gari

  1. Je, ni kweli kuishi Dar es Salaam bila gari ni kujipunja na kuihujumu familia kimaisha?

    Nimekutana na huu mjadala mahala. Watoa hoja wanatoa sababu za msingi. Dar ni jiji pana kulinganisha na majiji yote nchini. Mtu kutoka Bunju kwenda chanika Ukiwa Mwanza unakuwa umeshafika karibu na Mwigumbi mpakani na Shinyanga. Kama unakaa chanika, na unataka kuenjoy na familia weekend...
  2. Basi la Mwendokasi limeua mtu Kariakoo, Dereva Bodaboda wamshambulia Dereva wa Mwendokasi

    Habari ya mchana wakuu, niko hapa maeneo ya kariakoo kuna ajali imetokea gari ya mwendokasi iliyokuwa inaendeshwa na mwanamke imemgonga mtu na mwili kusagika hapo hapo, inasemekana huyu ni mtu wa tatu anagongwa na kufa hapo hapo na huyu mwanamke. Mwenye maelezo zaidi kuhusu huyu mwanamke...
  3. Morogoro: Gari la Serikali limegonga na kuua mwanafunzi

    Mwili wa mwanafunzi Yulia Samson Difrata, mwanafunzi wa kidato cha kwanza katika Shule ya Sekondari Chigela, umeondolewa eneo la ajali, katika Kijiji cha Tabu Hotel, Kitongoji cha Stendi, wilayani Gairo, mkoani Morogoro ambapo inadaiwa mwanafunzi huyo amegongwa na gari la serikali ambalo...
  4. Unapowaambia wakazi wa mkoa wa Kagera kuhusu gari wanachowaza kwanza

    Corona Premio the number one choice ya kina Rweyemamu wa Muleba, Muganyizi wa Karagwe, Kalikawe wa Kiziba. Tasipota..
  5. Hii dunia hii, rafiki yangu kanyang'anywa gari na mshangazi wake

    Jamaa alikuwa anatamba sana na IST mpya kabisa, apartment kali. Sasa jamaa kajichanganya alikuwa na mtu wake sahihi huyu mshangazi alikuwa anamvuna tu. Swali langu kwenu wakuu kwanini mishangazi inapenda vijana wa makamo?
  6. Nyamagana: Tujenge reli za kamba za Gari umeme

    Habari yako Nyamagana ! Mnaonaje pakijengwa Gari Umeme zenye kutumia reli za waya kuzunguka Nyamagana. 1. Hii ianzie Mkuyuni - Igogo - Mrungushi - Sahara (Main Station). 2. Hii ya pili iwe Lango lango - Mabatini - Buzuruga - Mahina - Mahina - Mkuyuni . Oya hii itakuwa sawa sana na mji...
  7. Je kuna ulazima wa kupiga ribiti kwenye gari?

    Wakuu kuna jamaa yangu ameingiza mkweche (gari) kutoka kwa mjapani. Sasa kuna wananzengo wanampiga saundi eti apige ribiti kwenye maeneo mbalimbali ya gari kama vile kwenye taa na maeneo mengine yaliyo loose eti ili wajuvi wasipate tamaa ya kuvikwapua vitu ivo. ivi wakuu kuna ukweli ktk hili...
  8. W

    Gari Brevis tamu sana kwa safari ndefu!

    Nina gari Brevis Cc 3000 hii chuma nikitangulia usinifuate aisee, gari inakimbia sana na imetulia kabisa safari ndefu huwa nakimbiza huku nacheka tu jana nimetoka Dar asubuhi mpaka Mwanza gari imetulia kabisa ukiwa speed 150 unaona kama iko speed 50. Nina prado ila prado huwa naliacha nasafiri...
  9. M

    Msaada juu ya gari aina ya Verossa

    Napenda kufaaham ubora nanulaji wa mafuta wa gari aina ya verossa Mfano, taa ya mafuta imewaka umeongeza ya elf 10 lakini taa bado inawaka ni sahihi kutembelea hayo mafuta ya elf 10 taa ikiwa bado inawaka?
  10. Ama kwa hakika, jamaa aliye kwenye hii gari anakula maisha sana

    Yani Kwanza jamaa unaonekana hela ipo, demu mkali anae, halafu demu mwenyewe bado mdogo Mali mpya kabisaaaaa. Na demu mwenyewe yupo romantic kuliko mademu wengi Sana hapa nchini Natamani wanawake wengine mngekua kama huyu
  11. Je, ni kwanini gari namba ‘A’, ‘B’ na ‘C’ zinafufuliwa na kurudishwa barabarani kwa kasi sana mwaka 2024?

