Najua kuna kufa , najua changamoto zipo ๐, ila Mimi mlevi nikipotea msinitafute nitarudi mwenyewe tu๐๐๐
Na hii ndio miezi yangu ya kupotea na kupiga pesa , hivyo tusizushiane vifo asee๐๐
Anaetaka msaada hasa wa kifedha awasiliane na seran tu , atanicheki nitakupa Masada bwashee๐