Ngoja ajeMi nikajua Number Plate hazitakiwi kufanana?
View attachment 3682860View attachment 3682861View attachment 3682863View attachment 3682864
Asa Tajiri ana Culinan, G Wagon, RR, Benz, zote number 888. Ni wewe 888I
TRA mpo humu naomba majibu ya hii magari matano hata kama yamelipiwa kodi kiharali ni sawa kwa sheria zetu za kodi kuwa na namba moja kwa magari yote aisee ina maana hapo kilichobadilika ni Vin number na model za gari kweli Tanzania ukiamua unaweza kuichezea unavyotaka..Mi nikajua Number Plate hazitakiwi kufanana?
View attachment 3682860View attachment 3682861View attachment 3682863View attachment 3682864
Asa Tajiri ana Culinan, G Wagon, RR, Benz, zote number 888. Ni wewe 888I
Wanasema boss, labda Sheria zina class.TRA mpo humu naomba majibu ya hii magari matano hata kama yamelipiwa kodi kiharali ni sawa kwa sheria zetu za kodi kuwa na namba moja kwa magari yote aisee ina maana hapo kilichobadilika ni Vin number na model za gari kweli Tanzania ukiamua unaweza kuichezea unavyotaka..
😅😅😅😅 wenye mifumo haokweli Tanzania ukiamua unaweza kuichezea unavyotaka..
Hakuna sheria hiyo ya kodi waache hizo mambo watu kufanya watakalo kisa wana pesa wanahangaika na vitu vidogo vitu vya msingi wanaviacha yaani mtu ana namba plate moja magari matatu harafu yanaongozana yakisababisha ajali utajua ni lipi hapo na analetwa dereva mwingine kabisa.Wanasema boss, labda Sheria zina class.
Daah wacha tuendelee kulima tu kweli wenye mfumo..😅😅😅😅 wenye mifumo hao
Ukilipia milioni 5 unaandika Plate number unavyotaka wewe.TRA mpo humu naomba majibu ya hii magari matano hata kama yamelipiwa kodi kiharali ni sawa kwa sheria zetu za kodi kuwa na namba moja kwa magari yote aisee ina maana hapo kilichobadilika ni Vin number na model za gari kweli Tanzania ukiamua unaweza kuichezea unavyotaka..
Hapo moja mpaka tano ndio tofauti sio 888 kwa magari matano mambo ya magari ikifika wewe unanifundisha basi itakua Dunia imeisha aisee.Ukilipia milioni 5 unaandika Plate number unavyotaka wewe.
View attachment 3682882
Huyo ni mmoja tu tajiri naye ni GSMMi nikajua Number Plate hazitakiwi kufanana?
View attachment 3682860View attachment 3682861View attachment 3682863View attachment 3682864
Asa Tajiri ana Culinan, G Wagon, RR, Benz, zote number 888. Ni wewe 888I
Mkuu, kwamba huyo mshikaji hana chochote cha kukufundisha kuhusu magari sio 😅😅😅mambo ya magari ikifika wewe unanifundisha basi itakua Dunia imeisha aisee.
Nimekutolea mfano wa kuweka 1 mpaka 5 ,wengine wanaweka hata jina hilo hilo moja tu kwa gari zote ili mradi alipie kila moja milioni 5 ,wanaoweka 1 ,2 ,3 ni misifa waliochoka ili wajionyeshe wana magari mengi ,mfano MO gari zake ni MO tu au Davis Mosha anaindika DELINA au CEO basi yaani unaandika unavyotaka wewe ili mradi ulipie tu MILIONI 5.Hapo moja mpaka tano ndio tofauti sio 888 kwa magari matano mambo ya magari ikifika wewe unanifundisha basi itakua Dunia imeisha aisee.
Mkuu nilileta Honda Ballade mwaka 2002 auto daslm nzima wakawa wanasema ya kike wanataka manual leo hii tupo na Ford ranger na matakataka mengine nimeleta gari ngapi mpaka nifundishwe na mmakonde aisee kila mwezi nasajiri gari Tanzania za wateja au zangu za kazi hapa nipo Kapiri Mposhi narudi huko ni utani kuelekezwa mambo haya na mtu ambae huku sio fani yake..Mkuu, kwamba huyo mshikaji hana chochote cha kukufundisha kuhusu magari sio 😅😅😅
Sio kuhusu magari aisee nifundishe vitu vingine ntakuelewa mkuu mbona rahisi nimesema na narudia tena hauwezi kunifundisha kuhusu magari Over njoo na mambo mengine ntakuelewa yaani unifundishe usajiri aisee si utani huo..Nimekutolea mfano wa kuweka 1 mpaka 5 ,wengine wanaweka hata jina hilo hilo moja tu kwa gari zote ili mradi alipie kila moja milioni 5 ,wanaoweka 1 ,2 ,3 ni misifa waliochoka ili wajionyeshe wana magari mengi ,mfano MO gari zake ni MO tu au Davis Mosha anaindika DELINA au CEO basi yaani unaandika unavyotaka wewe ili mradi ulipie tu MILIONI 5.
Sasa mtu ushaona gari zote zina 888 halafu bado unaona haiwezekani kuwa hivyo ,ndiyo hivyo ishakuwa.
Halafu elewa hauwezi kujua kila kitu hata hivyo unavyojiona unajua kuna wengine wanakuona MWEUPE na wanaweza kukupa darasa ,kuna vitu mimi najua hata nikikupa miaka 100 kujifunza hautoboi.
SeriousTutafute hela na tuzimiliki
Kama una hela, yard yako ya nyumbani isipungue gari magari 3
GENGE LA RAIA FEKI CHINI YA KIONGOZI WAO JAMBAZI SUGU NA FISADI PAPA MTUKUFU ROSTAM AZIZIMi nikajua Number Plate hazitakiwi kufanana?
View attachment 3682860View attachment 3682861View attachment 3682863View attachment 3682864
Asa Tajiri ana Culinan, G Wagon, RR, Benz, zote number 888. Ni wewe 888I