Mkuu wa Wilaya ya Ubungo, Hassan Bomboko amekanusha taarifa zilizozua taharuki mitandaoni kwamba Shule ya Msingi ya Ubungo National Housing ambayo ni ya Serikali, imeuzwa kwa Wawekezaji.
Akiongea leo November 13,2024 kwenye mahojiano maalum na Ayo TV akiwa Shuleni hapo, DC Bomboko amesema Shule...