    Je, kuna uhaba wa magari Japan? especially zike za mizigo na na za abiria?
  12. E

    Natafuta gari ambayo ni ya zamani ila haijachoka au kutumika sana

    Popote ulipo mrembo mwenye miaka 26-30 , isiwe single mother Nimechoka kuishi peke yangu karibu tusaidiane maisha uwe mke wangu Uwe wewe au una mdogo wako au rafiki yako mjulishe taarifa hii
  13. Toyota Land Cruiser V8 Amazon Ushuru umekua mkubwa kuliko bei ya gari

    Habari wakuu hivi Kuna namna ya kufanya discount ya Ushuruu? Nahitaji kuagiza hii chuma ila Ushuruu umeipiku Hadi bei ya Gari
  14. B

    Tupe experience yako! Siku ulipomuazimisha au ulipoazimishwa gari na Rafiki au jamaa yako nini kilitokea?

    Wakati kazi inaendelea kule kwingine ni people's power Tushuke kwenye mada Nini kibaya kiliwahi kutokea Ile siku ulipomuazimisha au ulipoazimishwa mchuma/mkoko/dinga na Rafiki yako au jamaa yako
  15. Mamlaka inayosimamia ‘parking’ za gari iwajulishe Wateja kuhusu Madeni ya miaka ya nyuma na siyo kuwashtukiza na kutaka walipe papohapo

    Miezi kadhaa iliyopita kuliibuka Watu waliokuwa wanakamata magari Jijini Dar es Salaam kwa wale ambao hawakuwa wamelipia ada za maegesho. Kuliibuka usumbufu mkubwa kwa kuwa watu waliokuwa wakikamatwa walikutwa na madeni ya miaka ya nyuma ambayo hata wengine hawayajui au hawayakumbuki. Mamlaka...
  16. Vibaka Afrika Kusini walipua gari ya hela kwa bomu na kupora pesa (inakuaje wahalifu tena vibaka kumiliki silaha nzito za gharama?)

    Leo saa 6 mchana vibaka wenye silaha Nzito wameipiga kwa BOMU gari iliyo kuwa imebeba fedha na kupora fedha Tukio Hilo limetokea mtaa wa kwathema Gp (Gauteng) gari hiyo iliyo beba fedha ikiwa barabarani vijana sijui waliitrack vipi ghafla kilisikika kishindo tu cha bomu na majibizano ya risasi...
  17. Updates za Paris Motor Show 2024 (Tarehe 14 - 20 October)

    Paris Motor Show ni moja ya maonyesho makongwe ya magari (tokea mwaka 1898) yanayofanyika kila baada ya miaka miwili, ambapo makampuni mbalimbali ya magari yanaonesha magari yao mapya, concepts, teknolojia na vitu vingine vinavyohusiana na magari. Kwa mwaka 2024, zaidi ya makampuni ya magari...
  18. Elon Musk amezindua TESLA Cybercab na Robovan: Gari za kukodi zisizo na Dereva!

    Kwenye Tesla event ya tar 10 mwezi October California iliyopewa jina la “We Robot”, Elon Musk, CEO wa Tesla, amezindua magari ya kukodi yanayojiendesha yenyewe, Cybercab na Robovan. Cybercab ni gari dogo yenye gull-wing door isiokuja na steering wheel wala pedal za breki wala mafuta...
  19. Container za 45ft zinafika Tanzania? Je, kuna magari ya kubeba?

    Shipping container zipo za sizes tofauti kuanzia 60ft 53ft 48ft 45ft 43ft 40ft 35ft 20ft 15ft 10ft 7ft Swali langu jee, Container za angalau 45ft bongo zinafika? Kama ndio, napata wapi? kama hazifiki inaweza kuwepo option ya kuagiza, jee kuna semi trailer truck zenye chassis ndefu...
  20. G

    Video: Masjid Maamur, Msikiti unaohudhuriwa zaidi na matajiri wa nchi (Waarabu na Wahindi), Gari zinazopaki zinaduwaza

    Hakuna Toyota za wajapenga, Ni vyuma classic vya ulaya kama Ferrari, G wagon, Posrche, Bentley, Lamborgini, n.k.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…