NDEGE WALIOFARIKI NDANI YA KIOTA ☠️
Wanangoja mama yao awaletee chakula Labda, mama yao aliuawa. Walimsubiri arudi bila mafanikio 😭.
Je, Unajua wakati wowote unapopigana na mtu, pia unapigana na vitegemezi vyake?
Je, unajua ukiua mtu, unaua au kuwadhuru watu wanaokutegemea? Je! unajua kwamba...