haraka

Dupuya haraka is a species of legume in the family Fabaceae. It is found only in Madagascar.

View More On Wikipedia.org
  1. CCM ya sasa ingekuwa smart ingemkana Mwenyekiti UVCCM Kagera. Kwa kunyamaza ni kama wanathibitisha ni wauwaji

    Kauli aliyoitoa Mwenyekiti wa UVCCM Mkoa wa Kagera Faris Buruhan ni ya HATARI kwa Usalama wa Nchi na hata Ustawi wa watu wake hivyo kitendo cha CCM Taifa hadi hivi sasa kuinyamazia ni Uthibitisho kuwa kwanza wao (CCM) ndiyo wamemtuma huyu mpumbavu kusema vile. Lakini pia ni Uthibitisho usio na...
  2. M

    Serikali haraka fungeni mipaka chakula kisiuzwe nje, machafuko na migogoro ya kivita viwape ari hiyo

    Wakuu, Dunia ya leo ni migogoro na vita sehemu mbalimbali, hivo wakati huu wa mavuno mazao kama mchele, mahindi, maharagwe na nafaka nyingine haraka sana yazuiwe maana sio muda tutaanza kulia njaa. Nchi nyingi kwa sasa wamefunga mipaka yao hakuna chakula kutoka kwani usalama na utulivu wa...
  3. Simba mnatutesa ila jipu la kuonekana haraka ni Benchika

    Huyu jamaa anadharau na kiburi bila sababu halafu hayuko flexible. Mfano mechi ya marudiano na Al Ahly ilikuwa na haja gani kuanza na false namba 9? Mechi za ndani ugenini Kama ya Ihefu na mashujaa hakujua plan ilitakiwaje? Anarudi na plani zake zilizofeli kwenye mechi iliopita? Sub zake ni za...
  4. Naomba kujua Faini ambayo Simba SC ikijivunja Kucheza na Yanga SC itapigwa ili niichangishe kalipwe haraka tukikwepe Kikombe kijacho cha Aibu Kubwa

    Yaani una Job na Fred halafu kabisa Mtu mzima umekalisha Kende zako Komavu kama Kungu ndio umfunge Yanga SC?
  5. Urusi yashambulia vituo vya umeme Ukraine yote giza Ukraine waomba msaada haraka

    Hali ni tete sana Huko Ukraine baada ya urusi leo asubuhi kufanya mashambulizi makubwa katika mitambo ya kuzalisha umeme Huko Kiev na miji mingine mikubwa nchini Ukraine. Inakadiriwa watu takribani laki 2 katika jiji la Kiev hawatakua na huduma , miundombinu yote inayotumia umeme haifanyi kazi...
  6. Msaada wa haraka unahitajika kuhusu ujauzito wangu

    Poleni na mihangaiko ya mchana kutwa Ndugu Madaktari wa JF na wadau wote wa afya naomba msaada wenu. Mimi ni mama mjamzito mimba yangu ina wiki 35. Katika umri huu nimepima utra sound mtoto ana uzito wa kilo 2. 71kg Swali langu kitu gani naweza kufanya kwa muda huu mchache uliobaki kuongeza...
  7. Z

    Nimwombe Rais Samia awaondoe haraka wanajeshi wetu kule DRC Congo. Mnapigana na nchi ya EAC

    Sijajua wanajeshi wetu wanafia nini kule DR congo wakati sasa imejulikana bila shaka kwamba wanapigana na wanajeshi wa Rwanda ambayo ni nchi mwanachama wa EAC. SOLUHISHO ya vita ile ni kuiwekea vikwazo RWANDA na kuifukuza EAC haraka iwezekanavyo. Mama yetu mpendwa nakuomba uwaondoe haraka...
  8. Viongozi wa Yanga Fanyeni hivi Haraka iwezekanavyo Lazima Yanga icheze Nusu Fainali

    Aliyewahi kuwa Makamu wa Rais wa Bunge la Afrika (PAP) na Mbunge wa Shinyanga Mjini, Stephen Masele amesema Yanga inaweza kukata rufaa CAF kupitia kifungu cha sheria za mpira za CAF namba XVI kifungu namba 3 kupinga kitendo cha kukataliwa goli alilofunga Aziz Ki. Masele ameshauri Viongozi wa...
  9. G

    Nimepigwa hard disk speed ni ndogo sana, tusiwe na haraka tuchukue muda kuzikagua kuepuka huu upigaji

    UPDATE / MREJESHO: Tatizo lipo kwenye case ni usb 2.0, nimetesti kuiunganisha moja kwa moja kwenye desktop speed ni nzuri MB 50 kwa sekunde, chief mkwawa kanishauri ninunue case ya usb 3.0 model ni HTS545032A7E380 Nilienda kununua hard disk ya GB 320 kwa elf 25 maalum kwajili ya kuifanya...
  10. Je, ni kweli kutokuosha nywele kunachangia nywele kukua kwa haraka?

