Mechi ya Morocco tulianza kushanga shangaa tu hatujielewi kama tuko Afcon, baada ya kupigwa Goli moja tukaamka na kutandaza boli kama Brazil tukawabana Morocco REFA akatukandamiza kama kawaida yao kuonea underdogs akamtoa Miroshi Novatus kwa red card na kukataa kuangalia VAR ili asibadili...