabingwa Afrika imepangwa, Simba itaanzia Raundi ya Pili kwa kucheza na mshindi wa mechi kati ya Power Dynamos (Zambia) dhidi ya African Stars (Namibia) Yanga itaanzia Raundi ya Kwanza kwa kukipiga na ASAS ya Djibouti, timu itakayoshinda itaingia Raundi ya Pili na kukutana na...
  10. LIVE LIGI KUU UNDER 20: AZAM 0 VS MTIBWA SUGAR 2

    Hili ni bonge la Game. Kama tutaendelea kuwekeza kwenye vijana, hakika hatuta ng'ang'ania magarasa akina sawadogo. Mtibwa wana timu nzuri sana. Kuna fowadi zaidi ya Baleke au Mayele anaitwa Makambo Jr. Hadi sasa dakika ya 16 Mtibwa anaongoza 2 bila ote yakifungwa na Makambo Jr. Azam kuna...
  11. Game station business: Naomba taarifa kuhusu hii biashara

    Ndugu zanguni kuna biashara huwa naionaga lakini sasa nahisi nakosa kujua naifunguaje kutokana na nature ya biashara. Biashara ya Games Station,ni biashara ambayo taarifa zake wanazo wacheza hayo magame ambao ni vijana (toto za kishua na waliorizika flani) Kwa circle yangu ya maisha Sina mtu...
  12. Game inamdai, INNOCENT SAHANI "Dirty Knob" "Bad Man" "MFALME wa MITAANI" "D Knob"

    GAME INAMDAI INNOCENT SAHANI "Dirty Knob" "Bad Man" "MFALME wa MITAANI" "D Knob" Mwamba kutoka Kiwalani alifanya kazi nyingi sana na Mika Mwamba, akapita kwa Majani, kwa D Money, kwa Villy Nice, kwa Master Jay, na kwa Producer Jonas. Kutokana na sababu za kiimani, akaondoka angali GAME INAMDAI...
  13. FT: Fiston Mayele anawainua Wacongo hapa, Gabon 0 DRC 2

    Sasa takwimu za Mayele zinahamia National team, anaifungia Congo goli la pili, goli kama hili linapatika Uefa tu na world Cup. Game is on.
  14. Ni ujinga mkubwa kudhani kwamba kukamia tendo ndio kumkomoa binti mpiga vizinga

    Huwa nashangaaga sana mtu kapigwa vizinga ama kazungushwa sana halafu siku ya siku dem kaamua au kabananishwa kutoa mzigo, Mtu anajisifia nimekamua sana nimemkomoa, hivi upo serious kabisa mwanamke alieanza mapenzi tangu kavunja ungo umekutana nae akiwa kwenye 20's unaweza kumkomoa kwa game ...
  15. S

    NABI: Ratiba imechangia kupoteza

    β€œMaandalizi yetu ni magumu hatujapata muda wa kutosha tumetumia muda mwingi kwenye recovery. Tunataka tutoe wito kwa wanaopanga ratiba, tunaliwakilisha Taifa tunaombea siku zijazo lisitokee tena”
  16. Game imeshaisha. Hakuna wa kutuzuia tusichukue ubingwa leo

    Huu Ubingwa tunauchukulia hapa. Hakuna wa kutuzuia. Kule tutaenda kamilisha tu mahesabu.
  17. Marvel's Spider-Man: Miles Morales GAME: Jinsi Ya Kucheza Spider Man kwenye PS5

    FIRST MISSION - Hold Onto Your Web-Shooters Hii mission ya kwanza inaonyesha spider mpya ambaye ni miles molares akifanya mission yake ya kwanza akishirikiana na spider mwengine ambaye ni PETE, inaonyesha kuwa spider miles morales anaachiwa mji wa New York Peke Yake aulinde wakati spider wa...
  18. The lie game

    The lie game. Ni mchezo wa uongo au kudanganyana, kulishana matangopori πŸ˜€πŸ˜€. Lengo ni kuenjoi tu na si vinginevyo. Comment kitu Cha uongo then utajibiwa Cha uongo zaidi. Mfano;- "Nilipokuwa nasoma walimu waliniogopa kiasi kwamba wakitaka kuongea na mimi hunyoosha kwanza vidoleπŸ˜‚πŸ˜‚"
  19. GTA V FINAL MISSION: Zijue mission za mwisho kwenye gta V

    Mission za mwisho kwenye gta v zinatokana na maamuzi yako utakayoamua kufanya kwa watu utaoamua kuwaua. Ukichagua kumuua Trevor Philips, mission inaitwa something sensible Ukichagua kumuua Michael , mission inaitwa Times Come Ukichagua kuwaua wale watu unaohisi watawau mission inaitwa...
  20. Yamenikuta: Wanawake hii tabia ya kuomba tuwakope na marejesho yakiwasumbua mnataka tumalizane kwa mfikicho si uungwana!

    Ni miezi miwili iliopita niliweza kumkopa rafiki wa karibu tu tuliewahi kusoma wote na hata familia yao ni family friends. Sasa alikuja kwangu nimkope laki 3, mwanzoni nilitaka nimruke ila ukizingatia kwa namna alivyoweza kunishawishi pesa inaenda kwenye biashara na ataweza kuirudisha pamoja...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…