    Bila kupoteza muda, habarini wana JF. Siku za hivi karibuni niliamua kuanza kufuga nywele, sasa kila mtu ananiambia ukitaka nywele zikue naambiwa niache kuziosha kabisa kwa maji. Nimefatilia kwa watu hasa jinsia KE naona nao wananiambia hivo hivo. Je, kuacha kuosha nywele ili kufanya zikue sio...
  11. Waziri Biteko aagiza watumishi wa TANESCO waliokuwa likizo ya pasaka warudi haraka

  12. K

    Uongozi wa Simba ujiuzulu haraka sana

    Kufuatia uongozi wa Simba kumuondoa baleke na yule mchezaji wa zambaia na kuleta watu wa ajabu ajabu basi wawaombr radhi mashabiki na pili waleze kilitokea nini kusajili watu wa ajabu na kumuacha baleke na Generally wa Zambia. Baada ya hapo wajiuzuru kwa kushindwa kuio goza team kupata ushindi
  13. Forex sio mafanikio ya haraka kama watu wanavyodanganywa

    Mimi na miaka 14 kwenye soko la forex ila sio mafanikio ya haraka watu wanavofikilia.nimeona malalamiko mengi hapa JF bora kueleza ukweli. Asilimia kubwa forex ni High risk na inaweza kukuweka maskini kwa sekunde tu. Sababu kubwa kinacho changia ni watu kutokuelewa na kuwa na haraka ya...
  14. E

    Mboga ipi ni ya kupika kwa haraka

    Habari wakuu, Husika hapo juu, ni mboga ipi naweza kupika kwa haraka ili niepuke kwenye migahawa Maana nikirud home nakua nimechoka sana Asanteni
  15. Hii ndio mifumo bora ya kuendesha mradi wa mabasi yaendayo haraka kwa ufanisi mkubwa na faida kubwa

    Hii ndio mifumo bora ya kuendesha mradi wa mabasi yaendayo haraka kwa ufanisi mkubwa na faida kubwa Watanzania na serikali wanatamani sana kuona mradi wa mabasi yaendayo haraka unafanya kazi kwa ufanisi mkubwa na kwa faida. Kuna mifumo mingi bora ambayo serikali inaweza kuitumia ili...
  16. Kama hamtojali naomba Ufafanuzi wa haraka juu ya haya mambo Matatu tu ya Umuhimu

    1. Je, ukiwa na Akaunti ya Benki fulani ila hukuitumia kwa miaka kati ya 5 hadi 10 ukitaka Kuendelea nayo inawezekana (japo najua itakuwa Imeshafungwa) Kuihuisha au Kuiamsha (Activate) au uachane na haya yote na Ufungue tu Akaunti mpya? Tafadhali Wataalamu / Wabobezi wa Benki GENTAMYCINE naomba...
  17. Kwa haraka hapa napata pesa kiasi gani?

    Wataalamu hapa kuna bei gani wakuu?
  18. K

    Chama chetu CCM kichukue hatua za haraka

    Jana tulikuwa na Mkutano Mkuu wa Mtaa ulioitishwa na CCM kuelezea wananchi wa Mtaa ilani ya Chama Cha Ma;induzi yaani utekelezaji wa shughuli za maendeleo tangu Awamu ya sita iingie madarakani na tangu Awamu ya Tano na Sita hawajaitisha mkutano mkuu wa mtaa. Mtaa wetu una takriban watu wazima...
  19. Kama unatumia Apps hizi kwenye kifaa chako cha Android, ziondoe haraka. Ni hatari! | Xamalicious, a new dangerous Android 'copycat app'

    Wakati watumiaji wa Android walipoambiwa kuchungza vifaa vyao kwa programu (Apllications) zenye hatari kubwa ya kuwa na Wadudu (Malware) wa "SpyLoan" wasio salama, tishio jipya lilijitokeza kwa jina la "Xamalicious," mlango wa nyuma uligundulika hivi karibuni katika programu kadhaa kwenye Google...
  20. Mnaotamani VAR ije haraka jiandaeni na maumivu

    Hii bila shaka ipo kwa maslahi ya watu flani, sie wengine tunafata mkumbo tu, Ni kweli ina faida yake ila hasara yake ni kubwa sana, imagine unakataliwa goli la halali kabisa ambalo pengine lingewaokoa msishuke daraja Nashauri tuangalie tena na tena uamuzi huu
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…