Kennedy
Platinum Member
- Dec 28, 2011
- 62,832
- 77,037
π ππππππ€£πππOi oi ,nishaagiza utalipa kwa LIPA NAMBA ile ile![]()
π ππππππ€£πππOi oi ,nishaagiza utalipa kwa LIPA NAMBA ile ile![]()
TRA mpo humu naomba majibu ya hii magari matano hata kama yamelipiwa kodi kiharali ni sawa kwa sheria zetu za kodi kuwa na namba moja kwa magari yote aisee ina maana hapo kilichobadilika ni Vin number na model za gari kweli Tanzania ukiamua unaweza kuichezea unavyotaka..
Mkuu mimi si mtaalamu sana wa hayo mambo lakini kwa ufahamu wangu mdogo ,hizo gari tano ukiachana na hizo customised(888) huwa zina original Reg number zake ambayo inatakumbulika na TRA hizo zinazoanza na T 345 FBG(si namba halisi ni mfano) ,kwahiyo akikutana na vyombo vya sheria au international number zitakazotambulika ni zile origina na si hizo customised ,hizo customised ni internally tu.Mkuu jua gari lina utambulisho wa Vin number ambao uendane na usajiri wake mpya kutokana na hiyo model ni ngumu kukuta gari tano zina usajiri wa namba moja jua hapo kuna tatizo hauwezi kuzitoa hizo gari zikavuka nje ya Nchi kwa usajiri mmoja hapo atatumia hapo hapo kwa hayo magumashi fikiria kidogo tu atoe hizo apeleke Zambia,Malawi au SA uone kama zinaingia zote kwa namba moja vin tofauti.
Watu wanalipia kodi harafu wanatembea na namba za GP mwaka mzima hata kwa magari mawili GP moja watu wa TRA wakivamia wanaona gari ishalipiwa kodi wanachotaka ni kodi wanakwambia aisee badili weka namba plate iliyosajiriwa wengine katika kuuza anatumia GP kwa muda mrefu ili akitaka kuuza achukue namba ya wakati huo Watanzania wengi wanasoma namba kumbe gari iliingia ina mwaka mzima Tanzania.SIjawahi kufundisha mtu kuyajua magari ,nimeeleza kitu nachojua ,context inasema inakuwaje mtu aweke plate number 888 zinazofanana kwa magari matano?
Ukweli ni TAYARI namba zipo 888 kwa magari matano tofauti ,logic kama haiwezekani maana yake asingeweka ,ukiona kaweka maana yake sheria inaruhusu ,hakuna mtu ambaye yupo juu ya sheria ,angekuwa juu ya sheria angeweza kutembea bila hata kuwa na plate number ,au angefanya kama wahuni wanavyoweka Plate number hata hazieleweki kwenye land cruiser mkonga.
Mimi nachojua plate number hizo customised unalipia Tsh milioni 5 kwa miaka mitatu labda kama sheria zimebadilika na unaandika unachotaka wewe na i think kuna limitation ya maneno/characters (Not sure).
kama hairuhusiwi weka hizo sheria zinazokataza ,hapa tupo kuelimishana/kujifunza na si nani anajua nini au hajui nini ,kila mtu ana kitu tofauti na mwenzake ,wewe ukijua hiki mwenzako anajua hiki ,mki exhange info hapo ndiyo lengo la forums ,elimu haina mwisho.
Upo sahihi ni magumashi tu hayo maana ya usajiri gari itambulike ikitokea balaa lolote ijulikane gari fulani maana ya namba sio kodi ni pamoja na utambulisho wa gari pia sasa unawezaje kuruhusu watu watano wakatumia Nida moja harafu unasema ni temporary tu angetumia 881,882 mpaka amalize hizo tano sio kwa anachokakifanya akipo ila kwa kuwa wameshika dola hata asipoweka namba ataishi tu.Mk
Mkuu mimi si mtaalamu sana wa hayo mambo lakini kwa ufahamu wangu mdogo ,hizo gari tano ukiachana na hizo customised(888) huwa zina original Reg number zake ambayo inatakumbulika na TRA hizo zinazoanza na T 345 FBG(si namba halisi ni mfano) ,kwahiyo akikutana na vyombo vya sheria au international number zitakazotambulika ni zile origina na si hizo customised ,hizo customised ni internally tu.
Mwenzio anakuelewesha wewe unaleta ubishani.Hapo moja mpaka tano ndio tofauti sio 888 kwa magari matano mambo ya magari ikifika wewe unanifundisha basi itakua Dunia imeisha aisee.
Mzee uta tuua kwa mshahara huu wa mtendaji wa kataKabisa, unakuta mtu unaendesha gari moja tangu mwaka 2005, upo nalo hilo hilo moja
Kama Uchumi unaruhusu, unapark mengine kama matatu ili hata wanaokufatilia, wasijue exactly umepanda gari gani
Kesho wakikuona na Toyota, keshokutwa upo na Mercedes Benz, wakati mwingine upo na brand ya Mitsubishi
Atakuwa anatumia kichwa kama Mfuniko wa shingo πAfisa Utumishi Endapo Kuna Mtu Hajakuelewa Kwenye Comment Yako Ya Mstari Mmoja Tutasema Anakichwa Kigumu Kama Nazi
Oh okay ,hapo nimepata concept yake.Watu wanalipia kodi harafu wanatembea na namba za GP mwaka mzima hata kwa magari mawili GP moja watu wa TRA wakivamia wanaona gari ishalipiwa kodi wanachotaka ni kodi wanakwambia aisee badili weka namba plate iliyosajiriwa wengine katika kuuza anatumia GP kwa muda mrefu ili akitaka kuuza achukue namba ya wakati huo Watanzania wengi wanasoma namba kumbe gari iliingia ina mwaka mzima Tanzania.
