Afisa Utumishi Endapo Kuna Mtu Hajakuelewa Kwenye Comment Yako Ya Mstari Mmoja Tutasema Anakichwa Kigumu Kama NaziPesa haiwezi kuzuia kifo tuu, mambo mengine yote yanawezekana
Zamani Ilikuwa Millions 5 Sijui Sasa HiviGharama za kuweka izo plate no ni shingapi ? Naweza wekea piki piki yangu Boxer Hd 150 umeme
Daaah basi bhanaZamani Ilikuwa Millions 5 Sijui Sasa Hivi
inakuajwHapo moja mpaka tano ndio tofauti sio 888 kwa magari matano mambo ya magari ikifika wewe unanifundisha basi itakua Dunia imeisha aisee.
Wewe ulijifunza kwa miaka mingapi kama mwenzako miaka mia hatoboi?Nimekutolea mfano wa kuweka 1 mpaka 5 ,wengine wanaweka hata jina hilo hilo moja tu kwa gari zote ili mradi alipie kila moja milioni 5 ,wanaoweka 1 ,2 ,3 ni misifa waliochoka ili wajionyeshe wana magari mengi ,mfano MO gari zake ni MO tu au Davis Mosha anaindika DELINA au CEO basi yaani unaandika unavyotaka wewe ili mradi ulipie tu MILIONI 5.
Sasa mtu ushaona gari zote zina 888 halafu bado unaona haiwezekani kuwa hivyo ,ndiyo hivyo ishakuwa.
Halafu elewa hauwezi kujua kila kitu hata hivyo unavyojiona unajua kuna wengine wanakuona MWEUPE na wanaweza kukupa darasa ,kuna vitu mimi najua hata nikikupa miaka 100 kujifunza hautoboi.
Kabisa, unakuta mtu unaendesha gari moja tangu mwaka 2005, upo nalo hilo hilo mojaSerious
😅😀😆😂😃😅Goma La UteteDaaah basi bhana
Unyama sana huu, kwahiyo hapo kama Mil 20 just kwenye numbersUkilipia milioni 5 unaandika Plate number unavyotaka wewe.
View attachment 3682882
SIjawahi kufundisha mtu kuyajua magari ,nimeeleza kitu nachojua ,context inasema inakuwaje mtu aweke plate number 888 zinazofanana kwa magari matano?Sio kuhusu magari aisee nifundishe vitu vingine ntakuelewa mkuu mbona rahisi nimesema na narudia tena hauwezi kunifundisha kuhusu magari Over njoo na mambo mengine ntakuelewa yaani unifundishe usajiri aisee si utani huo..
MkuuSIjawahi kufundisha mtu kuyajua magari ,nimeeleza kitu nachojua ,context inasema inakuwaje mtu aweke plate number 888 zinazofanana kwa magari matano?
Ukweli ni TAYARI namba zipo 888 kwa magari matano tofauti ,logic kama haiwezekani maana yake asingeweka ,ukiona kaweka maana yake sheria inaruhusu ,hakuna mtu ambaye yupo juu ya sheria ,angekuwa juu ya sheria angeweza kutembea bila hata kuwa na plate number ,au angefanya kama wahuni wanavyoweka Plate number hata hazieleweki kwenye land cruiser mkonga.
Mimi nachojua plate number hizo customised unalipia Tsh milioni 5 kwa miaka mitatu labda kama sheria zimebadilika na unaandika unachotaka wewe na i think kuna limitation ya maneno/characters (Not sure).
kama hairuhusiwi weka hizo sheria zinazokataza ,hapa tupo kuelimishana/kujifunza na si nani anajua nini au hajui nini ,kila mtu ana kitu tofauti na mwenzake ,wewe ukijua hiki mwenzako anajua hiki ,mki exhange info hapo ndiyo lengo la forums ,elimu haina mwisho.
Mkuu hapa tunachangamsha genge ,hizo ni idioms mkuu kwenye lugha.Wewe ulijifunza kwa miaka mingapi kama mwenzako miaka mia hatoboi?
🤝👍Mkuu hapa tunachangamsha genge ,hizo ni idioms mkuu kwenye lugha.
KWani mtu akikwambia amekula nchumvi nyingi au amepigilia msumali wa kichwa kwani inakuwa hivyo? Ni kama metaphor kwenye hiphop.
Mkuu jua gari lina utambulisho wa Vin number ambao uendane na usajiri wake mpya kutokana na hiyo model ni ngumu kukuta gari tano zina usajiri wa namba moja jua hapo kuna tatizo hauwezi kuzitoa hizo gari zikavuka nje ya Nchi kwa usajiri mmoja hapo atatumia hapo hapo kwa hayo magumashi fikiria kidogo tu atoe hizo apeleke Zambia,Malawi au SA uone kama zinaingia zote kwa namba moja vin tofauti.SIjawahi kufundisha mtu kuyajua magari ,nimeeleza kitu nachojua ,context inasema inakuwaje mtu aweke plate number 888 zinazofanana kwa magari matano?
Ukweli ni TAYARI namba zipo 888 kwa magari matano tofauti ,logic kama haiwezekani maana yake asingeweka ,ukiona kaweka maana yake sheria inaruhusu ,hakuna mtu ambaye yupo juu ya sheria ,angekuwa juu ya sheria angeweza kutembea bila hata kuwa na plate number ,au angefanya kama wahuni wanavyoweka Plate number hata hazieleweki kwenye land cruiser mkonga.
Mimi nachojua plate number hizo customised unalipia Tsh milioni 5 kwa miaka mitatu labda kama sheria zimebadilika na unaandika unachotaka wewe na i think kuna limitation ya maneno/characters (Not sure).
kama hairuhusiwi weka hizo sheria zinazokataza ,hapa tupo kuelimishana/kujifunza na si nani anajua nini au hajui nini ,kila mtu ana kitu tofauti na mwenzake ,wewe ukijua hiki mwenzako anajua hiki ,mki exhange info hapo ndiyo lengo la forums ,elimu haina mwisho.
Oi oi ,nishaagiza utalipa kwa LIPA NAMBA ile ileMkuu
Nenda Hapo Ubungo Waambie Wakupe Kreti Moja Ya Chibuku Unywe Nitalipa
