Huyu Boss mwenye Custom Number Plate 888 Ni nani? Yupo humu JF?

Huyu Boss mwenye Custom Number Plate 888 Ni nani? Yupo humu JF?

Mkuu nilileta Honda Ballade mwaka 2002 auto daslm nzima wakawa wanasema ya kike wanataka manual leo hii tupo na Ford ranger na matakataka mengine nimeleta gari ngapi mpaka nifundishwe na mmakonde aisee kila mwezi nasajiri gari Tanzania za wateja au zangu za kazi hapa nipo Kapiri Mposhi narudi huko ni utani kuelekezwa mambo haya na mtu ambae huku sio fani yake..
Mzee wa south habari yako....wamakonde tunaingiaje hapo? Tutake radhi
 
Y
TRA mpo humu naomba majibu ya hii magari matano hata kama yamelipiwa kodi kiharali ni sawa kwa sheria zetu za kodi kuwa na namba moja kwa magari yote aisee ina maana hapo kilichobadilika ni Vin number na model za gari kweli Tanzania ukiamua unaweza kuichezea unavyotaka..
Yule nchii hii ni mali yake mkuu hatuna la kuwafanya ila soon patanoga
 
Mi nikajua Number Plate hazitakiwi kufanana?
View attachment 3682860View attachment 3682861View attachment 3682863View attachment 3682864
Asa Tajiri ana Culinan, G Wagon, RR, Benz, zote number 888. Ni wewe 888I
Hii kitu legally haiwezekani. Hapo ni gari moja tu ndio yenye usajili wa 888 halafu zingine wameamua kubandika tu 888 licha ya kuwa Zina usajili tofauti.

Huwa naona watu wanafanya kwaajili ya showoff na photoshoots wakimaliza wanabandua. Lakini huyo wa 888 namna anavyojiachia mjini bila wasiwssi atakuwa mtu mzito

Bongo kama una mmudu anayesimamia sheria fulani you're free to break it bila consequences zozote.
 
Hivi kweli ni sahihi kuweka kwenye harrier?au lazima yawe ya bei mbaya?
Dah usiweke bwana. Hiyo pesa tufanye service au jitoe road trip Dar - Mwanza na chenji ya service.
 
Back
Top Bottom