Udhaifu wa mifumo yetu kuwaogopa WENYE PESA.Upo sahihi ni magumashi tu hayo maana ya usajiri gari itambulike ikitokea balaa lolote ijulikane gari fulani maana ya namba sio kodi ni pamoja na utambulisho wa gari pia sasa unawezaje kuruhusu watu watano wakatumia Nida moja harafu unasema ni temporary tu angetumia 881,882 mpaka amalize hizo tano sio kwa anachokakifanya akipo ila kwa kuwa wameshika dola hata asipoweka namba ataishi tu.
Hilo kwa Botswana wanachukua magari yote labda uwalambishe asali ingawaje na wao sasa hivi wanakula rushwa tofauti na zamani..Udhaifu wa mifumo yetu kuwaogopa WENYE PESA.
Tanzania wanachotaka wao ni kodi mambo mengine hawana shida nayo ndio maana wakivamia gari wanakuja kwenye chassis number ipo kwenye App yao na inasoma kodi sahihi ikiwa tofauti ndio inaanza kama ile gari ya yule Msanii wanasoma gari zote hata ikiwa inatembea unapishana nao wakiona sawa hawakusimamishi..Udhaifu wa mifumo yetu kuwaogopa WENYE PESA.
Unabishana na tycoon wa magari πππ sio mwenzetu huyo!Nimekutolea mfano wa kuweka 1 mpaka 5 ,wengine wanaweka hata jina hilo hilo moja tu kwa gari zote ili mradi alipie kila moja milioni 5 ,wanaoweka 1 ,2 ,3 ni misifa waliochoka ili wajionyeshe wana magari mengi ,mfano MO gari zake ni MO tu au Davis Mosha anaindika DELINA au CEO basi yaani unaandika unavyotaka wewe ili mradi ulipie tu MILIONI 5.
Sasa mtu ushaona gari zote zina 888 halafu bado unaona haiwezekani kuwa hivyo ,ndiyo hivyo ishakuwa.
Halafu elewa hauwezi kujua kila kitu hata hivyo unavyojiona unajua kuna wengine wanakuona MWEUPE na wanaweza kukupa darasa ,kuna vitu mimi najua hata nikikupa miaka 100 kujifunza hautoboi.
Tunachangamsha Genge chief ,thread itembee watu wajifunze zaidi.Unabishana na tycoon wa magari πππ sio mwenzetu huyo!
Duuuh nikajua kama LATRA wanacheza na Reg Numba za kwenye Licence plate ,kumbe TRA wao wanadili na chasis no tu basi ndiyo maana WAHUNI wanajiamulia mambo.Tanzania wanachotaka wao ni kodi mambo mengine hawana shida nayo ndio maana wakivamia gari wanakuja kwenye chassis number ipo kwenye App yao na inasoma kodi sahihi ikiwa tofauti ndio inaanza kama ile gari ya yule Msanii wanasoma gari zote hata ikiwa inatembea unapishana nao wakiona sawa hawakusimamishi..
Hayoa ni mapungufu makubwa,kwa mfano gari zote zmetoka zipo mtaani kwa shughuri tofauti .ikisababisha Moja ajari ,utajuaje iliyosababisha ni ipi na zote zmepta njia hiyohyoMk
Mkuu mimi si mtaalamu sana wa hayo mambo lakini kwa ufahamu wangu mdogo ,hizo gari tano ukiachana na hizo customised(888) huwa zina original Reg number zake ambayo inatakumbulika na TRA hizo zinazoanza na T 345 FBG(si namba halisi ni mfano) ,kwahiyo akikutana na vyombo vya sheria au international number zitakazotambulika ni zile origina na si hizo customised ,hizo customised ni internally tu.
π€£π€£π€£Sawa mkuu lakini hapo kwa mmakonde patoe unatukosea wafuasi wako wakina chingaMkuu nilileta Honda Ballade mwaka 2002 auto daslm nzima wakawa wanasema ya kike wanataka manual leo hii tupo na Ford ranger na matakataka mengine nimeleta gari ngapi mpaka nifundishwe na mmakonde aisee kila mwezi nasajiri gari Tanzania za wateja au zangu za kazi hapa nipo Kapiri Mposhi narudi huko ni utani kuelekezwa mambo haya na mtu ambae huku sio fani yake..
Na gari ili iuzwe inatakiwa mtu asajiri kwa jina la muuzaji kwa hiyo kodi inalipwa ila ukitaka kusajiri kupata namba plate naweka jina lako kwa hiyo mambo ya transfer hapo yanakua hayapo tena kwa sababu kama ningesajiri kwa jina langu ningetakiwa kuhamisha na kulipia TRA kitu ambacho watu wanafanya ni juu kwa juu ingawaje hairuhusiwi ndioDuuuh nikajua kama LATRA wanacheza na Reg Numba za kwenye Licence plate ,kumbe TRA wao wanadili na chasis no tu basi ndiyo maana WAHUNI wanajiamulia mambo.
AmenyookaMkuu
Nenda Hapo Ubungo Waambie Wakupe Kreti Moja Ya Chibuku Unywe Nitalipa